Linex afunga mwaka na swali
MSANII wa muziki wa Bongo fleva, Sunday Mangu ‘Linex’, amesema kuwa kabla ya mwaka haujaisha, ataachia wimbo wake mpya wa ‘Unataka Ndoa au Harusi’. Linex alisema wimbo huo ambao haujamlenga...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo531 Dec
Linex: Nimeingiza mkwanja mrefu mwaka 2014 kuliko miaka yote
10 years ago
GPL
WEMA AFUNGA MWAKA KWA KILIO!
11 years ago
GPL
WEMA AFUNGA MWAKA KWA MGONGO WAZI
9 years ago
Global Publishers26 Dec
Msaga Sumu afunga mwaka Dar Live kwa kishindo
Bingwa wa muziki wa Singeli, Msaga Sumu akifanya yake Sikukuu ya Krismasi ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala- Zakhem jijini Dar .
Mashabiki wakimshangilia Msaga Sumu (hayupo katika picha).
Mashabiki akiendelea na shoo yake.
Akiendelea na Makamuzi yake mida ya Saa 5: 50 usiku wa kuamkia leo kwenye Ukumbi wa Dar Live, Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam.
(PICHA: MUSA MATEJA NA RICHARD BUKOS/GPL)
10 years ago
Bongo Movies31 Dec
PICHA:Wolper Afunga Mwaka Kwa Kuachia Hizi Zilizowachanganya Wengi!!
Ikiwa zimebaki saa chache tu tuuage mwaka 2014 na tuupokee mwaka 2015, mrembo na mwigizaji wa filamu mwenye mvuto wa namna yake, ameacha gumzo mtandaoni baada ya kutupia picha hizi na kuwatakia kheri ya mwaka mpya mashabiki wake.
Picha hizi ambao alizitupia moja moja tangu jana zimeleta gumzo kubwa miongoni mwamashabiki wale ‘kindakindaki’ wa mwanadada huyu, kwani wengi hasa vidume wameoneka kuchanganywa kabisa na picha hizi na wengi wao wamejikuta wakiachia "comment" za kumsifia hadi...
9 years ago
Dewji Blog02 Jan
Hoyce Temu afunga mwaka kwa kutembelea kituo cha wazee, Lundenga amtaja kama Miss bora kuwahi kutokea
Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu (wa pili kushoto) akiwa ameambatana na Mkurugenzi wa Lino International Agency ambao ni waandaaji wa shindano la Miss Tanzania, Hashim Lundenga (katikati) kushoto Mkuu wa Itifaki wa Kamati ya Miss Tanzania, Albert Makoye ( wa pili kulia), Katibu wa Kamati ya Miss Tanzania Bosco Majaliwa (kulia) pamoja na mpiga picha wa kipindi cha Mimi na Tanzania, Geofrey Magawa a.k.a KIM (kushoto) wakiwasili Desemba 31, 2015 kwenye makazi ya wazee na watu wenye ulemavu...
10 years ago
Vijimambo16 Mar
11 years ago
BBCSwahili30 Jun
Algeria:Kocha akerwa na swali
10 years ago
Vijimambo