Waandamana kumlaani kiongozi Hong:K
Katika mahojiano, kiongozi wa Hong Kong CY Leung alionekana kuashiria kwamba kuwapa watu maskini kura sio jambo jema .
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili28 Sep
Hong Kong:Waandamana kuipinga Uchina
Kiongozi wa vugu vugu la demokrasi mjini Hong Kong amewambia maelfu ya waandamanaji kuwa kampeni kubwa sasa imeanza.
10 years ago
BBCSwahili09 Jun
Hong Hong yatoa tahadhari ya MERS
Serikali ya Hong Kong imetoa tahadhari dhidi ya kusafiri kwenda nchini Korea Kusini kufuatia kuwepo mlipuko wa homa ya MERS
10 years ago
GPLHEE! MAMA ASAULA KUMLAANI SERENGETI BOY WAKE
Gabriel Ng’osha Heeh! Makubwa! Mama mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja amefanya aibu ya mwaka baada ya kusaula (kuvua) nguo zake na kubaki mtupu, kisa kikidaiwa ni kumlaani ‘serengeti boy’ wake aliyemfanyia kitu mbaya. Mwanamke aliyedaiwa kusahula baada ya kugombana na bwana'ke. Kwa mujibu wa chanzo chetu, mwanamke huyo mbali ya kuwa na mtu wake amedaiwa kuwa na tabia ya kuchepuka na wanaume...
11 years ago
GPLMAMBO 6 YANAYOMFANYA MTU AWE KIONGOZI BORA NA SIO BORA KIONGOZI
Tukiacha mbali picha ambayo mara nyingi au kwa miaka mingi imekuwa ikijengwa vichwani mwa wengi wanapoona na kudhani kwamba fulani ni kiongozi bora [pengine kwa muonekano tu], au kwa sababu anashuka kutoka kwenye gari kwa mbwembwe, tabasamu baada ya kufunguliwa mlango na mkanda na kisha kupokelewa briefcase yake, yapo mambo kadhaa ambayo yanamfanya mtu awe kiongozi bora na sio bora kiongozi. Na kadri siku zinavyokwenda,...
11 years ago
MichuziMAMBO 6 YANAYOMFANYA MTU AWE KIONGOZI BORA NA SIO BORA KIONGOZI
Tukiacha mbali picha ambayo mara nyingi au kwa miaka mingi imekuwa ikijengwa vichwani mwa wengi wanapoona na kudhani kwamba fulani ni kiongozi bora [pengine kwa muonekano tu], au kwa sababu anashuka kutoka kwenye gari kwa mbwembwe, tabasamu baada ya kufunguliwa mlango na mkanda na kisha kupokelewa briefcase yake, yapo mambo kadhaa ambayo yanamfanya mtu awe kiongozi bora na sio bora kiongozi. Na kadri siku zinavyokwenda, taswira ya kiongozi kwa muonekano tu inazidi kupotea....
10 years ago
BBCSwahili15 Oct
Hong Kong si shwari tena
Waandamanaji nchini Hong Kong wame zusha rabsha baina yao na polisi wakati hali ya amani bado ni tete wiki tatu sasa
10 years ago
BBCSwahili29 Sep
Wandamanaji wakesha Hong Kong
Mamia ya waandamanaj wa Hong Kong wamezingirwa na Askari polisi wanaowataka kusitisha maandamano.
10 years ago
BBCSwahili03 Oct
Wanafunzi Hong K. kukutana na serikali
Viongozi wa wanafunzi huko Hong Kong wamekubali kukutana na upande wa serikali kujadili malalamiko yao.
10 years ago
BBCSwahili22 Apr
Hong Kong na utata wa uchaguzi
Serikali ya Hong Kong imetangaza mapendekezo kukusu kuchaguliwa kwa kiongozi wa eneo hilo mwaka 2017.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania