Vyama vyatakiwa kuacha uchochezi
MASHIRIKA yasiyo ya Serikali yanayotetea Usawa wa Kijinsia, Haki za Binadamu, Demokrasia, Utawala bora, Maendeleo na Ukombozi wa Mwanamke Kimapinduzi (FemAct), yametaka vyama vya siasa na makundi mbalimbali kuacha kushiriki katika vitendo vya kiuchochezi vinavyoweza kusababisha vurugu nchini.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo08 Sep
Vyama vya siasa vyatakiwa kutii sheria za nchi
MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini, amevitaka vyama vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi mkuu, kuheshimu na kutii sheria za nchi hasa sheria ya usajili wa vyama na gharama za uchaguzi.
10 years ago
Uhuru Newspaper28 Aug
Vyama vya siasa vyatakiwa kuweka utaifa mbele
Vyaonywa maslahi ya vyama yataiweka nchi pabaya
NA KHADIJA MUSSA
VIONGOZI wa vyama vya siasa watakaokwenda kukutana na Rais Jakaya Kikwete, wametakiwa kuweka mbele masuala yanayohusu taifa na si misimamo binafsi ya vyama vyao.
Aidha wasomi nchini wamempongeza Rais Kikwete kwa kukubali kukutana na viongozi wa vyamaa hivyo vya siasa kwa kuwa ni ishara nzuri kwa kiongozi wa nchi kutokuwa na ubaguzi hata kwa watu wasiomuunga mkono.
Hatua hiyo imekuja muda mfupi baada ya Rais Kikwete kukubali...
9 years ago
MichuziVYAMA VYA SIASA VYATAKIWA KUTUMIA LUGHA ZA KISTAARABU KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-jjCncTnXX8I/Xp2nnn-zvTI/AAAAAAALnk0/BQBg94azfSMw1hOGnBfyotODZzEd-fQogCLcBGAsYHQ/s72-c/S1.jpg)
VYAMA VYA SIASA VYATAKIWA KUWA NA OFISI NDOGO ZA MAKAO MAKUU JIJINI DODOMA
Na: Mwandishi Wetu - ORPP
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini ametoa wito kwa vyama vya siasa kufungua ofisi za makao makuu Jijini Dodoma kwa kuwa ndiyo makao makuu ya serikali.
Wito huo umetolea na Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza, alipotembelea ofisi ndogo za makao makuu ya Chama cha Wakulima (AAFP) jijini Dodoma hivi karibuni.
Nyahoza alisema kuwa Vyama vyote vya Siasa vinatakiwa kuwa na ofisi za makao makuu jijini Dodoma kwa kuwa ndiko shughuli zote za serikali...
10 years ago
MichuziVYAMA VYA SIASA VYATAKIWA KUWEKA VIPENGELE VYA WATOTO KWENYE ILANI ZAO.
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii.
VYAMA vya Siasa nchini katika kuelekea Uchaguzi Mkuu vimetakiwa katika ilani zao, kuweka vipengele vya watoto kutokana na kuwepo kwa sheria kandamizi dhidi ya mtoto.
Hayo wameyasema watoto wakati wa mkutano uliondaliwa na Shirika la Save the Children kupitia Ajenda ya Mtoto inayoshirikisha mashirika 30 yanayojighulisha na masuala ya watoto kwa kuwakutanisha viongozi wa vyama vya siasa na watoto ,katika kujadili nafasi ya mtoto katika ilani zao kuelekea...
9 years ago
StarTV14 Sep
Wananchi wahimizwa kusikiliza sera za vyama vya siasa na kuacha ushabiki
Wananchi wametakiwa kuacha ushabiki wa vyama na badala yake wajitokeze kusikiliza sera za vyama mbalimbali vya siasa nchini ili waweze kuchagua kiongozi kutokana na sera zitakazowaletea maendeleo kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.
Hayo yamebainishwa na mgombea ubunge jimbo la Buchosa kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo Marco Manyilizu wakati wa kunadai sera za chama hicho kwa wananchi wa Kata ya Nyehunge wilayani Sengerema.
Akizungumza katika mkutano wa kampeni mgombea huyo amesema kuwa...
9 years ago
Habarileo20 Nov
Vyatakiwa kuandaa viongozi kimaadili
MWITO umetolewa kwa vyama vya siasa nchini kuwekeza kwa wanachama wake kwa kuwaandaa katika elimu ya maadili na uongozi kama ilivyokuwa huko nyuma ili kuisaidia nchi kupata viongozi waadilifu na wawajibikaji.
11 years ago
Mwananchi28 May
Vyombo vya habari vyatakiwa kukuza utalii
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-WcSBrqiYpQs/XrGpj69u-LI/AAAAAAALpQA/yYyxZn9ZgY0S04WnFOkTFSDouMgRV_LIgCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_2762-2048x1365.jpg)
VYUO VYA KILIMO NCHINI VYATAKIWA KUJIIMARISHA KIMAPATO
![](https://1.bp.blogspot.com/-WcSBrqiYpQs/XrGpj69u-LI/AAAAAAALpQA/yYyxZn9ZgY0S04WnFOkTFSDouMgRV_LIgCLcBGAsYHQ/s640/IMG_2762-2048x1365.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/DSC_2910.jpg)
Katibu Mkuu Wizara ya Killimo Bw.Gerald Kusaya (aliyevaa suti ya blu ) akiongea na Askari na Maafisa wa JKT Bulombora Kigoma alipotembelea kukagua utekelezaji wa agizo la Waziri Mkuu kuhusu uzalishaji miche bora ya zao la mchikichi.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/DSC_2997.jpg)
Katibu ...