WADAU WAMLILIA BABA WA FM ACADEMIA "WANA NGWASUMA" MAREHEMU MARTIN KASYANJU MSIBANI OYSTERBAY, DAR ES SALAAM LEO
KWA MUJIBU WA TAARIFA ZA FAMILIA YA MAREHEMU MARTIN KASYANJU YANATARAJIWA KUFANYIKA SIKU YA IJUMAA KATIKA MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM. HII NI KURUHUSU WATOTO NA NDUGU WA MAREHEMU WALIO NJE YA NCHI NA MIKOANI WAWAHI MAZISHI. MAREHEMU KASYANJU, AMBAYE ALIKUWA MMILIKI WA BENDI MAARUFU YA FM ACADEMIA WANA NGWASUMA, ALIFARIKI JANA JIJINI DAR ES SALAAM BAADA YA KUUGUA KWA MUDA MFUPI. MSIBA UKO NYUMBANI KWA MAREHEMU OYSTERBAY JIRANI NA HOTELI YA COLOSSEUM JIJINI DAR ES SALAAM. RATIBA...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Michuzi
MWILI WA MAREHEMU CELINA O. KOMBANI WAWASILI DAR ES SALAAM MUDA HUU, WATUMISHI WA OFISI YAKE WAMLILIA

Kaimu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. HAB Mkwizu na watumishi wote wa Ofisi ya Rais-Utumishi wataendelea kukukumbuka daima kwa busara zako na uongozi wako mzuri.-------------------------------------------------------------------Wakati huo huo mwili wa Marehemu Celina O. Kombani umewasili muda huu katika uwanja wa ndege wa kimatifa wa...
10 years ago
Vijimambo
FM ACADEMIA 'WAZEE WA NGWASUMA' YAMOTO BAND NA BARBANAS KUWASHA MOTO USIKU WA ONYESHO LA 'USIKU MWEUPE' JIJINI DAR
Na Mwandishi Wetu. FM Academia 'Wazee wa Ngwasuma' Yamoto Band na Barbanas, kesho watakuwa na onesho maalum liitwalo 'Usiku Mweupe' litakalofanyika kwenye ukumbi wa Escape One, uliopo mikocheni Dar es Salaam.Mratibu wa onesho hilo Wiliam Malecela, alisema kuwa kila kitu kipo vizuri ambapo onesho hilo litaanza saa 3, usiku.Alisema kuwa dhumuni la kufanya onesho la pamoja kwa bendi hizo na msanii huyo anayefanya vizuri katika muziki wa kizazi kipya ni kutaka kuuinua muziki wa dansi ambao...
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Michuzi
MAMIZ GRAND RESORT INAKULETEA MIAKA 18 YA FM ACADEMIA WAZEE WA NGWASUMA NA NGOMA ZAO MPYA



10 years ago
Vijimambo
MWILI WA MAREHEMU CELINA O. KOMBANI WAWASILI DAR ES SALAAM LEO JIONI


10 years ago
Michuzi
WADAU WA DAWA WAKUTANA JIJI DAR ES SALAAM LEO


11 years ago
Michuzi
Marehemu Amina-Zahara Shabani Mtengeti azikwa leo Kisutu, Dar es salaam




9 years ago
Michuzi
WADAU JESSE NA FAITH WAMEREMETA JIJINI DAR ES SALAAM LEO




