Wabunge tisa wajiuzulu kumpinga Shy-Rose
Mgogoro ndani ya Bunge la Afrika Mashariki (Eala) umechukua sura mpya baada ya wabunge tisa, wakiwamo makamishna watano na wenyeviti wanne wa kamati za Bunge hilo, kuwasilisha barua za kujiuzulu nafasi zao hizo, ikiwa ni matokeo ya sakata linalomhusisha mbunge mwenzao kutoka Tanzania, Shy-Rose Bhanji (pichani).
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo10 Nov
Wabunge waahidi kumtetea Shy-Rose
MBUNGE wa Bunge la Afrika Mashariki, Twaha Tasilima, amesema wabunge wenzake wa Tanzania waliopo kwenye Bunge hilo, watasimama kidete kumtetea mbunge mwenzao, Shy-Rose Bhanji kwani hajatendewa haki ya kusikilizwa juu ya tuhuma anazoshutumiwa na wenzake.
10 years ago
Tanzania Daima31 Oct
Shy-Rose akaangwa
HOJA binafsi ya kumjadili mbunge Shy-Rose Bhanji wa Tanzania ndani ya Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA), limeingia katika sura mpya baada bunge hilo kuahirishwa tena jana muda mfupi...
10 years ago
Tanzania Daima01 Nov
Shy-Rose awekwa Kiporo
HOJA binafsi ya kumuwajibisha Mbunge wa Tanzania katika bunge la Afrika Mashariki(EALA) Shy –Rose Bhanji imewekwa kiporo baada ya bunge hilo malizika mjini Kigali jana hadi litakapopitishwa tena. Suala la...
10 years ago
Mwananchi17 Nov
Shy-Rose, Spika Zziwa kikaangoni tena
10 years ago
Mwananchi28 Nov
Shy-Rose ‘amponza’ Spika Zziwa wa Eala
10 years ago
Habarileo21 Nov
Mbunge Shy-Rose hakupigana Kenya-Sitta
SERIKALI imesema Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Shy-Rose Bhanji hajapigana nchini Kenya, na wanasubiri Tume ya EALA ili kujua ukweli wa tuhuma zinazoelekezwa kwake.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-IlnvS7o4b2U/VFI4tB5LmkI/AAAAAAAGuMs/-y9Z_9gz0Rs/s72-c/1414619729Shy-Rose-Bhanji-defends-herself-yesterday.jpg)
Bid to expel Shy Rose Bhanji from EALA flop
![](http://4.bp.blogspot.com/-IlnvS7o4b2U/VFI4tB5LmkI/AAAAAAAGuMs/-y9Z_9gz0Rs/s1600/1414619729Shy-Rose-Bhanji-defends-herself-yesterday.jpg)
10 years ago
Tanzania Daima12 Nov
Utovu wa nidhamu wamweka pabaya Shy-Rose Bhanji
WIKI mbili zilizopita kulikuwa na mvutano mkubwa ndani ya Bunge la Afrika Mashariki (EALA), ambao ulikwamisha shughuli za Bunge hilo kutokana na baadhi ya wabunge kugomea, wakitaka kwanza mbunge kutoka...
11 years ago
Dewji Blog05 May
Shy Rose Bhanji asherehekea siku yake ya kuzaliwa
![Untitled 1](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/05/Untitled-11.jpg)
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Shy Rose Bhanji katikati akipokea keki kutoka kwa ndugu jamaa na marafiki zake wakati wa tafrija maalum ya kumpongeza baada ya kutimiza miaka yake kadhaa katika ulimwengu huu Mei 3, 2014. Tafrija hiyo ilifanyika nyumbani kwake Bweni Dar es Salaam. (Photos by: MD Digital Company +255 755 373999).
![](http://4.bp.blogspot.com/-vhqTEDSGnAU/U2chNFGgkhI/AAAAAAAATmU/BFNqlwXbm9g/s1600/IMG-20140504-WA0002.jpg)
Birthday Girl! Shy-Rose akikata akijiandaa kukata keki…
![](http://1.bp.blogspot.com/-LE4B1kb4Mig/U2chNA-75LI/AAAAAAAATmQ/5kLYDP7wGrI/s1600/IMG-20140504-WA0003.jpg)
Marafiki zake wa karibu ambao pia ni Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ester...