Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hong Hong yatoa tahadhari ya MERS

Serikali ya Hong Kong imetoa tahadhari dhidi ya kusafiri kwenda nchini Korea Kusini kufuatia kuwepo mlipuko wa homa ya MERS

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

China yatoa onyo mgogoro wa Hong Kong

China imetoa onyo kali dhidi ya maandamano yanayoendelea Hong Kong kwa kusema mgogoro huo unahusu mambo ya ndani ya China

 

11 years ago

Dewji Blog

Kwa mara ya kwanza Hyatt Regency ya Hong Kong yatoa ofa ya smartphone kwa wageni wake

hyatt-regency-tsim-sha-tsui-1

Na Mwandishi Wetu

Kwa mara ya kwanza hoteli maarufu duniani ya Hyatt Regency ya Hong Kong imetoa simu aina ya smartphone bure kwa wageni wake waliopanga kwenye hoteli hiyo.

Hoteli hiyo ya Hyatt Regency pia ilitoa viburutisho mbalimbali kama vile chocolates na mvinyo wa bure pamoja na simu aina ya smartphone katika vyumba vyake vyote 381 ili jitihada za kuongeza uzoefu kwa wasafiri na watalii kutoka sehemu mbalimbali duniani.

hyatt-regency-tsim-sha-tsui-smartphone

Katika kuwapa smartphone wateja wake za bure ni katika kutoa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Hong Kong na utata wa uchaguzi

Serikali ya Hong Kong imetangaza mapendekezo kukusu kuchaguliwa kwa kiongozi wa eneo hilo mwaka 2017.

 

10 years ago

BBCSwahili

Hong Kong si shwari tena

Waandamanaji nchini Hong Kong wame zusha rabsha baina yao na polisi wakati hali ya amani bado ni tete wiki tatu sasa

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanafunzi Hong K. kukutana na serikali

Viongozi wa wanafunzi huko Hong Kong wamekubali kukutana na upande wa serikali kujadili malalamiko yao.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wandamanaji wakesha Hong Kong

Mamia ya waandamanaj wa Hong Kong wamezingirwa na Askari polisi wanaowataka kusitisha maandamano.

 

10 years ago

BBCSwahili

Waandamana kumlaani kiongozi Hong:K

Katika mahojiano, kiongozi wa Hong Kong CY Leung alionekana kuashiria kwamba kuwapa watu maskini kura sio jambo jema .

 

10 years ago

BBCSwahili

Hong Kong:Serikali kufanya mazungumzo

Mkurugenzi mkuu wa mji wa Hong Kong Carrie Lam ametangaza kuwa serikali itafanya mazungumzo nawaandamanaji

 

10 years ago

BBCSwahili

Waandamanaji,Serikali kukutana:Hong Kong

Wanafunzi wanaoongoza mgomo kwa zaidi ya wiki tatu Hong Kong leo wanatarajiwa kukutana na uongozi wa serikali kwa majadiliano

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani