Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wabunge wajadili miamala ya kielektroniki

MUSWADA wa Sheria ya Miamala ya Kieletroniki wa mwaka 2015, umewasilishwa rasmi bungeni ukiwa na lengo la kudhibiti uhalifu wa kifedha na udanganyifu wa bidhaa na huduma katika mtandao.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

HOTUBA YA MHESHIMIWA PROF. MAKAME M. MBARAWA (MB), WAZIRI WA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA KWA WAANDISHI WA HABARI YA KUTANGAZA RASMI KUANZA KUTUMIKA KWA SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAO NA YA MIAMALA YA KIELEKTRONIKI ZA MWAKA 2015 KWENYE UKUMBI WA MIKUTA

 Ndugu Wandishi wa Habari, 
Mabibi na Mabwana,

Napenda nichukue fursa hii kuwashukuru nyote hasa waandishi wa habari kwa kutenga muda wenu na kujumuika nasi kwa lengo la kutangaza rasmi kuanza kutumika kwa Sheria ya Makosa ya Mtandao, 2015 ambayo ilitangazwa kwenye gazeti la Serikali  la tarehe 14/08/2015 na kupewa Na. 328. Pia Sheria ya Miamala ya Kielektroniki, 2015 ambayo  ilitangazwa kwenye Gazeti la Serikali la tarehe hiyo hiyo na kupewa Na.329.


Ndugu Wananchi,

Teknolojia ya Habari na...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wabunge EALA wajadili ushirika

WABUNGE wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) walio katika kamati ya Kilimo, Utalii na Maliasili wamekutana kujadili muswada wa sheria ya ushirika wa pamoja. Akizungumza jijini Dar es...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wabunge EALA wajadili muswada wa vyama vya ushirika

SG

Na Mwandishi wetu

WABUNGE wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) walio katika kamati ya ya kilimo, Utalii na Maliasili wamekutana kujadili muswada wa sheria ya ushirika wa pamoja.

Akizungumza jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Isabelle Ndahayo, alisema kuwa wamekutana kuupitia muswada wa sheria kuhusiana na vyama vya ushirika ili sheria watakazozipitisha zisaidie vyama hivyo.

Ndahayo alisema kuwa kukutana kwao kutasaidia nchi zilizokatika jumuiya hiyo kwani sheria hiyo...

 

10 years ago

Michuzi

NEC NA VIONGOZI WA VYAMA VYASIASA ,WAJADILI MAADILI YA UCHAGUZI WA RAIS,WABUNGE NA MADIWANI

Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Jaji  Mstaafu Damiani Lubuva akizungumza wakati wa mkuato wa kujadili maadili ya uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani katika mkutano uliofanyika Hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo.  Mkurugenzi wa uchaguzi, Julius Mallaba akizungumza leo katika mkutano wa kujadili maadili ya uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani katika mkutano uliofanyika Hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo.   Baadhi ya viongozi wa vyombo vya siasa wakifuatilia kwa umakini katika...

 

10 years ago

Mwananchi

Changamoto za miamala ya fedha kwa njia ya mtandao- 2

Wiki kadhaa zilizopita niliandika makala kuhusu changamoto zilizopo katika kufanya miamala ya fedha kwa kwa njia ya mtandao.

 

11 years ago

Mwananchi

Wateja B-Pesa kufanya miamala zaidi ya nchi 140

Kampuni ya Smart Banking Solutions kupitia kadi yake ya B-Pesa imesaini mkataba wa ushirikiano na Kampuni ya malipo ya China maarufu UnionPay.

 

10 years ago

Mwananchi

Wizi wa mtandaoni: Uhalifu mpya unaotishia miamala ya fedha

Miaka mitano iliyopita uhalifu wa mtandaoni haukuwapo. Hakuna aliyefahamu madhara yake moja kwa moja, kwa kuwa matukio mengi yalikuwa yanatokea nchi za Ulaya na Marekani na kidogo Kenya.

 

11 years ago

Ykileo

ANGALIZO KWA WATEJA WANAOFANYA MIAMALA YA BIASHARA KUPITIA MITANDAO

Huduma ya kufanya miamala ya kibiashara kupitia mtandao inafanya maisha ya leo kua rahisi zaidi kulinganisha na maisha ya awali. Hii ni kuokana na uwezekano wa kufanya miamala hiyo popote pale ilimradi tu uwe unamtandao.
 Hili lakua na mtandao kwa Tanzania limeendelea kuwa rahisi hasa baada ya mitandao ya simu kutoa huduma za wavuti inayo sababisha takriban watanzania walio wengi hasa waishio mijini kuweza kupata huduma za mitandao.


Kila teknolojia inachangamoto zake. Na hii ya kufanya miamala...

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yatambulisha Kadi ya Faida EMV kuwezesha miamala salama

 Mkuu wa Hazina wa Benki ya Exim, George Shumbusho, akikata utepe kutambulisha kadi ya “Faida EMV Debit Card” itakayochukua nafasi ya “Magnetic Stripe Faida Debit Card” iliyokua ikitumika hapo awali. Ameambatana na Mkuu wa Kitengo cha kudhibiti majanga wa Benki ya Exim, David Lusala (kulia) na Afisa masoko wa benki hiyo, Noel Tuga.  Kadi hiyo hutoa usalama wa hali ya juu kutokana na uwepo wa ‘embedded chip’ inayodadavua taarifa za mteja kwa kutumia mfumo madhubuti wa kiusalama hivyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani