Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waasi wa Myanmar wasitisha vita

Waasi katika jimbo la Kokang nchini Myanmar,ambao wamekuwa wakikabiliana na majeshi ya serikali wamesitisha mapigano.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Waasi nchini Mali wasitisha vita

Waasi nchini Mali wamekubali kusitisha vita siku mbili baada ya kuvishinda vikosi vya serikali katika mji wa kazkazini wa kidal.

 

11 years ago

BBCSwahili

Waasi wasitisha vita Bangui, CAR

Wapiganaji kutoka makundi hasimu, walikumbatiana katika mji mkuu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, Bangui baada ya majeshi ya Ufaransa kuwapatanisha

 

11 years ago

BBCSwahili

Gaza:Israel na Hamas wasitisha vita

Serikali ya Israel na wapiganaji wa Hamas wamekubaliana kusitisha vita kwa masaa 12 katika eneo la Gaza .

 

10 years ago

BBCSwahili

UN yajiondoa katika vita dhidi ya waasi

Umoja wa mataifa umeondoa usaidizi wake katika mpango wa kuwashambulia waasi mashariki mwa DR Congo

 

10 years ago

BBCSwahili

Vita vipya dhidi ya waasi wa FDLR

Serikali ya Angola inasema kuwa uamuzi umechukuliwa na mataifa ya Afrika kuingilia kijeshi harakati za waasi wa FDLR kutenda uhalifu Mashariki mwa Congo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Waasi wakubali kusitisha vita Yemen

Wanajeshi waasi nchini Yemen wanaowasaidia waasi wa Houthi kudhiditi maeneo makubwa ya nchi hiyo wamekubali usitishwaji wa mapigano

 

9 years ago

BBCSwahili

Kiongozi wa waasi atishia kufufua vita Sudan Kusini

Kiongozi mmoja wa waasi nchini Sudan Kusini ametishia kuanza tena mapigano, akisema serikali inahujumu mkataba wa amani.

 

9 years ago

BBCSwahili

Maisha yalivyo Myanmar

Huu ni mkusanyiko wa picha alizopiga Geoffrey Hiller kuhusu maisha ya kila siku Myanmar, ambayo pia hujulikana kama Burma.

 

9 years ago

BBCSwahili

Zaidi ya watu 90 wauawa Myanmar

Idadi ya watu waliokufa kutokana na maporomoko ya udongo katika eneo la Jade nchini myanmar imeongezeka hadi takriban watu 90.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani