Linex kulamba shavu Sweden
DEOGRATIUS MONGELA
MSANII wa Muziki wa RnB, Mtanzania mwenye maskani yake nchini Sweden, Khairat Carlo Omar, ’Dati’ amemshirikisha kwenye songi lake Mkali wa Bongo Fleva Sunday Mjeda ‘Linex’ na kumtumia tiketi ya ndege kwa ajili ya kufanya video nchini humo.
Dati anayetamba na wimbo wake wa Can Do uliotengenezwa na Prodyuza Fundi Samweli na video ikiwa imeshutiwa na wakali kama Hanscana na Khalfan, ameweka mipango ya kufanya wimbo mpya na Linex ambapo alisema kuwa wimbo huo ni ladha mpya...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziBALOZI DORA MSECHU AWASILISHA HATI ZAKE ZA UTAMBULISHO KWA MFALME WA SWEDEN, AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO SWEDEN NA KUPOKELEWA KWA SHANGWE
9 years ago
Mwananchi12 Nov
Samatta kulamba Sh1.6 bilioni Ulaya
10 years ago
Habarileo19 Jul
Anayedaiwa kulamba fedha za maabara asimamishwa
MKURUGENZI wa Halmashauri ya Igunga, Rustika Turuka amemsimamisha kazi Mtendaji wa Kata ya Kining’inila wilaya ya Igunga mkoani Tabora John Maduhu kwa muda usiojulikana.
10 years ago
Mwananchi07 Jan
TFF kulamba Sh2.2 bil za Fifa
11 years ago
Nyasa Times24 Jul
Chewa's Kulamba ceremony attracts three more countries
Chewa's Kulamba ceremony attracts three more countries
Nyasa Times
People of the Chewa tribe from South Africa, Tanzania and Zimbabwe will take part in this year's cultural ceremony Kulamba, local organisers have disclosed. The three countries join Malawi, Zambia and Mozambique–the serial participants at the annual ...
10 years ago
GPLSTEVE NYERERE ANADAIWA KULAMBA FEDHA ZA KABURI!
10 years ago
Mwananchi28 May
Wabunge 42 kulamba Sh3.3 bilioni kwa mwaka
10 years ago
Mwananchi13 Aug
MGAWO : Klabu kulamba Sh80 milioni udhamini
10 years ago
GPLSHOGA, ACHA KULAMBA ASALI KWA NCHA YA KISU