Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VODACOM YAENDELEA KUJENGA WANAFUNZI KITAALUMA‏

Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Salum Mwalim akiongea na wanafunzi wa Mwaka wa Pili wa Shule Kuu ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano kwa Umma ya Chuo Kikuu Cha Dar es salaam alipokaribishwa kubadilishana nao uzoefu wake katika masuala ya habarai na maadili ya uandishi wa habari kazini. Vodacom imekuwa ikiruhusu wafanyakazi wake waliobobea kwenye fani mbalimbali kutoa ujuzi wao kwa wanafunzi vyuoni na amshuleni.
Wanafunzi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

VODACOM YAENDELEA KUSOGEZA ZAIDI HUDUMA ZA MAWASILIANO KWA WATEJA WAKE‏

Meneja Uendeshaji wa maduka ya Vodacom Tanzania,Elihuruma Ngowi(katikati)akishirikiana na wasimamizi wa Duka jipya la Vodacom Sinza kumekucha Bw.Baraka Nyirenda wakwanza kushoto na  Bw.Davis Mkonyi(kulia)wakikata utepe kuashiria kuanza rasmi kwa huduma kwenye duka hilo jipya lililopo eneo la Sinza Kumekucha Dar es salaam.Duka hilo litakuwa likitoa huduma kwa siku saba za wiki ikiwemo siku za sikukuu.… ...

 

10 years ago

GPL

WANAFUNZI SEKONDARI YA MAKUMBUSHO WAENDELEA KUNUFAIKA NA MRADI WA SMART SCHOOL CHINI YA VODACOM FOUNDATION‏

Mwalimu wa somo la Kompyuta mpakato wa Shule ya Sekondari ya Makumbusho jijini Dar es Salaam, Josiah Kimaro akimfundisha somo la Kompyuta Ibrahim Athmani ambaye ni wanafunzi wa kidato cha Nne wa shule hiyo,Walipotembelewa na maofisa wa Taasisi ya Vodacom Foundation kujionea maendeleo ya mradi wa Smart school unaofadhiliwa na taasisi hiyo na kunaendeshwa na Learning In Sync kwa ajili ya wanafunzi wa shule za sekondari kupata...

 

10 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI KITAALUMA CHUO KIKUU CHA USHIRIKA (MOCU) WAKABIDHIWA ZAWADI

Kaimu Makamu wa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi ,Prof. Faustine Bee akizungumza wakati wa sherehe ya kukabidhi zawadi kwa wanafunzi waliofanya vizuri kitaaluma iliyofanyika katika ukumbi wa Nyerere chuoni hapo.Baadhi ya wanafunzi waliofanya vizuri kitaaluma wakimsilikiliza Kaimu wa Makamu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (hayupo pichani)Pro,Faustine Bee wakati akizungumza katika sherehe hiyo.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA YAENDELEA NA JUHUDI ZA KUWAINUA WANANCHI.

 Meneja Biashara kutoka shirika la Mzinga Morogoro Pingu Kamenyi akiwaeleza wandishi wa habari leo jijini Dar es salaam (hawapo pichani) kuhusu mafanikio ya Shirika hilo katika kipindi cha Miaka kumi ya Serikali ya awamu ya nne ikiwemo uzalishaji wa zana bora  za kilimo na ujenzi zinazolenga kuwainua wajasiriamali wadogo ili waweze kuinua uchumi wao na wa taifa kwa ujumla.  Wa pili kushoto ni Msemaji wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Luteni Kanali Juma Nkangaa Sipe na wa kwanza...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vodacom yaendelea kupanua wigo wa huduma

WATEJA wa Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom wameendelea kukumbushwa kupata huduma katika maduka mapya yanayoendelea kufunguliwa maeneo mbalimbai karibu na makazi yao, ili kuepuka gharama na usumbufu usio wa lazima...

 

9 years ago

Michuzi

VODACOM YAENDELEA KUNOGESHA SWAHILI FASHION WEEK

 Mwanamitindo akipita mbele ya watazamaji katika onesho la Swahili Fashion Week lililomalizika jana katika hoteli ya Sea Cliff, akiwa amevalia mavazi ya lebo ya Kibout ya mbunifu wa hapa nchini, onesho hilo limedhaminiwa na Kampuni ya simu ya Vodacom. Mbunifu wa mavazi wa lebo la Kibout Evamary Sospeter de Block akipita mbele ya watazamaji jana baada ya kuonesha mavazi yake katiak oneso la Swahili Fashion Week lililomalizika jana katika hoteli ya Sea Cliff chini ya udhamini wa kampuni ya...

 

5 years ago

Michuzi

Vodacom yaendelea kuzawadia wateja wake wa shindano la Tusua Mapene


Meneja mauzo wa Vodacom Njombe, Benedict KItogwa (kulia) akimkabidhi mshindi wa wiki wa bahati nasibu ya Tusua mapene na Vodacom, Vitus Gama mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 10. Ili kushiriki kwenye promosheni hii, mteja anatakiwa kutuma neno “CHECK” au “VODA” kwenda namba 15544, kwa gharama ya shilingi 300 tu.

 

5 years ago

Michuzi

Vodacom yaendelea kuwezesha wateja wake kwa Kutusua Mapene

Shindano la Tusua mapene na Vodacom  linaloendelea kote nchini, linawawezesha watumiaji wa mtandao wa Vodacom kuweza kujishindia kitita cha milioni 10 kila wiki na wengine waliobaki watajishindia zawadi ndogo ndogo. Hili ni shindano lilioanza mwaka 2017, na kuendelea kuwanufaisha wateja wa Vodacom nchini. 
Ili kushiriki kwenye promosheni hii, mteja anatakiwa kutuma neno “CHECK” au “VODA” kwenda namba 15544, kwa gharama ya shilingi 300 tu.
Unaponunua tiketi, moja kwa moja unaingia...

 

11 years ago

Michuzi

Vodacom yaendelea kupanua wigo wa huduma kwa wateja Dar es Salaam

Wateja wa Vodacom wameendelea kukumbushwa kupata huduma katika maduka mapya yanayoendelea kufunguliwa maeneo mbalimbai karibu na makazi ili kuepuka gharama na usumbufu usio wa lazima wa kufuata huduma kwenye maduka yalyozoeleka yaliyopo mjini na yaliyo kwenye maeneo ya kibiashara.   Vodacom kwa sasa imekuwa ikifungua maduka sehemu mbalimbali ili kuwapunguzia gharama na muda wateja wake ikiwemo lilifunguliwa jana Tabata Magengeni jijini dar es salaam duka ambalo litatoa huduma kwa wakazi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani