Waasi waunda vuguvugu dhidi ya Nkurunziza
Waasi wanaompinga rais Pierre Nkurunziza wameungana kuunda vuguvugu moja linalofahamika kama The Republican Force of Burundi, na limetangaza vita dhidi ya kiongozi huyo.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi11 Jul
Waasi Burundi wapanga kumng’oa Rais Nkurunziza
Mmoja wa viongozi wa mapinduzi yaliyozimwa nchini Burundi hivi karibuni ya kutaka kumwondosha madarakani Rais Pierre Nkurunziza, amesema mikakati mingine inaendelea kupangwa ili kumng’oa kiongozi huyo madarakani.
10 years ago
Mwananchi16 May
Nkurunziza atua Burundi, waasi watatu wakamatwa
>Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza amewasili jijini Bujumbura ikiwa ni siku mbili baada ya waasi kutangaza kumuondoa madarakani na tayari majenerali watatu waliotangaza mapinduzi wamekamatwa huku wanajeshi 12 wakiuawa.
10 years ago
BBCSwahili12 Jan
Vita vipya dhidi ya waasi wa FDLR
Serikali ya Angola inasema kuwa uamuzi umechukuliwa na mataifa ya Afrika kuingilia kijeshi harakati za waasi wa FDLR kutenda uhalifu Mashariki mwa Congo.
10 years ago
BBCSwahili11 Feb
UN yajiondoa katika vita dhidi ya waasi
Umoja wa mataifa umeondoa usaidizi wake katika mpango wa kuwashambulia waasi mashariki mwa DR Congo
5 years ago
BBCSwahili11 Jun
Pierre Nkurunziza: Nani anaiongoza Burundi baada ya kifo cha Nkurunziza?
Zaidi ya saa 48 baada ya kifo cha ghafla cha rais wa Burundi Pierre Nkurunziza kumekuwa na sintofahamu kuhusu ni nani atakayechukuwa hatamu ya uongozi.
10 years ago
Mwananchi30 Dec
Mnyika ataka vuguvugu la mageuzi lijikite Moshi Mjini
Naibu Katibu Mkuu wa Chadema (Tanzania Bara), John Mnyika ametaka vuguvugu la mageuzi lililojikita katika mji wa Moshi, lihamie majimbo mengine sita katika Uchaguzi Mkuu ujao.
10 years ago
Michuzi
VUGUVUGU LA AJENDA YA WATOTO NA UCHAGUZI MKUU LAENDELEA KIBAHA



11 years ago
Michuzi
KUTOKA MAKTABA: WAZEE WALIOANZISHA VUGUVUGU LA KUSAKA UHURU TANGANYIKA

10 years ago
VijimamboMWENYEKITI WA VUGUVUGU NCHINI BURUNDI AONGEA NA WANAHABARI HOTEL YA SERENA JIJINI DAR.
***** Mwenyekiti wa vuguvugu za Maandamano Burundi kwa Mara ya kwanza amefika Nchini Tanzania ili kuweza kushuhudia Mkutano wa Dharula kati ya viongozi watano wa Jumuia...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania