Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VURUGU KANISA LA MORAVIAN... NI FULL SINEMA

Stori: Haruni Sanchawa
ILIKUWA ni full sinema mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya waumini wa Kanisa la Moravian, lililopo Mwananyamala Msisiri jijini Dar es Salaam kuanzisha vurugu kubwa zilizozimwa na Jeshi la Polisi baada ya kulazimika kutumia mabomu ya kutoa machozi ili kuwadhibiti na hatimaye kuwakamata 29 kati yao. Waumini wakipandishwa kwenye difenda. Inadaiwa kuwa waumini wa kanisa hilo lenye jengo la ghorofa moja...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WAUMINI 30 WA KANISA LA MORAVIAN KORTINI KWA VURUGU

Hii ni safari ya kwenda kusomewa mashitaka yao.
Akina mama wakificha sura zao baada ya kutoka mahakamani.
Watuhumiwa wakiingizwa mahakamani.  …

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA DODOMA AFUNGUA MKUTANO WA KITAIFA WA KANISA MORAVIAN TANZANIA, ATAKA KANISA KULIOMBEA TAIFA

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi akizungumza na viongozi wa kanisa Moravian Tanzania wakati akifungua Mkutano wa Kitaifa wa kanisa hilo uliofanyika mwishoni mwa wiki hii mjini Dodoma. Baadhi ya viongozi wa kanisa la Moravian Tanzania wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr Rehema Nchimbi (hayupo pichani) wakati akifungua Mkutano wa kitaifa wa kanisa hilo hapa nchini uliofanyika mwishoni mwa wiki hii mjini Dodoma.

 

11 years ago

Mwananchi

Kanisa Moravian lasaidia

Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi Ushirika wa Chunya Mjini, limetumia zaidi ya Sh6 milioni kwa ajili ya ununuzi wa vifaa vya shule kwa watoto 100 yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi.

 

11 years ago

Habarileo

Moravian wasikitika kanisa kufungwa

SIKU chache baada ya Askofu wa Kanisa la Moravian Jimbo la Kusini, Dk Lusekelo Mwakafwila kutangaza kufunga Ushirika wa Tabata, Jimbo la Misheni Mashariki kutokana na mgogoro ndani ya kanisa, hatua hiyo imelaumiwa kuwa kikwazo zaidi cha kutafuta suluhisho.

 

11 years ago

Habarileo

Mabomu yatumika kuzima vurugu Moravian

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius WamburaJESHI la Polisi jana lililazimika kutumia mabomu ya machozi, kutawanya waumini wa Kanisa la Moravian Ushirika wa Kinondoni, baada ya makundi mawili yanayovutana, kuibua vurugu kanisani hapo.

 

11 years ago

GPL

WAUMINI KANISA LA MORAVIAN WAZUA TIMBWILI

Waumini wa Kanisa la Moravian wakizozana wakati wa vurugu hizo. Gari la polisi likiwasili eneo la kanisa.…

 

11 years ago

Mwananchi

IMANI: Waziri atishia kulifuta Kanisa la Moravian

>Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe ametishia kulifuta Kanisa la Moravian kutokana na migogoro ya mara kwa mara inayolikumba.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mgogoro Kanisa Moravian watua kwa msajili

KANISA la Moravian kupitia Kamati yake ya Mpito ya Jimbo la Misheni Mashariki imemwandikia barua Msajili wa Vyama na Taasisi za Dini aliyepo Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani