Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vyama kuondoa makundi Bunge Maalum

VIONGOZI wa vyama vya siasa nchini wameanza kujadili namna ya kuondoa makundi katika Bunge maalumu la Katiba kwa njia ya mazungumzo, yakielezwa ndivyo yanayosababisha migogoro iliyopo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Viongozi wa vyama vya Siasa wakutana kujadili ushiriki wa makundi maalum katika uongozi

Tanzania Center for Democracy (TCD) iliwakutanisha viongozi wa vyama vya Siasa wanachama wa TCD ili kupokea taarifa ya Utafiti wa ushiriki wa makundi maalum katika nafasi za uongozi wa nchi, makundi yaliyojadiliwa ni Wanawake, Vijana na Walemavu ... Mapendekezo na maazimio ya mkutano huo yanafanyiwa kazi na TCD na baadae yatapelewa kwenye vyama kwa ajili ya kutumia Matokeo ya Utafiti huo ili kuongeza ushiriki wa makundi hayo katika uongozi ndani ya vyama na Taifa kwa ujumla!Kutoka kushoto ni...

 

11 years ago

Habarileo

Bunge Maalum kutoapishwa kwa makundi

WAJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba wataapishwa mmoja mmoja badala ya makundi, ingawa utaratibu huo umepingwa na baadhi ya wajumbe kuwa utaitia hasara serikali zaidi ya Sh milioni 500. Uamuzi huo wa kuapa mmoja mmoja, unapingana na ushauri wa Kamati ya Kanuni iliyo chini ya Mwenyekiti wake, Profesa Costa Mahalu iliyopendekeza wajumbe waape kwa makundi, kufuatana na imani za dini zao, kazi ambayo ingechukua siku moja.

 

11 years ago

Habarileo

Sumaye: Bunge Maalum mnaendekeza maslahi ya vyama

WAZIRI Mkuu mstaafu wa Awamu ya Tatu, Frederick Sumaye, amewataka wabunge wa Bunge Maalumu la Katiba kutoendekeza itikadi na misimamo ya vyama vyao wakati huu ili kupata Katiba yenye tija kwa Watanzania.

 

10 years ago

Dewji Blog

Viongozi na Wasanii wa Vyama vya Mashirikisho ya Sanaa wasisitiza kuhusu ujio wa Ujumbe wao Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma

PIX 1.

Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanamuziki Tanzania (TAMUNET) Bw. John Kitime (kushoto) akiwahutubia waandishi wa Habari pamoja na Wasanii waliohudhuria mkutano uliofanyika mjini Dodoma 27 Agosti, 2014. Kulia ni Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania Bw. Simon Mwakifwamba.

Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma.

VIONGOZI na Wasanii toka baadhi ya Vyama na Mashirikisho ya Sanaa nchini wameendelea kuhabarisha umma juu ya ujio wa Ujumbe wao wenye malengo mawili ya msingi ya kutaka wasanii kutambuliwa...

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA

 Sisi Wawakilishi wa Jumuiya na Taasisi za Dini, tuliopendekezwa na Taasisi zetu na baadaye kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kushauriana na Rais wa Zanzibar kuwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, na kula kiapo cha utekelezaji wa jukumu hili kubwa.Tukiamini kuandaa Katiba Mpya kwa maridhiano ya Kitaifa kwa wananchi wote, tulipokea jukumu hili kama wajibu wetu Kitaifa.  Aidha tunaamini kwamba katika kupata maridhiano ya Kitaifa ni muhimu kuheshimu kila wazo na...

 

11 years ago

GPL

MAKONDA; MAKUNDI KATIKA VYAMA NI HATARI KWA TAIFA

MKUU wa Idara ya Hamasa na Chipukizi wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapindunzi (UVCCM), Paul Makonda alitembelea chumba cha habari cha Global Publishers Janurai 24 mwaka huu na kuzungumza na wanahabari. Paul Makonda. Ni mengi aliyoyasema mbele ya wanahabari. Leo tunakuletea yale yaliyojiri siku hiyo.
Mara baada ya kukaribishwa na Mhariri wa Habari, Makala na Uratibu wa Global Publishers, Luqman Maloto katika jukwaa ambalo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani