WABUNGE WAENDELEA KUSAJILIWA, WAELEZA MATARAJIO YAO KWENYE BUNGE LA 11
![](http://img.youtube.com/vi/SqDs7h-RuLM/default.jpg)
Mtangaza nia wa uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samweli Sita akiongea na mfanyakazi wa Benki ya CRDB katika viwanja vya Bunge wakati wa maandalizi ya Kikao cha Bunge kinachotarajiwa kuanza hivi kariubuni.
: Mtangaza nia wa uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samweli Sita akiongea na wafanyakazi wa Benki ya CRDB katika viwanja vya Bunge wakati wa maandalizi ya Kikao cha Bunge kinachotarajiwa kuanza hivi kariubuni.
Mtangaza nia wa Uspika wa Bunge...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Sz3L0RgyB-o/Vcgc4PANYuI/AAAAAAAC9g0/TUTL5JW85rw/s72-c/New%2BPicture%2B%25281%2529.png)
MADEREVA WA BODABODA WAENDELEA KUSAJILIWA KWENYE MFUMO MAALUM WA KUMBUKUMBU
![](http://3.bp.blogspot.com/-Sz3L0RgyB-o/Vcgc4PANYuI/AAAAAAAC9g0/TUTL5JW85rw/s640/New%2BPicture%2B%25281%2529.png)
![](http://1.bp.blogspot.com/-Y1TkirVTmz8/VcgdLUXcF_I/AAAAAAAC9g8/tNqeqNMqsTw/s640/New%2BPicture%2B%25283%2529.png)
![](http://1.bp.blogspot.com/-q7ftnwJuHWs/Vcgdd-fDqcI/AAAAAAAC9hM/6CXFWbBcL04/s640/New%2BPicture%2B%25284%2529.png)
9 years ago
Bongo523 Nov
Sauti Sol waeleza kwanini hawajawashirikisha wasanii wa nje ya Afrika kwenye album yao mpya
![bien](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/bien-300x194.jpg)
Sauti Sol wameachia album yao mpya ‘Live and Die in Afrika’ Ijumaa iliyopita (November 20). Katika kuhakikisha wanawaridhisha mashabiki wao, waliamua kutoa nafasi kwa mashabiki kupakua album hiyo bure kwenye website yao (www.sauti-sol.com), lakini ofa hiyo ilikuwa ni kwa saa 48 tu toka ilipotoka mpaka Jumapili Nov.22 saa 5:59 Usiku.
Baada ya hapo album hiyo itauzwa katika maeneo watakayotangaza.
Kwenye album hiyo ambayo ni ya tatu kutoka kwa kundi hilo, ni nyimbo mbili pekee kati ya 15 za...
9 years ago
Bongo519 Nov
Exclusive: Sauti Sol waeleza kwanini hawajaweka collabo walizorekodi na Alikiba, Vanessa Mdee na Joh Makini kwenye album yao mpya
![Sauti-Sols-Album-Cover](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Sauti-Sols-Album-Cover1-300x194.jpg)
Kundi la Sauti Sol kutoka Kenya wiki hii wametoa cover pamoja na orodha ya nyimbo zitakazokuwemo kwenye album yao mpya, ‘Live And Die In Afrika’ itakayozinduliwa kwa vyombo vya habari Ijumaa ya Novemba 20.
Baada ya mimi binafsi kuiona ‘tracklist’ ya album hiyo yenye nyimbo 15, nilipata maswali kuhusu kwanini hawajaweka nyimbo walizowashirikisha wasanii wa Tanzania kwenye album yao.
Katika mahojiano waliyofanya na kipindi cha Mseto cha Radio Citizen na Willy M.Tuva mwezi August, 2015,...
11 years ago
MichuziWABUNGE WA BUNGE LA EA TOKA TANZANIA WAFUATILIA BAJETI YA WIZARA YAO BUNGENI DODOMA
11 years ago
Dewji Blog25 May
Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki toka Tanzania wafuatilia Bajeti ya Wizara yao Bungeni Dodoma
![6](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/05/613.jpg)
Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta akisoma Bungeni hotuba ya Bajeti ya Wizara yake kwa mwaka 2014/2015. Bajeti hiyo ilijadiliwa na kupitishwa na Bunge. Bajeti hiyo pia ilisikilizwa na Wabunge wa Tanzania katika Bunge la Afrika Mashariki waliokuwepo Bungeni siku hiyo.
Mbunge Shy-Rose Bhanji (kushoto) akiwa na wabunge wa Bunge la Muungano.
![FKB_1908](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/05/FKB_1908.jpg)
Shy-Rose Bhanji akizungumza na Mbunge Mwenzake wa Afrika Mashariki, Makongoro Nyerere.
![FKB_1998](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/05/FKB_1998.jpg)
Mh. Bhanji ndani ya viwanja vya Bunge…
Wabunge...
5 years ago
BBCSwahili06 Jun
Virusi vya corona; Wakenya wajirusha mitandaoni kuonyesha matarajio yao
9 years ago
Bongo528 Nov
Navy Kenzo waeleza watakavyouza album yao ‘Above In A Minute’
![Navykenzo](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/08/Navykenzo-300x194.jpg)
Kundi la Navy Kenzo limesema kuwa album yao ya kwanza iitwayo ‘Above In A Minute’ tayari imekamilika na wanatarajia kuitoa mwanzoni mwa mwaka ujao 2015.
Wakizungumza kupitia XXL ya Clouds FM, waimbaji wa kundi hilo Aika na Nahreel wamesema kuwa, watauza album yao katika mfumo wa Cd pamoja na online, lakini utaratibu utakaotumika utakuwa ni wa kuweka oda pekee.
“Ila itakuwa ni oda tu, hata kama ni online unafanya oda tu ukishalipia siku ikitoka unapewa ya kwako baada ya hapo itakuwa ni ngumu...
9 years ago
Bongo525 Nov
Pah One waeleza kwanini Navy Kenzo wamefanikiwa zaidi yao
![PahOne](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/03/PahOne1-300x194.jpg)
Baada ya Nahreel na Aika kujiondoa kwenye kundi la Pah One na kuunda kundi lao la Navy Kenzo linalofanya vizuri kwa sasa, Pah One wamesema Navy Kenzo wamefanikiwa zaidi kutokana na kufanya kazi muda mrefu, tofauti na wao ambao walikuwa hawafanyi kazi kutokana na kusafiri sana.
Wakizungumza katika kipindi cha ‘Siz Kitaa’ cha Clouds TV, Pah One wamesema kuwa sasa wamerejea na watafanya kazi ili wafike wanapohitaji.
“Kwa sisi ni kwamba sisi tulikuwa hatupo, wao walikuwepo wanaendelea na...
10 years ago
Bongo Movies08 Feb
Isabela: Mastaa wa Kike Bongo Wanaishi Kwa Kuuza Miili Yao, Jini Kabula na Davina nao waeleza!!
Akizungumza na GPL , msanii wa filamu na muziki Bongo, Isabela Mpanda ‘Bella’, alisema wasanii wengi wanaishi maisha ya thamani wakati kiuhalisia kazi yao haiwaingizii kipato kinachofanana na maisha ya thamani wanayoishi hivyo kuamua kujiuza.
“Filamu hazilipi, wengi tunajiuza. Bajeti yenyewe ya muvi ni ndogo, wasanii wengi wanataka kulipwa katika muvi moja, haiwezekani kumiliki vitu vya thamani ndiyo maana tunaamua kujiuza.
“Hakuna msanii anayeishi maisha ya kutegemea filamu, kwanza...