Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watanzania Bara kuajiriwa Zanzibar

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imesema wananchi kutoka Tanzania Bara, wapo huru kuajiriwa Zanzibar katika sekta mbali mbali na hawachukuliwi kama wageni.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Watanzania msiwaze kuajiriwa, jiajirini

Vijana na Watanzania kwa jumla wameaswa kuacha kutegemea ajira za ofisini, badala yake watafakari namna ya kujiingiza katika ujasiriamali ili kuondokana na umaskini.

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi akagua ujenzi wa bara bara Koani - Jumbi zanzibar

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema uamuzi uliochukuliwa na Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar wa kujadiliana na mjenzi wa Bara bara ya Koani hadi Jumbi ndio njia pekee itakayoweza kufanikisha ujenzi wa Bara bara hiyo. Alisema uamuzi wa pande hizo mbili wa kupelekana Mahakamani hautowasaidia Wananchi ambao lengo lao ni kupata huduma za mawasiliano ya bara bara kwa kuendesha harakati zao za kimaisha.
Balozi Seif alisema hayo wakati akikagua ujenzi wa...

 

9 years ago

Habarileo

Maalim Seif akana kubagua Watanzania Bara

MGOMBEA urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amewatoa hofu wananchi wenye asili ya Tanzania Bara kuwa wataendelea kuishi Zanzibar kwa usalama bila ya usumbufu wa aina yoyote.

 

10 years ago

Habarileo

‘Ardhi ya Zanzibar haijauzwa Bara’

WAZIRI wa Ardhi, Makaazi, Maji na Nishati, Ramadhan Abdalla Shaaban amesema Katiba Inayopendekezwa kwa wananchi, ndiyo itakayotoa fursa kwa Zanzibar kuchimba mafuta na gesi, ambayo yameondolewa katika orodha ya mambo ya Muungano.

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Ushirikiano Bara na Zanzibar kudumu



NA MWANDISHI WETU, ZANZIBAR MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Balozi Seif Ali Iddi, amesema Watanzania wanaoishi Zanzibar na Bara, wataendelea kushirikiana kwa miaka mingi zaidi kutokana na mwingiliano wao wa kidamu. Balozi Seif Ali IddiAlisema uwepo wa ushirikiano huo ndio njia pekee itakayotoa fursa kwa Watanzania hao kusaidiana katika kutatua changamoto zinazowakabili miongoni mwao na vizazi vyao. Balozi Iddi ambaye pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, alisema...

 

9 years ago

Mwananchi

Vurugu zaibuka Zanzibar, Bara

Vurugu zimeibuka katika baadhi ya mikoa ya Bara na Zanzibar, hali iliyowalazimu polisi kutumia nguvu ikiwamo kurusha mabomu ya machozi na maji ya kuwasha.

 

11 years ago

Michuzi

MAKAMU WA CCM BARA MH.PHILIP MANGULA AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO BEIJING CHINA

Makamu wa ccm bara MH.Philip Mangula akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watanzania wanaosoma na kufanya kazi nchini China katika mji wa Beijing baada ya kukutana nao kwa kikao kifupi katika kujadili mstakabali wa wasomi katika ujenzi wa taifa lao.Hii ilifanyika baada ya ziara fupi nchini aliyofanya MH,Mangula mwanzoni wa wiki hii.
Baadhi ya watanzania waishio nchini wakiwa katika picha ya pamoja na makamu wa ccm, bara MH.Philip Mangula
baada ya kikao cha kujadili mambo kadhaa ya...

 

11 years ago

Habarileo

Malalamiko ya Tanzania Bara, Zanzibar hadharani

MWENYEKITI wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Warioba, ametaja malalamiko 10 ya kila upande wa Muungano, ambayo yanatishia kuvunja Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, ikiwemo Serikali ya Tanganyika kuvaa koti la Serikali ya Muungano ambalo linaisaidia Tanganyika zaidi kuliko Zanzibar.

 

11 years ago

GPL

MAKAMU WA CCM BARA MH.PHILIP MANGULA AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO BEIJING CHINA‏

Makamu wa ccm bara MH.Philip Mangula akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watanzania wanaosoma na kufanya kazi nchini China katika mji wa Beijing baada ya kukutana nao kwa kikao kifupi katika kujadili mstakabali wa wasomi katika ujenzi wa taifa lao.Hii ilifanyika baada ya ziara fupi nchini aliyofanya MH,Mangula mwanzoni wa wiki hii.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani