Waasi nchini Mali wasitisha vita
Waasi nchini Mali wamekubali kusitisha vita siku mbili baada ya kuvishinda vikosi vya serikali katika mji wa kazkazini wa kidal.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili11 Jun
Waasi wa Myanmar wasitisha vita
Waasi katika jimbo la Kokang nchini Myanmar,ambao wamekuwa wakikabiliana na majeshi ya serikali wamesitisha mapigano.
11 years ago
BBCSwahili13 Jan
Waasi wasitisha vita Bangui, CAR
Wapiganaji kutoka makundi hasimu, walikumbatiana katika mji mkuu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Bangui baada ya majeshi ya Ufaransa kuwapatanisha
11 years ago
BBCSwahili24 Jan
Waasi 11 wauawa nchini Mali
Wanajeshi wa Ufaransa wanasema kwamba wamepambana na waasi katika mji wa Tumbuktu Kaskazini mwaMali ambapo wapiganaji kumi na moja wameuawa.
11 years ago
BBCSwahili26 Jul
Gaza:Israel na Hamas wasitisha vita
Serikali ya Israel na wapiganaji wa Hamas wamekubaliana kusitisha vita kwa masaa 12 katika eneo la Gaza .
10 years ago
BBCSwahili20 Feb
10 years ago
BBCSwahili01 Mar
Serikali na waasi kuafikiana Mali
Serikali ya Mali na makundi sita ya wanamgambo wanatarajiwa kutia sahihi makubaliano ya amani yenye nia ya kuleta utulivu .
10 years ago
BBCSwahili01 Feb
Waasi wa Mali wawateka nyara watu 20
Waasi Kazkazini mwa Mali wamekabiliana na wapiganaji wanaounga mkono serikali,kwa mda na kuwateka nyara takriban watu 20.
10 years ago
BBCSwahili07 Mar
UN yawaagiza waasi kuweka amani Mali
Katibu mkuu wa umoja Ban ki Moon ametaka waasi wa Tuareg nchini Mali kutia sahihi makubaliano ya amani ili kuleta utulivu
10 years ago
BBCSwahili12 Jan
Vita vipya dhidi ya waasi wa FDLR
Serikali ya Angola inasema kuwa uamuzi umechukuliwa na mataifa ya Afrika kuingilia kijeshi harakati za waasi wa FDLR kutenda uhalifu Mashariki mwa Congo.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania