Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WACHINA 15 MBARONI KWA KUGUSHI VYETI

Wanafunzi amabo ni raia wa China wanaosoma katika Chuo Kikuu cha New York nchini Mrekani. Raia wa China wakiwa 'kortini'. Raia 15 wa China wamekamatwa na kufunguliwa mashtaka nchini Marekani kwa tuhuma za udanganyifu wa matokeo ya elimu zao na kugushi nyaraka za kitaaluma walizozitumia wakati wakijiunga na elimu ya juu nchini Marekani. Kwa mjibu wa waendesha mashtaka nchini marekani, wamebaini kuwa vijana hao wa China wamekuwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Wachina mbaroni, wadaiwa kukutwa na pembe za faru

Raia wanne Wachina wanashikiliwa Kituo cha Polisi Kyela kwa tuhuma za kukutwa na pembe 11 za faru zinazodaiwa kutokea Msumbiji zikiwa na thamani isiyopungua Sh800 milioni.

 

9 years ago

Mwananchi

Wachina mbaroni, wadaiwa kukutwa pembe za faru

Raia wanne Wachina wanashikiliwa Kituo cha Polisi Kyela kwa tuhuma za kukutwa na pembe 11 za faru zinazodaiwa kutokea Msumbiji zikiwa na thamani isiyopungua Sh800 milioni.

 

5 years ago

CCM Blog

MUUGUZI ALIYETUMBULIWA VYETI FEKI MBARONI KUMTOA MIMBA MWANAFUNZI NA KUMSABABISHIA KIFO

Jeshi la polisi mkoani Kagera linamshikilia Dezber Kahwa mwenye umri wa miaka 49 mkazi wa kijiji Kibengwe, Bukoba Vijijini kwa tuhuma za kusababisha kifo cha Alinda Leverian mwenye umri wa miaka 14.

Aliyeuawa ni mwanafunzi wa darasa la sita Shule ya Msingi Kilima, ambapo mtuhumiwa huyo alimtoa mimba kwa njia isiyokuwa halali na salama.

Kamanda wa Polisi mkoani Kagera, Revocatus Malimi amesema kuwa tukio hilo lilitokea Februari 08 mwaka huu nyumbani kwa Vedastina Cleophace, huku Kahwa ambaye...

 

11 years ago

Michuzi

KUTANGAZA KWA KUPOTEA KWA VYETI VYA SECONDARY NA VYETI VYA KUZALIWA


Katika mazingira ya yasiyoelweka, natangaza KUPOTEA kwa vyeti vya kuzaliwa vyenye majina ya Marianne Mwiki na Even Mwiki.

ACSE from Lutheran Junior Seminary mwaka 2001 CSE from Mpwapwa Secondary School mwaka 1997


Mara ya mwisho vilitumwa Arusha Tanzania 2005,


Mwenye taarifa ya mtu yeyote kujiita Marianne Mwiki katika nafasi yeyote ya kazi, shule ama chuo  sehemu yeyote, tafadhali tujulishe haraka iwezekanavyo, zawadi kubwa itatolewa kwa Mwenye taarifa yeyote itakayoweza kusaidia...

 

10 years ago

Michuzi

RAIA WAPYA WA TANZANIA WASHANGILIA KUPEWA VYETI VYA URAIA, MAMA MJAMZITO AJIFUNGUA AKIWA KATIKA KITUO CHA KUPOKELEA VYETI

Kiongozi wa Ofisi ya Shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia Wakimbizi (UNHCR) katika Makazi ya Mishamo, Adolph Bishanga akimkabidhi chandarua na shuka raia mpya wa Tanzania, ambaye ni Mkazi wa Kijiji cha Kapemba, Kata ya Mishamo, wilayani Mpanda, Ageva Moses (kulia) baada ya kujifungua mtoto wa kiume wakati akiwa katika kituo cha kupokelea cheti cha uraia katika Kijiji cha Ifumbula wilayani humo. Licha ya maafisa wa Serikali pamoja na UNHCR kutoa maelekezo kuwa wagonjwa na wasiojiweza...

 

10 years ago

Mwananchi

Machinga Complex ‘kuuzwa’ kwa wachina

Dar es Salaam. Jengo la Machinga Complex linatarajiwa kuuzwa kwa wafanyabiashara wa China kwa Sh86 bilioni na Manispaa ya Jiji la Dar es Salaam baada ya kushindwa kulipa kodi.

 

9 years ago

Mwananchi

Wachina kizimbani kwa pembe za faru

Raia wanne kutoka China, jana walipandishwa katika kizimba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mbeya kujibu mashtaka matatu ya uhujumu uchumi likiwamo la kukutwa na pembe kumi na moja za faru zenye thamani ya Sh 902.8milioni. 

 

9 years ago

Michuzi

TASAF YATOA VYETI KWA WAFANYAKAZI WAKE BORA WA IDARA ZA TAASISI HIYO KWA MWAKA 2015.

 Mkurugenzi wa TASAF ,Bwana Ladislaus Mwamanga (picha zifuatazo)akiwatunuku vyeti wafanyakazi bora wa idara mbalimbali za taasisi hiyo kwa mwaka 2015.  Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF,Bwana Ladislaus Mamanga akihutubia wafanyakazi wa TASAF (hawapo pichani) kwenye ukumbi wa mikutano wa taasisi hiyo jijini DSM.



Wataalamu waelekezi wakiwa katika picha ya pamoja na Menejimenti ya TASAF.
PICHAZ AIDI BOFYA HAPA

 

9 years ago

Mwananchi

Wachina watupwa jela miaka 20 kwa ujangili

Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoani Mbeya imewahukumu raia wanne wa China kwenda jela miaka 20 kila mmoja baada ya kukutwa na hatia ya makosa matatu ikiwemo kukutwa na nyara za serikali za thamani ya zaidi Sh900milioni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani