Ushirikiano Bara na Zanzibar kudumu
![](http://2.bp.blogspot.com/-XvB069yUGoU/VSTMncZIULI/AAAAAAAACC8/iPv-vs8Kue8/s72-c/Seif-Ali-Iddi.jpg)
NA MWANDISHI WETU, ZANZIBAR MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Balozi Seif Ali Iddi, amesema Watanzania wanaoishi Zanzibar na Bara, wataendelea kushirikiana kwa miaka mingi zaidi kutokana na mwingiliano wao wa kidamu. Balozi Seif Ali IddiAlisema uwepo wa ushirikiano huo ndio njia pekee itakayotoa fursa kwa Watanzania hao kusaidiana katika kutatua changamoto zinazowakabili miongoni mwao na vizazi vyao. Balozi Iddi ambaye pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, alisema...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-jsUEWWQm9Qk/VFdRKn3UHYI/AAAAAAAGvPo/-5cRqMiiTFs/s72-c/unnamed%2B(82).jpg)
Balozi Seif Ali Iddi akagua ujenzi wa bara bara Koani - Jumbi zanzibar
Balozi Seif alisema hayo wakati akikagua ujenzi wa...
10 years ago
MichuziBALOZI SEIF AFUNGUA MKUTANO KWA NIABA YA RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN, WA KUIMARISHA MASUALA YA USHIRIKIANO KATIKA AMANIUSALAMA NA MAENDELEO KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI UNAOFANYIKA ZANZIBAR
10 years ago
VijimamboBALOZI SEIF AFUNGUA MKUTANO KWA NIABA YA RAIS WA ZANZIBAR, DK. SHEIN WA KUIMARISHA MASUALA YA USHIRIKIANO KATIKA AMANI, USALAMA NA MAENDELEO KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI UNAOFANYIKA ZANZIBAR
10 years ago
Dewji Blog04 Mar
Bilioni 1.5 kujenga makazi ya kudumu ya chuo cha uandishi wa habari Zanzibar
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (aliyevaa joho rangi ya zambarau) akiambatana na Waziri wa Habari,Utamaduni, Utalii na Michezo Mh. Said Ali Mbarouk (kulia kwake) pamoja na Mkuu wa Taaluma wakiyapokea maandamano ya wahitimu 105 wa cheti na Stashahada wa Chuo cha Uandishi wa Habari Zanzibar waliomaliza mafunzo yao mkupuo wa sita.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema Waandishi wa Habari Nchini wana nafasi kubwa ya kuitumia Taaluma yao katika...
10 years ago
Habarileo28 Oct
‘Ardhi ya Zanzibar haijauzwa Bara’
WAZIRI wa Ardhi, Makaazi, Maji na Nishati, Ramadhan Abdalla Shaaban amesema Katiba Inayopendekezwa kwa wananchi, ndiyo itakayotoa fursa kwa Zanzibar kuchimba mafuta na gesi, ambayo yameondolewa katika orodha ya mambo ya Muungano.
11 years ago
Habarileo14 May
Watanzania Bara kuajiriwa Zanzibar
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imesema wananchi kutoka Tanzania Bara, wapo huru kuajiriwa Zanzibar katika sekta mbali mbali na hawachukuliwi kama wageni.
9 years ago
Mwananchi27 Oct
Vurugu zaibuka Zanzibar, Bara
11 years ago
Habarileo19 Mar
Malalamiko ya Tanzania Bara, Zanzibar hadharani
MWENYEKITI wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Warioba, ametaja malalamiko 10 ya kila upande wa Muungano, ambayo yanatishia kuvunja Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, ikiwemo Serikali ya Tanganyika kuvaa koti la Serikali ya Muungano ambalo linaisaidia Tanganyika zaidi kuliko Zanzibar.