Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UVUMILIVU WA SIMBACHAWENE, DK MWIGULU NA REKODI ZAO ZA KIBABE KWENYE SERIKALI YA MAGUFULI


Charles James, Michuzi TV

UNAMUELEWA Rais Dk John Magufuli?. Mimi namuelewa sana. Rais mchapakazi, asiye na utani, mwenye hofu na Mungu. Zaidi anafuata kanuni ya samehe mara saba sabini. Utanielewa tu.

Sogea hapa: Katika kitabu cha 48 Laws of Power kilichoandikiwa na Gwiji, Robert Greene, Sheria namba moja inasema, " Never Outshine your Master"

Tafsiri isiyo rasmi ni kwamba, "Usijifanye unajua kuliko Kiongozi/Bosi wako. Hata kama kweli unajua zaidi yake, usioneshe hilo hadharani. Onesha utii...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

MANENO MATATU YA KIBABE YA MAGUFULI KATIKATI YA GONJWA LA VIRUSI VYA CORONA...ACHA KABISA

Na Said Mwishehe,Michuzi TV

RAIS Dk. John Magufuli hakika wewe ndio Rais wangu na ndio Rais wa Watanzania wote.Hilo halina ubishi na ukiona kuna mtu anabisha ujue atakuwa na mtindio wa akili.

Kwanza mtu wa aina hiyo unamuangalia kwa kejeli halafu unamcheka kwa dharau.Potelea mbali acha akajifunze. Rais wangu Dk.Magufuli hakika Mwenyezi Mungu ametupa wewe ni zawadi kwetu Watanzania.Tutakulinda kama mboni ya jicho.Tutakutetea panapostahili kukutetea, tutakupigania pale tunapostahili...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YAOMBWA KULIINGIZA ZAO LA PILI PILI KICHAA KWENYE MAZAO YA KIMKAKATI.


Mhandishi na mkulima wa Manguajuki manispaa ya Singida,akikagua pilipili kichaa.Bei ya pilipili kichaa kilo ni shilingi 5,000 kwa kilo. Sehemu ya ekari tano za shamba la pilipili kichaa la mhandisi/mkulima wa Manguanjuki manspaa ya SingidamHassan Tati. Mmoja kati ya miche ya mapapai iliyopo kwenye shamba la pilipili kichaa linalomilikiwa na mhandisi/mkulima Haasan Tati mkazi wa Manguanjuki nje kidogo ya mji wa Singida.Mhandisi na mkulima na mkazi wa Manguanjuki manispaa ya ...

 

11 years ago

Michuzi

KATAA UMEME FAMILY YAWAKEMEA WATU WANAOTUMIA PICHA ZAO KWENYE BIASHARA ZAO ZA MADAWA YA KUPUNGUZA UZITO

Kiongozi wa Kikundi cha Kataa Unene Family (KUF) ambaye pia ni mwandishi na mtangazaji wa Televison ya Taifa (TBC1), Angella Msangi amekemea tabia ya baadhi ya wafanyabiashara wanaotumia picha zao ili waweze kuuza biashara zao za madawa ya kupunguza uzito. Akizungumza  kwa masikitiko makubwa, Kiongozi huyo alisema kuwa kuna wafanyabiasha ambao si waaminifu wamekuwa wakichukua picha zao katika mitandao ya jamii na sehemu nyingine na kutangazia biashara zao kuwa hao wametumia dawa zao na...

 

9 years ago

MillardAyo

Wachina na rekodi zao, cheki na smartphone inayokaa chaji siku 15.. (+Video)

Mawasiliano muhimu sana mtu wangu, ndio maana watu wengi wanaona umuhimu wa kuwa na smartphone ili mawasiliano ya njia nyingi yaweze kumfikia. Wataalam wa mambo wakaingia kazini na kubuni kitu kinaitwa powerbank… ambayo kama smartphone yako ikiisha chaji basi hiyo inakusaidia uendelee kubaki hewani, lakini simu+powerbank ni sawa na mizigo miwili ya kubeba mkononi, usijali… Wachina […]

The post Wachina na rekodi zao, cheki na smartphone inayokaa chaji siku 15.. (+Video) appeared first on...

 

10 years ago

Vijimambo

TASWIRA,WAKAZI WA MEATU WALIVYOTOA HISIA ZAO KWA MWIGULU HII LEO ASUBUHI


Comrade Mwigulu Nchemba akiwaisili Meatu Mjini mapema hii leo asubuhi kuzungumza na Wananchi.Hisia za Wananchi wa Meatu Mjini kwa Mwigulu NchembaKueleka Uchaguzi wa serikali za Mitaa Meatu wanasema hivi.....!!!Naibu katibu Mkuu CCM Bara akivalishwa vazi la Kisukuma hii leo kama ishara ya Uongozi uliotukuka na Heshima kwa wazee wa Kisukuma.Wazee wamesisitiza aendelee kupambana kwa maslahi ya Watanzania wanyonge na Masikini.Mwigulu Nchemba akiwasisitiza wananchi wa Meatu kuacha tabia ya...

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli aweka rekodi

MAELFU ya watu wanaokwenda katika mikutano ya mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli imeanza kusimamisha shughuli za miji mbalimbali anayokwenda.

 

5 years ago

Michuzi

MWILI WA BABA MZAZI WA GEORGE SIMBACHAWENE , MAREHEMU BONIFACE SIMBACHAWENE WAZIKWA KIJIJINI PWAGA, JIMBO LA KIBAKWE WILAYANI MPWAPWA


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene na Mkewe Mariana Simbachawene, wakiweka picha ya Baba Mzazi wa waziri huyo Marehemu Boniface Simbachawene wakati wa ibada ya mazishi yaliyofanyika katika Kijiji cha Pwaga kilichopo Jimbo la Kibakwe , wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma.

Spika wa Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania, Job Ndugai akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lililohifadhi mwili wa Baba Mzazi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George...

 

9 years ago

Habarileo

Dk Magufuli aweka rekodi Mwanza

MGOMBEA urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli, amefanya mkutano mkubwa na wa kihistoria katika Jiji la Mwanza na kuahidi kuubadilisha mji huo kuwa mithili ya ule wa Geneva wa nchini Uswisi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani