WACHUNGAJI MBARONI KWA ULAWITI WA WATOTO KANISANI
![](http://api.ning.com:80/files/2Tkrz8bmcYjF7yIrhjgeiw*u5QoIHjDaAf3yRLcrtI6TRDRpDtsttfw0ZeVYam-XswoKwXezRGy6ycd3PJDUmzrZQ-x08uU-/wachungaji.jpg?width=650)
Stori: Joseph Ngilisho, Arusha WATOTO sita, wakiwemo wawili wa kiume wenye umri wa miaka 8 hadi 14 wameharibiwa vibaya sehemu zao za siri baada ya kubakwa kanisani na watu wanaodaiwa ni wachungaji. Watoto sita waliobakwa kanisani na watu wanaodaiwa ni wachungaji. Wakiwa katika Hospitali ya Mkoa wa Arusha, Mount Meru walikopelekwa kwa matibabu na kuangaliwa maambukizi ya magonjwa ya zinaa, watoto hao walidai kufanyiwa mchezo huo...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo01 Jan
Muumini Moravian mbaroni kwa kufanya fujo kanisani
POLISI mkoani Morogoro linamshikilia Jackson Mnyilemi (20), ambaye ni muumini wa Kanisa la Moravian Tarafa ya Malinyi wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro kwa tuhuma za kuhusika kufanya fujo kanisani.
10 years ago
Dewji Blog27 Sep
Wachungaji watatu 3 jijini Arusha wanashikiliwa na polisi kwa kulawiti watoto 6 wakiwamo 2 wa jinsia ya kiume
Kamanda wa Polisi Arusha, Liberatus Sabas.
Na Mwandishi wetu
WATOTO sita, wakiwemo wawili wa kiume wenye umri wa miaka 8 hadi 14 wameharibiwa vibaya sehemu zao za siri baada ya kubakwa kanisani na watu wanaodaiwa ni wachungaji.
Wakiwa katika Hospitali ya Mkoa wa Arusha, Mount Meru walikopelekwa kwa matibabu na kuangaliwa maambukizi ya magonjwa ya zinaa, watoto hao walidai kufanyiwa mchezo huo kwa nyakati tofauti na wachungaji watatu wa kanisa hilo lililopo eneo la Feed Force, Kwamrombo...
10 years ago
Mwananchi26 Mar
Baba mbaroni kwa kuwabaka watoto wake
11 years ago
Mwananchi24 Mar
Wawili mbaroni kwa tuhuma za kuwateka watoto
11 years ago
Tanzania Daima18 Apr
Wazazi Geita mbaroni kwa kutopeleka watoto shule
WAZAZI watano mkoani Geita wamekamatwa na Polisi kwa kugoma kuwapeleka watoto wao shule na kuwalazimisha kuwaoza. Hatua hiyo inatokana na agizo la Mkuu wa Mkoa wa Geita, Saisi Magalula, la...
9 years ago
StarTV16 Dec
Msichana miaka 18 mbaroni kwa kushawishi watoto na kufanya Biashara Ya Ngono Singida
Msichana mmoja mwenye umri wa miaka 18 anashikiliwa na Polisi mkoani Singida kwa tuhuma za kuwashawishi watoto wa kike na kuwafanyisha biashara ya ngono kwa ujira wa kati ya shilingi 3,000 na 5,000 suala ambalo ni kinyume cha sheria, ukatili na ukiukaji wa misingi ya haki za binadamu.
Mtuhumiwa huyo Mastura Saidi mkazi wa Karakana Mjini Singida amekamatwa Jumatatu hii majira ya saa mbili usiku baada ya watoto watatu mwenye umri kati ya miaka 12 na 15 kukutwa ndani ya chumba chake wakiwa na...
9 years ago
Habarileo30 Dec
Polisi jela maisha kwa ulawiti
ASKARI Polisi mwenye namba G 9762 PC Daniel (24), amehukumiwa kifungo cha maisha jela, kulipa fidia ya Sh milioni mbili kwa mlalamikaji baada ya kupatikana na hatia ya kumlawiti mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 13.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-uT0f5AopP9w/XlaHmQHlqAI/AAAAAAALfjI/C6vo3WO6Odgoagf-_fWS7X52d4WTNXwwwCLcBGAsYHQ/s72-c/gab.jpg)
VITENDO VYA ULAWITI KWA WANAFUNZI VYASHAMIRI ARUSHA
![](https://1.bp.blogspot.com/-uT0f5AopP9w/XlaHmQHlqAI/AAAAAAALfjI/C6vo3WO6Odgoagf-_fWS7X52d4WTNXwwwCLcBGAsYHQ/s1600/gab.jpg)
Vitendo vya ubakaji na kulawitiana kwa baadhi ya wanafunzi wa kiume wa shule za msingi jijini Arusha vimeelezwa kushamiri kiasi cha wanafunzi kushindwa kusoma,ambapo walimu wa shule hizo wameitaka jamii kuunganisha nguvu ili kutokomeza matukio hayo yanayosababishwa na utandawazi.
Hayo yamebainishwa jijini Arusha na baadhi ya walimu wa shule za msingi wakati wakipatiwa mafunzo maalumu juu ya vitendo vya ukatili na unyanyashaji dhidi ya wanawake na mtoto yaliyotolewa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6Yi1*KCqJURDbsrxpXOhKmqlOgLDH-4AUaaJQ6UYPRYFxQfHogGRVBmQ*NtUw219blR3FtRpKwq5H2UG3-tSGVNuCDEruCvp/KAMANDA.jpg?width=650)
MJUKUU ASAKWA KWA UBAKAJI, ULAWITI BIBI MIAKA 74!