Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waandishi wa habari msikubali kutumiwa, unganeni

DSC_0017

Baadhi ya waandishi wa habari na wadau kutoka asasi mbalimbali nchini wakifanya usajili kwenye kongamano la siku moja lilioandiliwa kuadhimisha Uhuru wa vyombo vya Habari Duniani 2014 lililofanyika jijini Arusha.(Picha na Zainul Mzige).

Na Waandishi Wetu, Arusha

Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri (TEF), Absalom Kibanda ametoa wito kwa waandishi wa habari nchini kuyapa uzito matukio yanayowatokea waandishi wa habari na kuyapigia kelele kwa nguvu zote ili kuyakomesha.

Kibanda aliyasema hayo...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WAANDISHI WA HABARI MSIKUBALI KUTUMIWA, UNGANENI‏

Baadhi ya waandishi wa habari na wadau kutoka asasi mbalimbali nchini wakifanya usajili kwenye kongamano la siku moja lilioandiliwa kuadhimisha Uhuru wa vyombo vya Habari Duniani 2014 lililofanyika jijini Arusha. Afisa Mipango Kitengo cha Mawasiliano, Habari na Tehama UNESCO, Bw. Al Amin Yusuph, akiwasilisha mada kuhusu mchango wa uhuru wa vyombo vya habari katika utawala bora, kukuza uwezo na kupunguza umaskini kongamano la...

 

10 years ago

Habarileo

Jaji Mutungi: Redio jamii msikubali kutumiwa ‘kijinga’ na wanasiasa

MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amezitaka redio za jamii kutokubali kutumiwa na vyama vya siasa vinavyotumia unyonge wa Watanzania kiuchumi kujinufaisha kisiasa.

 

9 years ago

Michuzi

VIJANA MSIKUBALI KUTUMIWA VIBAYA NA BAADHI YA WANASIASA KWA FAIDA YA WACHACHE-MAMA SALMA KIKWETE

Na Anna Nkinda – Maelezo, LindiVIJANA wametakiwa kutokubali kutumiwa vibaya na baadhi ya wanasiasa  kwa maslahi ya watu wachache huku hao wanaowatumia wanasonga mbele kimaendeleo na wao wanazidi kurudi nyuma.
Rai hiyo imetolewa jana na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akiongea kwa nyakati tofauti na wananchi wa  kijiji cha Kikomolela kilichopo  jimbo la Mchinga na mtaa wa Likotwa uliopo Jimbo la Lindi mjini waliohudhuria kampeni ya kuwanadi wagombea wa nafasi za udiwani, ubunge na urais...

 

11 years ago

Habarileo

Waandishi msikubali kurubuniwa- Spika

Pandu Ameir KifichoSPIKA wa Baraza la Wawakilishi, Pandu Ameir Kificho amewataka waandishi wa habari nchini, wasikubali kurubuniwa na kutumiwa vibaya na wanasiasa kwa ajili ya kutimiza matakwa yao wakati wanapotekeleza majukumu yao kwa mujibu wa sheria.

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI YA HARAMBEE KUWASAIDIA WAANDISHI WA HABARI YAKABIDHI MILIONI 20 KWA WAANDISHI WENYE MAHITAJI YA MATIBABU

 Mwenyekiti wa Kamati ya Harambee ya Kuwasaidia waandishi wanaougua maradhi mbali mbali, Bw. Benjamin Thompson akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa habari (hawapo pichani), ndani ya Idara ya Habari MAELEZO,mapema leo jijini Dar kuhusiana na matokeo ya harambee ya Media Car Wash for Cancer Campaign, inayoendelea nchini.  Mwenyekiti wa Kamati ya Harambee ya Kuwasaidia waandishi wanaougua maradhi mbali mbali, Bw. Benjamin Thompson akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa habari (hawapo...

 

10 years ago

Michuzi

Waandishi wa habari watakiwa kuwa makini na habari za uchaguzi 2015 wanazoziripoti

Mhandisi Kisaka kutoka TCRA makao makuu akitoa somo kwa viongozi wa vyombo vya habari kanda ya Nyanda za juu kusini.
Na Edwin Moshi, MbeyaVyombo vya habari nchini vimetakiwa kuwa makini na kuripoti habari za uchaguzi mkuu wa mwaka huu kufuata maadili na weledi wa taaluma hiyo ili kufanikisha uchaguzi huo kwa amani
Hayo yamesemwa leo jijini Mbeya na Mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA wakati wakiwapa semina mameneja na wamiliki wa vyombo vya habari vilivyopo kanda ya nyanda za juu kusini...

 

9 years ago

StarTV

Waandishi wa habari wajengewa uwezo Mtwara kuandika Habari Za Gesi Na Mafuta

Mradi wa kuwajengea uwezo waandishi wa habari wanaoandika habari za gesi na mafuta katika nchi tatu za Afrika, Tanzania, Uganda na Ghana unaoendeshwa na chama cha waandishi wa habari za Mazingira JET pamoja na wadau wengine umeanza kuzaa matunda baada ya kuwepo kwa ongezeko la habari zinazogusa sekta hiyo mpya hapa nchini.

Katika awamu ya pili ya mafunzo hayo kwa waandishi wa habari wanane wa Tanzania ambao hapo awali walihudhuria mafunzo hayo mjini Accra Ghana, imebainishwa kuwa tangu...

 

9 years ago

Michuzi

WAANDISHI HABARI WA ZANZIBAR WAPATIWA MBINU BORA ZA KURIPOTI HABARI ZA UCHAGUZI MKUU.

 Mwandishi Mkongwe wa Tasnia ya Habari Tanzania ambae pia ni Mkurugenzi wa Internews Tanzania Valerie N. Msoka akifafanua kitu kwa wandishi wa Habari (hawapo pichani) wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo juu ya kuripoti uchaguzi Mkuu. Mkurugenzi wa Shirika la Internews kanda ya Afrika Ian Noble akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa Habari juu ya kuripoti habari za Uchaguzi, alipotembelea katika mafunzo hayo huko ukumbi wa watu wenye ulemavu Kikwajuni Weles Mjini Zanzibar.Mkurugenzi wa Shirika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani