Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vyuo vya Tanzania vyafeli katika mjadala

Vyuo vikuu vitatu vya Tanzania ambavyo vilishiriki katika mashindano ya mjadala wa Afrika vilifeli.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MAADILI YAHIMIZWA NA KUTILIWA MKAZO KATIKA VYUO VYA ELIMU YA JUU NCHINI

Na Rocky Setembo – Afisa Habari, Tume ya Maadili ya Viongozi.
Viongozi wakuu kutoka Chuo cha Biashara ‘CBE’ wameaswa kuwa mstari wa mbele katika kulinda na kusimamia uadilifu wa Chuo hicho ili kuhakikisha Taifa linapata wasomi waliojengeka vyema kielimu na kimaadili.
Rai hiyo imetolewa na Katibu Viongozi wa Umma, Ofisi ya Rais - Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Bw. Tixon Tuyangine Nzunda, wakati akitoa Mafunzo ya Maadili kwa Wakurugenzi Wakuu na Wakurugenzi Wasaidizi, kutoka...

 

5 years ago

Michuzi

MTAZAMO/HOJA/NIONAVYO- TAFITI KATIKA VYUO VYA KILIMO KUTIMIZA ADHMA YA UCHUMI WA VIWANDA

Na Ismail Ngayonga,MAELEZO-DAR ES SALAAM
SEKTA ya Kilimo nchini imeendelea kuwa ni Sekta muhimu katika maendeleo ya uchumi wa wananchi na Taifa kwa ujumla hususan katika wakati huu tunapojizatiti kufikia uchumi wa viwanda. Katika  kipindi  cha  miaka mitano, Pato la Taifa linalotokana na kilimo, kwa kutumia  bei  za  Mwaka  2015  limeongezeka  kwa asilimia 17 kutoka Tsh. Trilioni 25.2 Mwaka 2015 hadi Tsh. Trilioni 29.5 Mwaka 2019. Vilevile, sekta imeendelea kutoa ajira kwa Watanzania kwa...

 

11 years ago

Habarileo

‘Tanzania ina upungufu wa vyuo vya uongozi thabiti’

Aliyekuwa Waziri Mkuu, Frederick SumayeAL I Y E K U W A Waziri Mkuu katika Serikali ya Awamu ya Tatu, Frederick Sumaye, amesema Tanzania ina upungufu mkubwa wa vyuo vinavyotakiwa kutoa fani ya uongozi thabiti.

 

10 years ago

Michuzi

TAMKO LA SHIRIKISHO LA VYUO VYA ELIMU YA JUU TANZANIA-CCM

 

SHIRIKISHO la Taifa tunawapongeza wajumbe wote wa vikao vyote vya maamuzi ndani ya chama chetu kwa kutenda haki na kumteua mgombea safi, muadilifu, mchapa kazi, mzalendo, ambaye hakuwa na kundi na hadi kwa sasa hana kundi, mwenye dhamira ya dhati na utashi wa kudumisha umoja na mshikamano ndani na nje ya chama chetu.
Shirikisho Taifa tunapenda kuchukua fursa hii kuwapongeza Mheshimiwa Daktari John Pombe Magufuli na Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani kuteuliwa kuwa wapeperusha bendera ya CCM...

 

11 years ago

GPL

PSPF YATOA MAFUNZO JINSI YA KUJIUNGA NA UWANACHAMA WAKATI WA MAONYESHO YA VYUO VYA ELIMU YA JUU YALIYOANDALIWA NA TUME YA VYUO VIKUU (TCU)

Afisa Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Rahma Ngassa (Kulia), akiwaeleza wanafunzi nhawa jinsi ya kujaza fomu za kujiunga na uanachama wa Mfuko huo, wakati wa maonyesho ya vyuo vya elimu ya juu yaliyoandaliwa na Tume ya vyuo vikuu (TCU), kwa kushirikiana na wizara ya elimu na mafunzo yan ufundi stadi. Maonyesho hayo ya siku tatu yamefunguliwa jana kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Afisa Uendeshaji wa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Don Bosco Net kufanya kongamano leo juu ya kuwashawishi vijana wa kike kujiunga katika vyuo vya Ufundi!

16a0f-15190381524_7ae130369b_o

Miongoni mwa wasichana wakiwa katika chuo cha mafunzo ya ufundi kujifunza mambo mbalimbali ya ufundi. Masomo ya ufundi jansia ya kike hasa wasichana wamekuwa nyuma kuichangamkia licha ya juhudi za wadau kujitahidi kuwashashi.

Na Rabi Hume wa Modewjiblog

Taasisi isiyokuwa ya kiserikali ya Don Bosco Net imeandaa kongamano la kuwakutanisha vijana wa kike ili kuwashawishi kujiunga na vyuo vya ufundi ili kupata elimu na kuwa na uwezo wa kuajiriwa na kuanzisha kampeni ya Binti Thamani...

 

10 years ago

Vijimambo

TANZANIA YAWA MWENYEJI WA MKUTANO WA KWANZA WA WAKUU WA VYUO VYA KODI AFRIKA

01Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi Kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Richard Kayombo akitoa neno kuwakaribisha wageni katika mkutano wa Kwanza wa Wakuu wa Vyuo vya Kodi Afrika uliohudhuriwa na wajumbe zaidi ya 50 kutoka katika taasisi za kodi barani Afrika, Mkutano huo umeandaliwa kwa ushirikiano wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Taasisi za Kodi Afrika (ATAF), leo Jijini Dar es Salaam. 02Mkuu wa Chuo cha Uongozi wa Kodi Tanzani (ITA) Prof. Isaiah Jairo akiongea na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani