Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VODACOM YATANGAZA RASMI ZAWADI ZITAKAZOKABIDHIWA KWA MABINGWA WA LIGI HIVI KARIBUNI

Wadhamini wakuu wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara,Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania imetangaza rasmi zawadi zitakazotolewa hivi karibuni kwa Mabingwa wa ligi hiyo iliyomalizika hivi karibuni ambapo timu ya Yanga yenye makazi yake Jangwani jijini Dar es Salaam iliibuka na ubingwa.Kwa mujibu wa mkataba wa ligi na mdhamini mbali na zawadi kutolewa  kwa timu bingwa zimekuwa zikitolewa pia kwa,mshindi wa pili na wa tatu katika ligi,mfungaji bora,timu iliyoonyesha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

VODACOM YATANGAZA RASMI ZAWADI ZITAKAZOKABIDHIWA KWA MABINGWA WA LIGI HIVI KARIBUNI‏

Meneja Mahusiano wa Vodacom Bw.Matina Nkurlu. Wadhamini wakuu wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara,Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania imetangaza rasmi zawadi zitakazotolewa hivi karibuni kwa Mabingwa wa ligi hiyo iliyomalizika hivi karibuni ambapo timu ya Yanga yenye makazi yake Jangwani jijini Dar es Salaam iliibuka na ubingwa. Kwa mujibu wa mkataba wa ligi na mdhamini mbali na zawadi kutolewa  kwa timu bingwa...

 

11 years ago

Michuzi

Vodacom kukabidhi zawadi kwa Bingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara Mei 27

Meneja uhusiano wa Nje wa Vodacom Tanzania, Salum Mwalim, akizungumza na waandishi wa habari (Hawapo pichani) wakati wa kutangaza siku ya kukabidhi zawadi za washindi wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Pamoja nae katika picha, wa kwanza kutoka kushoto ni Ofisa Matukio na Udhamini wa Vodacom Tanzania, Ibrahim Kaude, Ofisa Habari wa TFF, Boniface Wambura.
Bingwa wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2013/2014 timu ya Azam FC itakabidhiwa kitita chake cha zawadi Sh 75 Milioni Mei 27...

 

10 years ago

Michuzi

VODACOM KUTOA ZAWADI KWA WASHINDI WA LIGI KUU TANZANIA BARA KESHO

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kwa kushirikiana na wadhamini wa Ligi Kuu kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom, kesho siku ya alhamis tarehe 11/06/2015 wanatarajia kutoa zawadi kwa washindi wa Vodacom Premier League msimu wa 2014/2015.
Hafla ya utoaji wa zawadi hizo itafanyika katika ukumbi wa JB Belmonte (Kilimanjaro) uliopo katika jengo la Golden Jubilee Tower (PSPF), mtaa wa Ohio eneo la Posta Mpya jijini Dar es salaam kuanzia saa 12 jioni.
Mgeni rasmi katika halfa hiyo ya utoaji zawadi...

 

11 years ago

GPL

PROIN PROMOTIONS YATANGAZA RASMI KUDHAMINI LIGI YA MPIRA WA MIGUU KWA WANAWAKE

Katibu wa Michezo kutoka Kampuni ya Proin, Godlisten Anderson akitambulisha viongozi wa kampuni ya Proin Promotions kwa waandishi wa habari wakati wa Mkutano na Waandishi wa habari uliofanyika leo katika Hoteli ya Southern Sun. Kampuni ya Proin imetangaza kudhamini ligi ya mpira wa miguu kwa Wanawake inayotarajiwa kuanza Mwezi wa Nane.
Rais TFF, Mh Jamal Malinzi na Mwenyekiti wa makampuni ya Proin, Mh Johnson Lukaza wakitia...

 

11 years ago

Dewji Blog

Proin Promotions yatangaza rasmi kudhamini Ligi ya mpira wa Miguu kwa Wanawake leo Jijini Dar

pro 1

Katibu wa Michezo kutoka Kampuni ya Proin, Godlisten Anderson akitambulisha viongozi wa kampuni ya Proin Promotions kwa waandishi wa habari wakati wa Mkutano na Waandishi wa habari uliofanyika leo katika Hoteli ya Southern Sun. Kampuni ya Proin imetangaza kudhamini ligi ya mpira wa miguu kwa Wanawake inayotarajiwa kuanza Mwezi wa Nane.

pro 2

Rais TFF, Mh Jamal Malinzi na Mwenyekiti wa makampuni ya Proin, Mh Johnson Lukaza wakitia saini katika mkataba wa makubaliano ya udhamini wa ligi ya mpira...

 

11 years ago

Michuzi

PROIN PROMOTIONS YATANGAZA RASMI KUDHAMINI LIGI YA MPIRA WA MIGUU KWA WANAWAKE LEO JIJINI DAR ES SALAAM

Katibu wa Michezo kutoka Kampuni ya Proin, Godlisten Anderson akitambulisha viongozi wa kampuni ya Proin Promotions kwa waandishi wa habari wakati wa Mkutano na Waandishi wa habari uliofanyika leo katika Hoteli ya Southern Sun. Kampuni ya Proin imetangaza kudhamini ligi ya mpira wa miguu kwa Wanawake inayotarajiwa kuanza Mwezi wa Nane. Rais TFF, Mh Jamal Malinzi na Mwenyekiti wa makampuni ya Proin, Mh Johnson Lukaza wakitia saini katika mkataba wa makubaliano ya udhamini wa ligi ya mpira...

 

10 years ago

Michuzi

YANGA MABINGWA WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA 2014 - 2015


Mabingwa wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2014- 2015, Yanga wakishangilia ubingwa wao huo mara baada ya kumalizika kwa mtanange wao dhidi ya Azam FC, uliopigwa kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam leo.Mtanange huo ulimalizika kwa Azam kushinda Bao 2-1.
Mgeni Rasmi katika Mchezo huo, Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo, Mh. Dkt. Fenella Mukangara akimkabidhi Nahodha wa Timu ya Yanga, Nadir Haroub cheti cha pongezi kutoka kwa Rais wa Shirikisho la Soka Duniani, Sepp Blatter...

 

11 years ago

Michuzi

mabingwa wapya wa ligi kuu ya bara Azam FC watawazwa rasmi

 Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) akimkabidhi Kombe la ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Nahodha wa Azam FC, John Bocco jioni hii baada ya kuifunga bao 1-0 JKT Ruvu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.
Mabingwa wakisherehekea na taji lao, sherehe za ubingwa zimeendelea Azma Complex hadi usiku wa manane. 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani