Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VYAMA VYA SIASA VIACHE KUINGILIA MASUALA YA TUME

 Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),Jaji Mstaafu,Damian Lubuva akizungumza na makundi maalum  (hawapo pichani)jinsi watashiriki upigaji wa kura Oktoba 25  iliyofanyika Ukumbi wa New Afrika Hoteli jijini Dar es Salaam.Mwenyekiti wa Chama Shirikisho la Watu  wenye Ulemavu Mkoa wa Pwani Adam Shaban akizungumza juu jinsi ushiriki katika upigaji kura Oktoba 25 katika mkutanao uliotishwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) uliofanyika leo katika Hoteli ya New Afrika jijini Dar es Slaam.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MDAHALO WA VYAMA VYA SIASA VIKIJADILI MASUALA LA ELIMU NA AFYA

MDAHALO WA VYAMA VYA SIASA JUMAPILI 13 SEPTEMBER SAA SABA MCHANA Tarehe: Jumapili Septemba 13 2015
Muda: 7:00 – 10:00am (Saa saba mchana hadi saa kumi jioni)
Mahali: Ukumbi wa Julius Nyerere International Conference Centre (JNICC) – Posta

Midahalo hii inalenga kuvipa vyama vyote fursa ya kunadi Ilani zao na kwa wananchi kuuliza maswali muhimu yatakayo pelekea maamuzi yao katika uchaguzi. Vyama vinavyoshiriki ni vile vyenye wagombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais wa...

 

9 years ago

Vijimambo

MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA ATAJA VYAMA VYA SIASA VYENYE USAJILI WA KUDUMU AMBAVYO VINASTAHILI KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini, Monica Laurent (kushoto), akizungumza na wanahabari wakati akimkaribisha msemaji wa mkutano huo kuzungumza na waandishi.Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa nchini, Sisty Nyahoza (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu ambavyo ninastahili kushiriki uchaguzi mkuu. Kulia ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu,...

 

5 years ago

CCM Blog

HOTUBA YA MWENYEKITI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI MHE. JAJI WA RUFAA (MST) SEMISTOCLES KAIJAGE KWENYE MKUTANO WA TUME NA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO WA MWL. NYERERE TAREHE 23 MACHI, 2020







•           Mheshimiwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi,•           Waheshimiwa Wajumbe wa Tume,•           Mkurugenzi wa Uchaguzi,•           Msajili wa Vyama vya Siasa,•           Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa,•           Viongozi wa Vyama vya Siasa,•           Mwakilishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu,•           Inspekta Jenerali wa Polisi,•           Kamishna Mkuu wa Uhamiaji•           Watendaji wa Tume,•           Waandishi wa Habari,•           Mabibi na Mabwana
Bwana...

 

10 years ago

GPL

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAKUTANA NA VYAMA VYA SIASA KUHUSU MAJIMBO MAPYA

Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Uchaguzi, Julius  Malaba,  akizungumza jambo. Sehemu ya viongozi wa vyama vya siasa katika mkutano huo. Prof. Lipumba akichangia katika mkutano…

 

9 years ago

Michuzi

WAANGALIZI WA KIMATAIFA WA UCHAGUZI WAENDELEA KUPATA UFAFANUZI JUU YA MASUALA YANAYOHUSIANA NA VYAMA VYA SIASA NA UCHAGUZI.

 Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini . Jaji Francis S. K  Mutungi akizungumza na Waangalizi wa  uchaguzi Mkuu  kutoka Bunge la Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi hiyo jana Oktoba 21,2015. Baadhi ya Waangalizi wa Uchaguzi kutoka Bunge la Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC)kushoto ni Msajili Msaidizi Usajili wa Vyama vya Siasa Bw. Sisty Nyahoza akielezea utekelezaji wa majukumu ya Ofisi ya Msajili wa vyama vya Siasa ,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani