Wachina na rekodi zao, cheki na smartphone inayokaa chaji siku 15.. (+Video)
Mawasiliano muhimu sana mtu wangu, ndio maana watu wengi wanaona umuhimu wa kuwa na smartphone ili mawasiliano ya njia nyingi yaweze kumfikia. Wataalam wa mambo wakaingia kazini na kubuni kitu kinaitwa powerbank… ambayo kama smartphone yako ikiisha chaji basi hiyo inakusaidia uendelee kubaki hewani, lakini simu+powerbank ni sawa na mizigo miwili ya kubeba mkononi, usijali… Wachina […]
The post Wachina na rekodi zao, cheki na smartphone inayokaa chaji siku 15.. (+Video) appeared first on...
MillardAyo
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-0-6X4oChS7g/XrEIk9qX77I/AAAAAAALpJ0/ADO6rs0CwT4-bDtCKNW_bE5GfjLRaapxgCLcBGAsYHQ/s72-c/a9e0f8ca-fe70-40e8-b7fc-2b512295427e.jpg)
UVUMILIVU WA SIMBACHAWENE, DK MWIGULU NA REKODI ZAO ZA KIBABE KWENYE SERIKALI YA MAGUFULI
Charles James, Michuzi TV
UNAMUELEWA Rais Dk John Magufuli?. Mimi namuelewa sana. Rais mchapakazi, asiye na utani, mwenye hofu na Mungu. Zaidi anafuata kanuni ya samehe mara saba sabini. Utanielewa tu.
Sogea hapa: Katika kitabu cha 48 Laws of Power kilichoandikiwa na Gwiji, Robert Greene, Sheria namba moja inasema, " Never Outshine your Master"
Tafsiri isiyo rasmi ni kwamba, "Usijifanye unajua kuliko Kiongozi/Bosi wako. Hata kama kweli unajua zaidi yake, usioneshe hilo hadharani. Onesha utii...
9 years ago
Mwananchi30 Nov
JPM aweka rekodi ya siku 25 ya mawaziri
9 years ago
MillardAyo06 Jan
Uhondo wa Kombe la Mapinduzi 2016, cheki video ya Mtibwa wakiwaadhibu Mafunzo …
Michezo ya Kombe la Mapinduzi iliendelea na ikafika time ya klabu ya Mtibwa Sugar ya Manungu Turiani ilicheza mchezo wake wa pili wa Kundi B dhidi ya timu ya Mafunzo, Mtibwa walifanikiwa kupata goli la mapema tu dakika ya 12 kupitia kwa mshambulaiji wa zamani wa Yanga anayeichezea klabu hiyo kwa sasa Said Bahanuzi. Hii […]
The post Uhondo wa Kombe la Mapinduzi 2016, cheki video ya Mtibwa wakiwaadhibu Mafunzo … appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MillardAyo24 Dec
Kulala kwenye jeneza eti inapunguza stress ??!! Cheki na hii ya Wakorea.. (+Video)
Moja ya nchi ambazo zinaongoza kwa watu wake kujiua Korea nayo ipo… zinatrajwa sababu mbalimnbali za watu kuamua kujiua ikiwemo ishu ya msongo wa mawazo au stress !! Umewahi kupatwa msongo wa mawazo ??!! Ilipokutokea hali hiyo uliamua nini ?? Nakusogezea hii kutoka Korea Kusini ambako unaambiwa wao wameona moja ya mbinu poa za kupunguza […]
The post Kulala kwenye jeneza eti inapunguza stress ??!! Cheki na hii ya Wakorea.. (+Video) appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Mwananchi24 Feb
Namna ya kuifanya simu yako idumu na chaji muda mrefu