Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vodacom yatoa fursa kwa ziara za mafunzo

KAMPUNI ya Vodacom imetoa fursa kwa wanafunzi wa ngazi mbalimbali kuifanya kuwa sehemu ya ziara za mafunzo yakiwemo ya huduma za mawasiliano ya simu, masuala ya ajira, na Teknolojia ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

VODACOM YATOA MAFUNZO NAMNA YA KULIPIA MAFUTA KWA M PESA

Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Salum Mwalim akiwapa mafunzo wahudumu wa kituo cha mafuta cha OilCom kilichpo katika makutano ya barabara ya Libya na Morogoro jijini Dar es salaam juu ya namna ya wateja wanaojaza mafuta kituoni hapo wanavyoweza kulipia kwa njia ya M-pesa. Huduma ya malipo kwa M-pesa inapatikana pia kwenye vituo vya OilCom vya TMJ Msasani na Kipawa. Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Salum Mwalim akimjulisha...

 

10 years ago

GPL

WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDORI EFATHA WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO VODACOM TANZANIA

Baadhi ya wanafunzi  wa shule ya sekondari ya Efatha iliyopo Bagamoyo Mkoa wa Pwani, wakimsikiliza Ofisa Rasilimali Watu wa Vodacom Tanzania, Ndihagati Biduga (kulia) akiwafafanulia jambo  wakati walipofanya ziara ya kimafunzo makao makuu ya kampuni hiyo yaliyopo Mlimani City jijini Dare s Salaam hivi karibuni. Ndihagati Biduga, Ofisa Rasilimali Watu wa Vodacom Tanzania (kulia) akiwaelezea jambo kuhusiana na mnara wa...

 

10 years ago

Michuzi

NSSF YATOA FURSA KWA WAKAZI WA MBEYA NA SONGEA

Kupitia Semina za Fursa zinazoendelea kufanyika katika mikoa mbali mbali hapa nchini, Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) imekuwa ikitoa Elimu ya Hifadhi ya Jamii kwa wananchi na kuwahamasisha kujiunga na mfuko huo ili waweze kunufaika na mafao ya NSSF hususani matibabu bure kwa mwanachama na wategemezi wake pamoja na mikopo kupitia SACCOS.
Fursa nyingine kutoka NSSF ambazo mwanachama anaweza kunufaika nazo ni pamoja na Pensheni ya uzeeni, Pensheni ya Ulemavu, Pensheni ya Urithi,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Serengeti yatoa mafunzo kwa wahudumu wa Bar kwa mikoa ya Tanzania Bara

DSCN9486

Meneja wa chapa wa vinywaji vikali wa Serengeti Breweries Limited, Shomari Shija (wa nne kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani).

..Diaegeo Master Bar Academy (MBA)   kwa udhamini wa Smirnoff

Na Andrew Chale wa Mo dewji blog

Kampuni ya Bia ya Serengeti (Serengeti Breweries Limited) kupitia kampuni mama ya  Diaegeo  imeweza kufanya mafunzo ya namna ya kutoa huduma bora ya kuhudumia wateja kupitia vinywaji mbalimbali ikiwemo vinywaji vikali (Spirit) kwa Wahudumu wa Bar ...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Baclays yatoa mafunzo kwa wanafunzi

BENKI ya Barclays tawi la Iringa imetoa mafunzo ya utunzaji fedha kwa wanafunzi wa shule ya sekondari Highlands ya mjini hapa  kwa lengo la kuwajengea uwezo wa kuhifadhi fedha sehemu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

DEP yatoa mafunzo kwa Polisi

SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Programu ya Maendeleo (UNDP) kupitia Mradi wa Uwezeshaji Demokrasia (DEP) wenye thamani ya dola milioni 22 za Marekani, umezindua programu ya mafunzo ya kina...

 

10 years ago

Dewji Blog

Brightermonday Tanzania yatoa fursa kwa wanaotafuta ajira kuwatembelea kwenye maonyesho ya Sabasaba

DSC_9352

Meneja  Masoko wa kampuni ya Brightermonday Tanzania, Lugendo Khalfan ndani ya hema la banda la Jakaya Kikwete akiwa tayari kukuhudumia wewe mtanzania utakayetembelea banda lao katika viwanja vya maonyesho ya 39 ya kimataifa ya biashara ‘Sabasaba’, yanayoendelea kurindima kwenye viwanja vya Mwl. J.K. Nyerere, barabara ya Kilwa, jijini Dar.( Picha na Zainul Mzige wa Modewjiblog)

Na Modewjiblog team

Watafuta ajira kote nchini Tanzania wamehamasishwa kujisajili na tovuti ya Brighter monday ili...

 

10 years ago

GPL

BASATA YATOA MAFUNZO KWA WASANII‏

Kaimu Katibu Mtendaji wa BASATA Godfrey Mngereza (Kushoto) akisisitiza jambo wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wasanii wa batiki yaliyoanza mapema wiki hii kwenye Ofisi za Baraza hilo zilizoko Ilala Sharif Shamba jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Kituo cha Utamaduni cha Ujereum Bi. Eleonore Sylla na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Maendeleo ya Utamaduni  Bi. Leah Ruhimbi .
...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani