Bunge Maalum kutoapishwa kwa makundi
WAJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba wataapishwa mmoja mmoja badala ya makundi, ingawa utaratibu huo umepingwa na baadhi ya wajumbe kuwa utaitia hasara serikali zaidi ya Sh milioni 500. Uamuzi huo wa kuapa mmoja mmoja, unapingana na ushauri wa Kamati ya Kanuni iliyo chini ya Mwenyekiti wake, Profesa Costa Mahalu iliyopendekeza wajumbe waape kwa makundi, kufuatana na imani za dini zao, kazi ambayo ingechukua siku moja.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo10 May
Vyama kuondoa makundi Bunge Maalum
VIONGOZI wa vyama vya siasa nchini wameanza kujadili namna ya kuondoa makundi katika Bunge maalumu la Katiba kwa njia ya mazungumzo, yakielezwa ndivyo yanayosababisha migogoro iliyopo.
11 years ago
Michuzi05 Aug
11 years ago
Mwananchi28 Feb
Wajumbe Bunge la Katiba kuchangia kwa makundi
10 years ago
Michuzi04 Sep
TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA
10 years ago
Dewji Blog03 Sep
Mhe. Sitta apewa pongezi kwa kuliendesha Bunge Maalum la Katiba kwa utulivu na amani
Sheikh Hemed Jalala akizungumza na Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba (hayupo pichani) wakati alipotembelea Bunge Maalum leo 03 Septemba, 2014 kwa ajili ya kumpongeza kwa kazi kubwa na nzuri anayoifanya.
Na Magreth Kinabo, Dodoma.
BAADHI ya viongozi wa dini wamempongeza Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta kwa kitendo chake cha kuliendesha Bunge hilo vizuri katika hali ya utulivu na amani.
Kauli hiyo imetolewa leo na Sheikh Hemed Jalala kutoka Msikiti wa Ghadiir...
10 years ago
Dewji Blog08 Oct
Shirikisho la Muziki Tanzania latoa pongezi kwa Bunge Maalum la Katiba kwa kazi nzuri
Rais wa Shirikisho la Muziki Tanzania (TMF), Addo November (katikati) akizungumza na waandishi wa habari, wakati akilipongeza Bunge Maalum la Katiba kwa kuingiza katika vipengele vitatu vinavyolinda maslahi ya wanamuziki. Kulia ni Mwanamuziki Kasim Mapili na Samatta Rajabu.
Na Anitha Jonas –Maelezo.
SHIRIKISHO la Muziki Tanzania limetoa pongezi za dhati kwa Bunge Maalum la Katiba lililokuwa likiongozwa na Mwenyekiti wa Bunge hilo Mhe. Samuel Sitta kwa kuingiza Ibara tatu katika Rasimu ya...
11 years ago
Michuzi21 Mar
Taarifa kwa Wajumbe wa Bunge Maalum
Imetolewa na Ofisi ya Katibu wa Bunge Maalum DODOMA
21/03/2014
11 years ago
Habarileo14 Mar
Makundi maalum wataka kujua aina ya Muungano
WAKATI Bunge la Katiba linajiandaa kuanza kuichambua rasimu ya Katiba mpya wiki ijayo, wajumbe wanaowakilisha makundi maalumu wametaka mjadala wa kwanza, iwe sura ya kwanza na sura sita ya rasimu hiyo ili makundi hayo yaweze kujua hatma ya mambo wanayoyadai yako sehemu ipi ya Muungano.