Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vurugu zaibuka Kigoma

Polisi mkoani Kigoma wamelazimika kutumia risasi za moto kuwatawanya watu waliokuwa wakifanya vurugu kwa kuchoma nyumba mbili za watu kwa tuhuma za ushirikina.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Vurugu zaibuka Zanzibar, Bara

Vurugu zimeibuka katika baadhi ya mikoa ya Bara na Zanzibar, hali iliyowalazimu polisi kutumia nguvu ikiwamo kurusha mabomu ya machozi na maji ya kuwasha.

 

10 years ago

Mwananchi

Vurugu zaibuka mkutanoni, wagombea wavutana

Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa zimeendelea kupamba moto nchini, zikiambatana na vurugu pamoja na mivutano baina ya wagombea kutoka vyama mbalimbali.

 

10 years ago

Mwananchi

Warioba awasuta kwa Nyerere, vurugu zaibuka

Waziri Mkuu wa zamani, Jaji Joseph Sinde Warioba jana alivamiwa na kikundi cha watu wachache waliohudhuria mdahalo wa Katiba wakati akihoji vitendo vya baadhi ya watu kutumia vibaya jina la Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere.

 

9 years ago

Raia Mwema

Nyufa za Mwl. Nyerere zaibuka

NYUFA ya udini aliyohadharisha Baba wa Taifa, Julius Nyerere, miaka 20 iliyopita, inanyemelea ten

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

Mwananchi

Kampeni tatu za Katiba zaibuka Zanzibar

Makundi matatu yameibuka visiwani Zanzibar yakifanya kampeni tatu tofauti ikiwamo ya kuunga mkono, kupinga Katiba Inayopendekezwa na kususia kufanyika kura ya maoni inayotarajiwa kupigwa mwakani.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KUFANYA ZIARA YA SIKU MOJA YA KIKAZI KIGOMA KIGOMA

Na Editha Karlo-Michuzi TV,Kigoma.
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa anatarajia kufanya ziara ya siku moja
mkoani Kigoma leo kwa ajili ya kugawa miche ya michikichi kwa makundi
mbalimbali ya wakulima ikiwa ishara ya kuanza rasmi utekelezaji wa
mkakati wa serikali kuelekea kujitegemea kwa mafuta ya kula
yatakayokuwa yakizalishwa kupitia zao la michikichi.

Mkuu wa mkoa Kigoma,Emanuel Maganga akizungumza na waandishi wa habari mjini Kigoma leo alisema kuwa mpango wa ugawaji wa miche hiyo
utafanyika katika...

 

10 years ago

Michuzi

CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI KIGOMA WAZINDUA GAZETI LAO LA KIGOMA YETU

 Na Editha Karlo wa Globu ya Jamii, Kigoma KWA niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanali mstaafu Issa Machibya ,Mkuu wa Wilaya ya Kigoma mjini Exavery Maketa jana alizindua gazeti la Kigoma yetu linaalomilikiwa na CHAMA cha waandishi wa habari wa Mkoa wa Kigoma (KGPC). Uzinduzi huo ulifanyika katika ukumbi wa Kibo Peak uliopo mjini hapa na kuhudhuriwa na mamia ya wadau mbalimbali wa sekta ya habari pamoja na wakazi wa Mkoa wote wa Kigoma Akiongea katika uzinduzi huo katika hotuba yake Mkuu a...

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA KIGOMA AKANUSHA VIONGOZI WA HALMASHAURI YA KIGOMA KULA PESA YA TASAF

Na Editha Karlo wa Globu ya Jamii, Kigoma  MKUU Wa Wilaya ya Kigoma Mhe  Ramadhani Maneno amewataka wananchi wa Wilaya ya Kigoma kuacha kuwashutumu viongozi wa wilaya na Halmashauri kuwa wamekula pesa za TASAF shilingi milioni 183,539 zilizotolewa na serekali kwaajili ya kusaidia kaya maskini Wilayani humo. Mhe  Maneno amewaambia wanahabari ofisini kwake leo kuwa pesa iliyotolewa na TASAF kwa ajili ya kusaidia kaya maskini na zinazoishi katika mazingira magumu katika Wilaya ya Kigoma ...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mwili wa Mama yake Mbunge wa Kigoma Zitto Kabwe wasafirishwa kwenda Kigoma

MAMA1

Zitto Kabwe akiwa na Prof  Ibrahimu Lipumba wakati wa kuuaga Mwili wa mama yake kipenzi Bi Shida Salumu aliyefariki leo kabla ya kusafirishwa kwenda Kigoma kwa mazishi.

mama4

Ndege ikiandaliwa ili kuweza kuingiza mwili wa Marehemu Mama yake Zitto Kabwe.

MAMA2

Waheshimiwa Wabunge na Baadhi ya Viongozi wakibeba Jeneza lililobeba Mwili wa Marehemu Mama yake Zitto Kabwe Bi Shida Salum  kuingiza kwenye ndege Tayari kwa safari ya kwenda Kigoma Kwenye mazishi.

MAMA3

Prof. Ibrahimu Lipumba akijadili jambo na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani