Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wachimba mgodi 5 wafariki Geita Tanzania

Wachimbaji dhahabu 5 wamefariki baada ya kufukiwa na kifusi katika machimbo ya Mgusu mkoani Geita, Kusini Kaskazini mwa Tanzania.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Matumaini ya wachimba mgodi yafifia TZ

Matumaini ya kuwaokoa wachimba madini 7 walionaswa chini ya ardhi yanazidi kufifia huko Shinyanga

 

11 years ago

BBCSwahili

Wachimba mgodi 157 wafa Uturuki

Mlipuko katika mgodi wa makaa ya mawe magharibi mwa Uturuki umesababisha vifo vya 157 na kujeruhi wengine 70 .

 

10 years ago

BBCSwahili

Wachimba migodi wafariki CAR

Watu kadha wafa ndani ya mgodi wa dhababu Afrika ya Kati katika eneo la ghasia

 

9 years ago

Michuzi

MGODI WA DHAHABU WA GEITA (GGM), UMEZALISHA AJIRA ZAIDI YA 200

 Mwandishi Wetu, GeitaMGODI wa dhahabu wa geita (GGM), umezalisha ajira zaidi ya 200 kwa jamii baada kuwekeza zaidi ya Sh1.7 Bilioni kupitia programu ya Uchumi na Maendeleo (GEDP) ambayo imelenga kusaidia wakulima na wajasiriamali wadogo na wa kati, wanaoishi jirani na mgodi.


Akizungumza wakati Mkuu wa Mkoa wa Geita, Fatma Mwassa alipotembelea mgodini hapo juzi, Makamu wa Rais wa Anglo Gold Ashanti/GGM, Simon Shayo alisema mpango umelenga kubadili hali za maisha ya wakazi kuwa tofauti na...

 

9 years ago

Michuzi

MGODI WA DHAHABU WA BULYANHULU WAIPIGA JEKI ZAHANATI YA MWINGIRO GEITA


Maafisa wa kitengo cha Mahusiano ya Jamii katikamgodi wa Dhahabu wa Bulyanhulu, William Chungu (kulia) na Zuwena Senkondo (kushoto) wakikabidhi vifaa vinavyotumika wakati wakujifungulia kwa zahanati ya Mwingiro Wilayani Nyang’wale Mkoani Geita .

Zuwena Senkondo wkikabidhi vifaa vya kujifungulia kwa mmoja wa wauguzi katika zahanati ya Mwingiro Wilayani Nyang’wale Mkoani Geita

Kiongozi wa kitengo cha Mahusiano ya Jamii Mgodi wa Dhahabu wa Bulyanhulu Sara Ezra Teri akikabidhi Video...

 

9 years ago

Michuzi

mgodi wa STAMIGOLD waipiga jeki Shule ya msingi Mavota, Mkoani Geita

Meneja Mkuu wa mgodi wa STAMIGOLD Mhandisi Dennis Subugwao (kushoto) akikabidhi moja ya vifaa vya kujifunzia wanafunzi kwa Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Biharamulo, Ndugu Nassib Mmbaga muda mfupi baada ya kuzindua jengo la choo cha wanafunzi Shule ya msingi Mavota, Mkoani Geita.Mwalimu mkuu wa shule ya msingi Mavota akizungumza mara baada ya kukabidhiwa jengo la choo cha wanafunzi kilichojengwa kwa ushirikiano kati ya mgodi wa STAMIGOLD na wananchi wa kijiji cha Mavota.
Moja kati ya...

 

9 years ago

StarTV

Wachimbaji wadogo watano wafariki Geita

Wachimbaji wadogo watano wamefariki dunia baada ya kufukiwa na vifusi katika maeneo ya Mgusu na Nyanza mkoani Geita.

Matukio hayo yametokea kwa nyakati tofauti ambapo wachimbaji kumi waliingia eneo la Nyanza majira ya saa tisa novemba 28 na wakiwa katika harakati za uchimbaji wakaangukiwa na kifusi huku usiku wa novemba 29 tukio hilo limetokea mgusu na kusababisha wachimbaji hao kufariki.

Maeneo ya Nyanza na Mgusu wanayoingia wachimbaji wadogo kwa ajili ya kujitafutia dhahabu yako chini ya...

 

10 years ago

Michuzi

JOPO LA MAJAJI KWA AJILI YA KUMTAFUTA MSHINDI WA TUZO YA RAIS YA HUDUMA ZA JAMII NA UWEZESHAJI LAFANYA ZIARA KATIKA MGODI WA GEITA GOLD MINE

Mgodi wa dhahabu wa Geita Gold Mine uliopo mkoani Geita. Mgodi huu ni moja ya makampuni yanayowania tuzo ya Rais ya Huduma za Jamii na Uwezeshaji. Mshauri wa Mkurugenzi Mtendaji wa Geita Gold Mine katika masuala ya serikali na jamii Bw. Clement Msalangi (mbele kwa mbali) akielezea mafanikio ya mgodi wa Geita Gold Mine katika utoaji wa huduma bora kwa jamii na uwezeshaji kwa timu ya majaji na sektretarieti iliyofanya ziara katika mgodi huo. Meneja Mahusiano ya Jamii Bw. Manase Ndoloma...

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA ATEMBELEA MGODI WA MGUSU ULIOKABIDHIWA KWA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO MKOANI GEITA.

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo kutoka kwa Peter Malebo Mjumbe wa Kamati ya Mgusu Miners Co. Oparative Society Limited jinsi mchanga unavyosafishwa.
Katibu Mkuu wa CCM Ndug Kinana leo amehitimisha ziara yake ndani ya mkoa wa Geita kwa kutembea kilometa 1680 kwa Gari,ametembelea Majimbo sita na Wilaya zake sita,huku akiwa amehutubia mikutano 78,mikutano 72 ya hadhara na mikutano 6 ya ndania.Ndugu Kinana ametembelea miradi 53 ya Maendeleo,miradi mitano ya CCM.Kama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani