VYAKULA: Wengi hupenda nyama lakini wataalam wanatahadharisha
>Chakula ni dawa, lakini chaweza kuwa sumu pia. Watu wengi wana desturi ya kula ili kufurahi na tumbo lijae. Wakati huo huo ulaji unaweza kuwa chanzo cha matatizo yatakayoathiri mwili, ingawa usafi ulizingatiwa katika maandalizi hadi matumizi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog06 Jun
Wananchi wengi wanaamini kuwa gesi imeleta neema nchini Tanzania, lakini wengi wana wasiwasi kuwa Serikali na matajiri watafaidika zaidi
Mabomba ya kusafirisha gesi kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam.
Wananchi wanne kati ya watano wanaamini kuwa mafuta na gesi yatawanufaisha wao, watoto wao na nchi yao kwa ujumla. Wakati huo huo, wananchi wanne kati ya kumi (37%) wanaamini kuwa viongozi wa Serikali na matajiri ndio wataofaidika zaidi. Pia, zaidi ya nusu (55%) wangependa baadhi ya mapato ya mafuta na gesi wapewe wananchi moja kwa moja kama fedha taslimu.
Matokeo haya yametolewa na Twaweza katika muhtasari wa utafiti wenye...
11 years ago
Mwananchi19 Oct
Watoaji wa roho za watu ni wengi lakini, madereva wamezidi
11 years ago
Mwananchi13 Jul
Watoaji wa roho za watu ni wengi lakini madereva wamezidi
11 years ago
Mwananchi25 Apr
Uchumi wa Afrika wakua, lakini wengi wangali na njaa
10 years ago
Bongo528 Sep
Wanamuziki wengi bado wanaishi lakini muziki umekufa — Afande Sele
10 years ago
Vijimambo
5 years ago
BBCSwahili20 Feb
Amanda McCracken: Mwanamke aliyekuwa na wapenzi wengi lakini akasalia bikra hadi umri wa miaka 41
11 years ago
Tanzania Daima05 Jun
Chozi hupenda amani
CHOZI ni moja ya jamii za ndege wanaopatikana kwa wingi katika eneo la Afrika Mashariki. Chozi pamoja na ndege mwingine ajulikanaye kwa jina la Kiingereza Spiderhunte, wanatengeneza familia ya Nectariniidae....
11 years ago
Tanzania Daima13 Mar
Pomboo hupenda kucheza na binadamu
KAMA tulivyoahidiana wiki iliyopita, hii itakuwa ni sehemu ya mwisho katika awamu ya kwanza na simulizi kuhusiana na samaki mnyama pomboo. Pamoja na haya tutakayoyaeleza leo, bado kuna mambo mengine...