Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VYUNGU VYA RUNGEMBA NI UTALII TOSHA


kiatu cha asili kilichotengenezwa kwa udongo ambacho kinauzwa kati ya Tsh 160,000 kwa kimoja na pea moja ni Tsh 320,000 kiatu hiki ni moja kati ya vivutio vya utalii katika wilaya ya Mufindi mkoani Iringa vinavyotengenezwa eneo la Rungemba na kuvutia watalii wa ndani na njeBaadhi ya vifaa mbali mbali vilivyotengenezwa kwa udongo eneo la Rungemba Mufindi ni zaidi ya utalii.Majiko na vyungu vilivyotengenezwa kwa udongoMmoja kati ya wanahabari mkoani Iringa Mawazo...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

VYUNGU VYA RUNGEMBA NI ZAIDI YA UTALII WILAYA YA MUFINDI

Mmiliki  wa mtandao wa matukiodaima akiwa ameshika kiatu cha michezo (njumu) ya asili  kilichotengenezwa kwa  udongo  ambacho  kinauzwa kati ya Tsh  150,000 kwa  kimoja na  pea moja ni Tsh 300,000.kiatu  hiki ni  moja kati ya  vivutio vya utalii katika  wilaya ya Mufindi  mkoani Iringa vinavyotengenezwa  eneo la Rungemba na kuvutia  watalii  wa ndani na nje.Baadhi ya  vifaa mbali mbali  vilivyotengenezwa kwa udongo  eneo la  Rungemba  Mufindi  ni  zaidi ya  utalii.Mmoja kati ya  wanahabari ...

 

10 years ago

Michuzi

wizara ya MALIASILI NA UTALII YAENDELEA KUTANGAZA VIVUTIO VYA UTALII MAREKANI

 Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dk. Adelhelm Meru (kulia) akimpa zawadi ya kinyago Naibu Meya wa jiji la Seattle nchini Marekani Bi. Kim mara baada ya kumaliza mazungumzo yao. Waziri Kivuli wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Iringa Mjini Mhe. Peter Msigwa akiongea katika ziara ya kutangaza vivutio vya utalii nchini katika jiji la Seattle nchini Marekani. Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dk. Adelhelm Meru (kulia) akipokea kitabu maalum...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Watanzania tembeleeni vivutio vya utalii’

WATANZANIA wamehimizwa kutembelea vivutio vya utalii nchini kwa ajili ya kujifunza, kutangaza utalii wa ndani na kuongeza pato la taifa. Ushauri huo ulitolewa juzi na Ofisa Utalii wa Hifadhi ya...

 

11 years ago

Habarileo

Mradi wa kutangaza vivutio vya utalii

KLABU ya waandishi wa habari mkoani Kilimanjaro (MECKI) imeiomba serikali mkoani humo, kusaidia kufanikisha mradi wa utangazaji wa vivutio vya utalii mkoani humo, ambao utagharimu zaidi ya Sh milioni 145.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Vivutio vya utalii Rungwe havitangazwi

WILAYA ya Rungwe mkoani Mbeya imeshindwa kupaa kiuchumi kwa kutovitangaza vivutio vya utalii vilivyopo. Kauli hiyo ilitolewa jana na Katibu Mkuu wa Christian and Gospel Ministry (CGM) wilayani humo, Watson...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Tangazeni vivutio vya utalii- Nyalandu


NA MWANDISHI WETU
KAMPUNI za utalii nchini, zimetakiwa kutangaza vivutio vya utalii, ndani na nje ya nchi.
Waziri  wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, alisema hayo  jijini Arusha,  wakati akifungua mkutano mkuu wa Wamiliki wa Kampuni ya Kusafirisha Watalii (TATO).
Alisema kazi ya kutangaza utalii inapaswa kupewa kipaumbele katika kampuni hizo.
Alizitaka kampuni hizo kuhakikisa zinaongeza kiasi kikubwa cha watalii wanaoingia  nchini, ili kuiingizia serikali fedha nyingi za kigeni na kuachana...

 

10 years ago

Habarileo

Watanzania waaswa kutembelea vivutio vya utalii

WATANZANIA wameaswa kutembelea vivutio vya utalii ili kuona mambo mbalimbali hususani wanyama waliopo kwenye hifadhi zote nchini na hasa nyakati za Sikukuu za mwishoni mwa mwaka yaani Krismasi na Mwaka Mpya.

 

11 years ago

Mwananchi

Taasisi za dini zianzishe vituo vya utalii

Wiki iliyopita nilihudhuria hafla ya kuwapatia maelekezo mahujaji wa Kiislamu wanaokwenda Maka na Madina kwa ajili ya kutimiza ibada ya Hijja.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani