Vurugu zaibuka Zanzibar, Bara
Vurugu zimeibuka katika baadhi ya mikoa ya Bara na Zanzibar, hali iliyowalazimu polisi kutumia nguvu ikiwamo kurusha mabomu ya machozi na maji ya kuwasha.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi14 Jul
Vurugu zaibuka Kigoma
10 years ago
Mwananchi08 Dec
Vurugu zaibuka mkutanoni, wagombea wavutana
10 years ago
Mwananchi03 Nov
Warioba awasuta kwa Nyerere, vurugu zaibuka
10 years ago
Mwananchi13 Dec
Kampeni tatu za Katiba zaibuka Zanzibar
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-jsUEWWQm9Qk/VFdRKn3UHYI/AAAAAAAGvPo/-5cRqMiiTFs/s72-c/unnamed%2B(82).jpg)
Balozi Seif Ali Iddi akagua ujenzi wa bara bara Koani - Jumbi zanzibar
Balozi Seif alisema hayo wakati akikagua ujenzi wa...
11 years ago
Habarileo14 May
Watanzania Bara kuajiriwa Zanzibar
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imesema wananchi kutoka Tanzania Bara, wapo huru kuajiriwa Zanzibar katika sekta mbali mbali na hawachukuliwi kama wageni.
10 years ago
Uhuru Newspaper![](http://2.bp.blogspot.com/-XvB069yUGoU/VSTMncZIULI/AAAAAAAACC8/iPv-vs8Kue8/s72-c/Seif-Ali-Iddi.jpg)
Ushirikiano Bara na Zanzibar kudumu
NA MWANDISHI WETU, ZANZIBAR MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Balozi Seif Ali Iddi, amesema Watanzania wanaoishi Zanzibar na Bara, wataendelea kushirikiana kwa miaka mingi zaidi kutokana na mwingiliano wao wa kidamu.
![](http://2.bp.blogspot.com/-XvB069yUGoU/VSTMncZIULI/AAAAAAAACC8/iPv-vs8Kue8/s1600/Seif-Ali-Iddi.jpg)
10 years ago
Habarileo28 Oct
‘Ardhi ya Zanzibar haijauzwa Bara’
WAZIRI wa Ardhi, Makaazi, Maji na Nishati, Ramadhan Abdalla Shaaban amesema Katiba Inayopendekezwa kwa wananchi, ndiyo itakayotoa fursa kwa Zanzibar kuchimba mafuta na gesi, ambayo yameondolewa katika orodha ya mambo ya Muungano.
10 years ago
Mtanzania02 Apr
CCM wataka tume vurugu Zanzibar
Na Is-haka Omar, Zanzibar
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, kimeitaka Serikali kuunda tume huru kuchunguza tukio la kuvamiwa na kujeruhiwa vibaya wafuasi 25 wa Chama cha Wananchi (CUF), waliokuwa wanatoka katika mkutano Makunduchi hivi karibuni.
Kauli hiyo ya CCM imekuja siku chache baada ya CUF, kuishutumu kuhusika na tukio la kupigwa na kujeruhiwa kwa wafuasi wake.
Akizungumza na MTANZANIA jana mjini Unguja, Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Vuai Ali Vuai, alikana chama chao kuhusika na kutukio...