Wadau wa Linex waikubali Shaina
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Sunday Mangu ‘Linex’ au ‘Leka Maker’ amesema kutokana na maombi kutoka kwa mashabiki wake na watu wake wa karibu, ameamua kuisambaza ngoma yake inayojulikana...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi13 Mar
Nadir, Dida waikubali Al-Ahly
10 years ago
Mwananchi13 Sep
Kili Dar funika ‘bovu’: Mashabiki waikubali, waipongeza TBL
10 years ago
VijimamboMWANZA WAIKUBALI WINDHOEK WAFURAHIA MPANGO WA MABIBO BIA KUJENGA KIWANDA
Dotto Mwaibale
WAKAZI wa jiji la Mwanza na mikoa jirani ya Kanda ya Ziwa, wamefurahishwa na uwekezaji unaotarajiwa kufanywa na Kampuni ya Bia ya Mabibo (MBL) kwa ajili ya kujenga kiwanda cha bia za Windhoek.
Wakizungumza katika promosheni iliyoandaliwa na kampuni hiyo jijini Mwanza juzi katika ukumbi wa Villa Park...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-hOZXX85nCM0/VUsptBIplVI/AAAAAAAHV2g/D5VBVet20Qk/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-05-07%2Bat%2B11.55.42%2BAM.png)
9 years ago
Global Publishers05 Jan
Linex kulamba shavu Sweden
DEOGRATIUS MONGELA
MSANII wa Muziki wa RnB, Mtanzania mwenye maskani yake nchini Sweden, Khairat Carlo Omar, ’Dati’ amemshirikisha kwenye songi lake Mkali wa Bongo Fleva Sunday Mjeda ‘Linex’ na kumtumia tiketi ya ndege kwa ajili ya kufanya video nchini humo.
Dati anayetamba na wimbo wake wa Can Do uliotengenezwa na Prodyuza Fundi Samweli na video ikiwa imeshutiwa na wakali kama Hanscana na Khalfan, ameweka mipango ya kufanya wimbo mpya na Linex ambapo alisema kuwa wimbo huo ni ladha mpya...
11 years ago
Tanzania Daima28 Mar
Linex alia na Marco Chali
MSANII mwenye sauti ya pekee, Sunday Mangu ‘Linex’ au ‘Leka Maker’, amemlalamikia mtayarishaji wa muziki, Marco Chali kupitia studio ya Kama Kawa Production, kwa kusambaza wimbo wake unaojulikana kwa jina...
9 years ago
Bongo504 Sep
Music: Linex Ft Baraka Da Prince — Because Of You
11 years ago
Tanzania Daima23 Dec
Linex afunga mwaka na swali
MSANII wa muziki wa Bongo fleva, Sunday Mangu ‘Linex’, amesema kuwa kabla ya mwaka haujaisha, ataachia wimbo wake mpya wa ‘Unataka Ndoa au Harusi’. Linex alisema wimbo huo ambao haujamlenga...
11 years ago
GPL