Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mbunge Shy-Rose hakupigana Kenya-Sitta

Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel SittaSERIKALI imesema Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Shy-Rose Bhanji hajapigana nchini Kenya, na wanasubiri Tume ya EALA ili kujua ukweli wa tuhuma zinazoelekezwa kwake.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Shy-Rose adaiwa kumpiga mbunge mwenzake Nairobi

Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (Eala), Shy-Rose Bhanji ameingia katika mgogoro mpya baada ya kutuhumiwa kumpiga mbunge mwenzake kutoka Tanzania, Dk Nderakindo Kessy jijini Nairobi, Kenya.

 

10 years ago

Vijimambo

Kikwete kupewa jukumu la kuamua hatma ya Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Shy-Rose Bhanji,

RAIS Jakaya Kikwete anatarajiwa kupewa jukumu la kuamua hatma ya Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Shy-Rose Bhanji, wakati atakapopewa Uenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), mwisho wa mwezi huu.

Rais Kikwete anatarajiwa kuchukua Uenyekiti wa EAC baada ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Mashariki uliopangwa kufanyika jijini Nairobi, Kenya, Novemba 29 na 30 mwaka huu.

Mwenyekiti wa sasa wa EAC, Rais Uhuru Kenyatta, wa Kenya anamaliza muda wake mwezi huu na Raia Mwema...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Shy-Rose akaangwa

HOJA binafsi ya kumjadili mbunge Shy-Rose Bhanji wa Tanzania ndani ya Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA), limeingia katika sura mpya baada bunge hilo kuahirishwa tena jana muda mfupi...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Shy-Rose awekwa Kiporo

HOJA binafsi ya kumuwajibisha  Mbunge wa Tanzania katika  bunge la Afrika Mashariki(EALA) Shy –Rose  Bhanji imewekwa kiporo  baada ya bunge hilo malizika mjini Kigali jana hadi litakapopitishwa tena. Suala la...

 

10 years ago

Habarileo

Wabunge waahidi kumtetea Shy-Rose

MBUNGE wa Bunge la Afrika Mashariki, Twaha Tasilima, amesema wabunge wenzake wa Tanzania waliopo kwenye Bunge hilo, watasimama kidete kumtetea mbunge mwenzao, Shy-Rose Bhanji kwani hajatendewa haki ya kusikilizwa juu ya tuhuma anazoshutumiwa na wenzake.

 

10 years ago

Mwananchi

Wabunge tisa wajiuzulu kumpinga Shy-Rose

Mgogoro ndani ya Bunge la Afrika Mashariki (Eala) umechukua sura mpya baada ya wabunge tisa, wakiwamo makamishna watano na wenyeviti wanne wa kamati za Bunge hilo, kuwasilisha barua za kujiuzulu nafasi zao hizo, ikiwa ni matokeo ya sakata linalomhusisha mbunge mwenzao kutoka Tanzania, Shy-Rose Bhanji (pichani).

 

10 years ago

Mwananchi

Shy-Rose, Spika Zziwa kikaangoni tena

Bunge la Afrika Mashariki (Eala) limeitishwa tena, zamu hii jijini Nairobi, Kenya ambako litakutana kuanzia leo mchana, huku kukiwa na shinikizo kubwa kutoka kwa wabunge 32 linalotaka kung’olewa kwa Spika wa Bunge hilo, Dk Margaret Zziwa na kuwajibishwa kwa mbunge kutoka Tanzania, Shy-Rose Bhanji.

 

10 years ago

Mwananchi

Shy-Rose ‘amponza’ Spika Zziwa wa Eala

Bunge la Afrika Mashariki limemsimamisha kwa siku 21 Spika wake, Dk Margaret Zziwa huku likifufua hoja ya kumwondoa kiongozi huyo madarakani ambayo iliwekwa kando Aprili 1, mwaka huu.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Utovu wa nidhamu wamweka pabaya Shy-Rose Bhanji

WIKI mbili zilizopita  kulikuwa na mvutano mkubwa ndani ya Bunge la Afrika Mashariki (EALA), ambao ulikwamisha shughuli za Bunge hilo kutokana na baadhi ya wabunge kugomea, wakitaka kwanza mbunge kutoka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani