Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wadukuzi watatiza tovuti za BBC

Tovuti zote za BBC leo zimekumbwa na matatizo kwa saa kadha baada ya kuvamiwa na wadukuzi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WADUKUZI WAVAMIA TOVUTI YA MALAYSIA AIRLINES, WAWEKA PICHA YA MJUSI NA WIMBO

Pichani kulia ni picha ya mjusi iliyowekwa kwenye ukurasa wa mbele wa tovuti ya Shirika la Ndege la Malaysia. WADUKUZI wa mitandao wameweka picha ya mjusi  na wimbo katika tovuti ya Shirika la Ndege la Malaysia ambamo wameweka ujumbe  usemao kwamba ‘Ndege Haipatikani’ ukihusishwa na ndege namba MH370 ya shirika hilo ambayo ilipotea mwaka jana mwezi Machi  na haijapatikana mpaka leo. Picha iliyowekwa kwenye...

 

9 years ago

BBCSwahili

Kundi ladai kuhusika kutatiza tovuti za BBC

Kundi moja linalosema limekuwa likikabiliana na shughuli za Islamic State (IS) mtandaoni limedai kuhusika katika kuvuruga tovuti za BBC majuzi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wahuni watatiza Bitcoin

Ni wakati mgumu kwa Bitcoin ambayo inaarifiwa imeshambuliwa na wahuni

 

11 years ago

BBCSwahili

Upinzani watatiza uchaguzi Thailand

Waandamanaji nchini Thailand wanazuia usambazaji wa karatasi za kupigia kura siku moja tu kabla ya uchaguzi mkuu

 

11 years ago

BBCSwahili

Mgomo mpya watatiza Dimba la Brazil

Hofu yakumba maandalizi ya kombe la dunia baada ya Wafanyikazi wa usafiri kuamua kuendelea na mgomo wao jijini Sao Paulo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ukosefu wa taa watatiza hesabu ya kura Pemba

Baada ya watanzania wanapiga kura Oktoba 25 kumchagua mrithi wa Rais Jakaya Kikwete shughuli ya kuhesabu kura imeanza tayari

 

10 years ago

BBCSwahili

Wadukuzi wailiza Marekani

Mamlaka nchini Marekani imewamefungulia mashtaka ya jinai watu tisa baada ya kuhusika na wizi wa mtandaoni.

 

9 years ago

BBCSwahili

Wadukuzi waandamana wanaotumia LinkedIn

Wadukuzi wa mitandaoni wameanza kuandama zaidi watu wanaotumia mtandao wa LinkedIn, shirika la usalama wa mtandaoni Symantec linasema.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wadukuzi wasoma ujumbe wa Obama

Gazeti moja nchini Marekani linasema kuwa wadukuzi wa mitandao wa Urusi walifanikiwa kudukua ujumbe wa rais Obama

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani