Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VODACOM SAY'S YES TO EXCELLENCE‏

Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakiwa kwenye picha ya pamoja wakiinua  bango lenye ujumbe wa”We say yes to excellence”  ikiwa ni kauli mbiu ya kampuni hiyo katika kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja duniani. Kutoka kushoto Ofisa mkuu wa Idara ya huduma kwa wateja Harriet Lwakatare akiwa na wakuu wa idara hiyo Najenjwa Mbaga,Elizabeth Mwamfagasi na Brigita Stephen wakionesha alama ya kidole...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BALOZI WA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM'JAY'AWALIPIA ABIRIA WOTE NAULI WA KITUO CHA MAWASILIANO JIJINI‏

Balozi wa Promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania Hilary Daud”Zembwela”(kushoto)akimkabidhi fedha mmoja wa abiria wa basi linalofanya safari zake kutoka kituo cha mabasi cha mawasiliano cha ubungo kwenda Mwananyamala  jijini Dar es Salaam kwaajili ya kuwalipia abiria wenzake nauli ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha wateja wa kampuni hiyo kutuma neno Jay kwenda 15544 ili kujua kama wameshinda. Mkazi...

 

10 years ago

GPL

NJOO UPUNGUZE 'STRESS' ZA WIKI NZIMA KWA BURUDANI YA 'LIVE MUSIC' NA SKYLIGHT BAND LEO, THAI VILLAGE-MASAKI‏

John Music (katikati) akitoa burudani kwa wapenzi na mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) Ijumaa iliyopita huku akipewa sapoti ya Back vocal na Ashura Kitenge (kushoto) pamoja na Sam Mapenzi. It's Friday and its on #TGIF, Skylight friday, wadau na wapenzi wa muziki wa live na wa kiwango cha juu,wote tunakutana Thai village Masaki, jioni hii kwa burudani safii toka kwa wakali wa town vijana wa Skylight Band, Karibuni sana...

 

10 years ago

GPL

FAINALI YA DANCE 100 J'MOSI CHINI YA VODACOM TANZANI‏

Meneja wa Uhusiano wa Umma  wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (kulia) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana juu ya fainali  ya mashindano hayo yatakayofanyika jumamosi Don Bosco Oysterbay jijini. Kulia ni Mratibu wa shindano  hilo la Dance 100%, Happy Shame. Mratibu wa shindano la Dance 100%, Happy Shame ( kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam… ...

 

10 years ago

Michuzi

VODACOM SAY'S YES TO EXCELLENCE

Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania wakiwa kwenye picha ya pamoja wakiinua bango lenye ujumbe wa”We say yes to excellence” ikiwa ni kauli mbiu ya kampuni hiyo katika kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja duniani.Kutoka kushoto Ofisa mkuu wa Idara ya huduma kwa wateja Harriet Lwakatare akiwa na wakuu wa idara hiyo Najenjwa Mbaga,Elizabeth Mwamfagasi na Brigita Stephen wakionesha alama ya kidole wakiunga kauli mbiu ya kampuni hiyo ya”we say yes to excellence” katika kuadhimisha wiki ya...

 

11 years ago

GPL

ERICK 'MSENGII' NATIANOTA NA HERIETH WAMEREMETA‏

Bwana Harusi Erick 'Msengii' Natianota akimlisha keki mke wake kipenzi Herieth Kashangaki siku waliyoamua kuachana na ukapela hapo jana.
Mambo ya kwaito hayo…saaafi .
Wadogo zake…

 

9 years ago

GPL

WASHINDI WA SHINDANO LA 'GENIUS-CUP' WAZAWADIWA‏

Mwanafunzi Fuad Thabit kutoka Feza Boys Secondary aliyeibuka mshindi wa kwanza shule za sekondari katika Shindano la Genius-Cup akipokea cheti na zawadi yake ya shilingi 300,000 toka kwa  mgeni rasmi wa hafla hiyo, Ofisa Mkuu  wa Utafiti taasisi ya COSTECH, Athman Mgumia.…

 

11 years ago

GPL

TIGO BIMA YAZINDUA TAMTHILIA YA 'KINGA YA MOYO WANGU'‏

Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa tamthilia ya redio iitwayo ‘Kinga ya Moyo Wangu’ itakayoelimisha Watanzania kuhusu umuhimu wa bima jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Meneja Mkazi wa Kampuni ya BIMA inayotoa huduma za bima kupitia simu za mkononi, Christian Karlander. Tamthilia hiyo itasikika katika vipindi vya Jahazi na...

 

10 years ago

GPL

FILAMU YA 'MPANGO MBAYA' INA VIWANGO VYA KIMATAIFA‏

Mwenyekiti wa Makampuni ya Proin Group, Bw. Johnson Lukaza akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa filamu ya Mpango Mbaya iliyochezwa na washiriki wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) mwaka 2014, uzinduzi huo ulifanyika katika ukumbi wa sinema wa century uliopo Mlimani City, Jijini Dar Es Salaam. Filamu hii ni moja ya filamu ambayo ina ubora wa hali ya juu huku wadau waliofanikiwa kuitazama filamu hiyo...

 

11 years ago

GPL

UZINDUZI WA FILAMU YA 'I LOVE MWANZA' HAUKUWA WA KISIASA - BONGO MOVIE‏

 Rais wa Bongo Movie, Steve Nyerere (katikati) akitoa taarifa ya kukanusha uzinduzi wa filamu ya "I Love Mwanza" kujihusisha na masuala ya kisiasa. Kushoto kwa Nyerere ni Sabrina Lupia (Cathy) na kulia kwake ni Wastara Juma na Salama "Sandra" Salimin.
  Rais wa Bongo Movie, Steve Nyerere (katikati) akitoa tarifa ya kukanusha taarifa za uzinduzi… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani