Kidatu nayo kuzimwa
Na Mwandishi Wetu, Kidatu
SIKU moja baada ya Shirika la Umeme nchini (Tanesco) kusimamisha uzalishaji wa umeme katika Bwawa la Mtera, kituo cha kuzalisha umeme cha Kidatu kilichopo mkoani Morogoro kinategemewa kuzimwa wakati wowote baada ya kupungua kwa kina cha maji.
Bwawa la Kidatu linazalisha megawati 204 lakini hivi sasa baada ya kina cha maji kupungua linazalisha megawati 27.
Taarifa ya kuzimwa kwa mitambo ya kuzalisha umeme ya Kidatu ilitolewa jana na Meneja wa kituo hicho, Mhandisi...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo20 Feb
Jopo lataka mitambo ya analojia iendelee kuzimwa
SERIKALi imetakiwa kuendelea na awamu ya pili ya kuzima mitambo ya analojia na kwenda dijitali, baada ya kuwapo kwa mafanikio katika awamu ya kwanza.
11 years ago
Habarileo20 Feb
Jopo laagiza mitambo ya analojia iendelee kuzimwa
SERIKALi imetakiwa kuendelea na awamu ya pili ya kuzima mitambo ya analojia na kwenda dijitali, baada ya kuwapo kwa mafanikio katika awamu ya kwanza.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Li9saok6FYI/VOSNZJ89uJI/AAAAAAAHEYI/Va4rB-DLqos/s72-c/Untitled.png)
DAWASCO YATOA TAARIFA YA KUZIMWA KWA MTAMBO WA RUVU JUU
![](http://3.bp.blogspot.com/-Li9saok6FYI/VOSNZJ89uJI/AAAAAAAHEYI/Va4rB-DLqos/s1600/Untitled.png)
MTAMBO YA RUVU JUU UTAZIMWA ILI KUMRUHUSU MKANDARASI KUFANYA SHUGHULI ZA UPANUZI WA MTAMBO.
KUZIMWA KWA MTAMBO WA RUVU JUU KUTASABABISHA MAENEO YAFUATAYO KUKOSA MAJI;
MLANDIZI, KIBAHA, KIBAMBA, KILUVYA, KONGOWE, MISUGUSUGU,...
5 years ago
BBCSwahili01 Mar
Kuzimwa kwa inatneti: Nini kitatokea iwapo mtandao utazimwa?
10 years ago
Uhuru Newspaper16 Apr
Mazito yaibuka‘magaidi’ Kidatu
Imamu awakana Makwendo na wenzake
NA LATIFA GANZEL, MOROGORO
DEREVA wa bajaji, Alphonce Maurus, aliyebeba watu wanaodhaniwa kuwa watuhumiwa wa ugaidi, Kidatu wilayani Kilombero, ameweka hadharani namna alivyomfahamu mmoja wao.
Amesema mtuhumiwa ambaye aliuawa na wananchi baada ya kumjeruhi polisi, Hamad Makwendo, alijihusisha na mchezo wa kareti na masuala ya dini ya Kiislamu.
Dereva huyo huyo aliwaeleza waandishi wa habari waliofuatilia taarifa za kina za tukio hilo jana kwamba Makwendo...
10 years ago
Dewji Blog19 Sep
Kidatu inaweza kuzalisha umeme bado
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua mitambo ya kuzalisha umeme katika bwawa la Kidatu, mkoani Morogoro mwaka 2011.Kushoto ni meneja wa TANESCO wa mkoa na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Joel Bendera.
Na Mwandishi wetu
SHIRIKA la Ugavi wa Umeme nchini (Tanesco), limesema Mgodi wa wa kufua umeme, uliojengwa Kidatu, Morogoro 1975, bado zinauwezo wa kuzalisha nishati hiyo kwa kiwango cha kutosha.
Kauli hiyo ilitolewa, Meneja wa Mgodi huo Injinia Joseph Lyaruu, wakati ziara ya wandishi wa...
9 years ago
Mwananchi09 Oct
Tanesco yazima mitambo mitatu bwawa la Kidatu
10 years ago
Tanzania Daima20 Sep
Tanesco: Mgodi wa Kidatu bado una uwezo
SHIRIKA la Ugavi wa Umeme nchini (Tanesco), limesema mgodi wa kufua umeme uliojengwa Kidatu Morogoro mwaka 1975, bado una uwezo wa kuzalisha nishati hiyo kwa kiwango cha kutosha. Kauli hiyo,...
10 years ago
MichuziTANGAZO LA KUZIMWA KWA MTAMBO WA MAJI RUVU CHINI KUTOKANA NA MATENGENEZO YA BOMBA KUBWA
SHIRIKA LA MAJI SAFI NA MAJITAKA DAR-ES-SALAAM (DAWASCO),LINAWATANGAZIA WAKAZI WA JIJI LA DAR-ES-SALAAM NA MJI WA BAGAMOYO MKOANI PWANI KUWA, MTAMBO WA KUZALISHA MAJI WA RUVU CHINI UMEZIMWA KWA SAA 24 KUANZIA ASUBUHI YA TAREHE 01.03.2015.
KUZIMWA KWA MTAMBO WA RUVU CHINI KUMETOKANA NA MATENGENEZO YA BOMBA LA INCH 54 ENEO LA MATANKI YA CHUO KIKUU.
MATENGENEZO YANAENDELEA NA YANATARAJIA KUKAMILIKA BAADA YA SAA 24.
KWASABABU HIYO MAENEO YAFUATAYO YATAKOSA MAJI:MJI WA BAGAMOYO, VIJIJI VYA...