WABUNGE, MASTAA WA BONGO, NINA NENO KIDOGO KWENU!
![](http://api.ning.com:80/files/Iumatxx-0jxXZUai4gdyY-NzsCrLvCpztdBIR*Zb1-oTJDFz2slsX41le-enLto-535AFWruKzAE2oI0pafz-Yem*941tkSC/BARUANZITO.jpg)
Jackline Wolper. KWENU, Mastaa wa sanaa mbalimbali Bongo na Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hongereni kwa kazi, kwa wasanii kuwaburudisha mashabiki wenu na kwa wabunge kwa kuwawakilisha wananchi katika majimbo yenu. Yes! Nina neno la kuzungumza nanyi, si lingine bali ni kuhusu tamasha kubwa sana nchini liitwalo Tamasha la Matumaini ambalo litachukua nafasi keshokutwa Ijumaa, Agosti 8 mwaka huu, Uwanja...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JKksqYJJ9YjJfUyrhdL2LvjuF39gxi2UL5*ZlmpUH-0Q5NB9wfawuXRwga5XbHN4bQpN3jwBF3ExqsBBzKtrwop-ANBAO6PG/BARUANZITO.jpg)
HONGERENI BONGO MUVI, WENGINE WAJIFUNZE KWENU!
9 years ago
MillardAyo29 Dec
Magari 11 ya mastaa wa Bongo Fleva/Bongo Movie 2015 (+Picha)
Najua nina watu wangu mnaopenda kufahamu magari wanayomiliki mastaa mbalimbali wakiwemo Bongo Movie na Bongo Fleva, sasa hapa nimefanikiwa kupata picha 11 za mastaa wanaomiliki magari makali Dar es Salaam. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK […]
The post Magari 11 ya mastaa wa Bongo Fleva/Bongo Movie 2015 (+Picha) appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Bongo Movies21 Feb
Flora Mvungi: Bongo Movie Hatuna Ushirikiano Hata Kidogo!!
Mwigizaji wa filamu ambae ameingia kwenye bongo fleva, Flora Mvungi ‘H.Mama’ amefunguka na kusema kuwa wasanii wengi wa bongo movie hawapendani ndiomaana wanashindwa kufika mbali kisanaa.
Akinukuliwa na Gazeti moja la burudani, Flora alisema “Tukitaka kufanikiwa lazima sote letu liwe moja ili tufanye kitu kizuri,siku zote umoja ni nguvu cha msingi tukiamua kufanya kazi tusiangalie huyu bado msanii chipukizi siwezi kufanya naye kazi wote tushirikiane ili tufanye vitu bora na kupige...
10 years ago
Vijimambo25 Dec
HII STORI NI YA MUDA KIDOGO LAKINI NIMEONELEA NIIWEKE HAPA NA WEWE UIPITIE KIDOGO
![](http://freemedia.co.tz/daima/wp-content/uploads/2014/12/marathon.jpg)
MBIO za Uhuru Marathon msimu wa pili zilizofanyika jana kwenye viwanja vya Leaders Club, kwa kiasi fulani zilitiwa dosari kutokana na baadhi ya wanariadha kushutumiana kwa mambo ya kishirikina.
Tukio hilo la...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/S6leBpJ8ovC1fOoG2i-c72Gy3DCURYnvzga95dH4Q1tV8eVYoSZ2JPr70LVPpPfMKcl7SjFUmIr3B*aehdLCpfG9dPRhfmiQ/ufuska.jpg?width=650)
UFUSKA WA MASTAA BONGO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/U8LSueg-IYqwsbZOC0lv5wwEkdbgnLL*QVVtcHFQfEIhZRYQJGFEV2bQVY5O1zXBtWP7p-P8NrKnVoewDvkty074dIxR2owp/mastAA.jpg?width=650)
MASTAA WAJIENGUA BONGO MUVI
10 years ago
Vijimambo16 Jan
Mastaa wa Bongo Movie ni “Masnichi”
![](http://www.bongomovies.com/public/uploads/wolper113.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xLJQfJNYZ-yre*uwnCtDp*LEEP88o68WxR78JZEk8U1VSVDhmAwS7WfPYbNVGv3m*bFu81-u74gr4MZIbb5qMsZBDVHyQtMg/mastaa.jpg)
MASTAA BONGO WAPEWA SOMO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/U4nVIpmxyNPhflpvlBf10vCkhVM8CUplxDjz0IQ9DbrY020KupW2G*2JlYrw4tgNk1YJxm-6YyYun2H2CrWEwdpEHt52LiMO/Mastaa.jpg)
MASTAA NA UPEPO WA KISIASA BONGO!!!