Wadukuzi waandamana wanaotumia LinkedIn
Wadukuzi wa mitandaoni wameanza kuandama zaidi watu wanaotumia mtandao wa LinkedIn, shirika la usalama wa mtandaoni Symantec linasema.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili12 Aug
Wadukuzi wailiza Marekani
Mamlaka nchini Marekani imewamefungulia mashtaka ya jinai watu tisa baada ya kuhusika na wizi wa mtandaoni.
10 years ago
BBCSwahili26 Apr
Wadukuzi wasoma ujumbe wa Obama
Gazeti moja nchini Marekani linasema kuwa wadukuzi wa mitandao wa Urusi walifanikiwa kudukua ujumbe wa rais Obama
9 years ago
BBCSwahili31 Dec
Wadukuzi watatiza tovuti za BBC
Tovuti zote za BBC leo zimekumbwa na matatizo kwa saa kadha baada ya kuvamiwa na wadukuzi.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-hwEeqCyyzeAyi627BtMImltdSU*StaK4xmhnEmnW*zhLsLE7TLxWJUHqPovKSkxapdeY3MBUyVze1uPJq41uNKqQd5lxMA7/KIDOOOOOO.jpg?width=650)
WADUKUZI WAVAMIA BARUA-PEPE YA WIZKID
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Wizkid.
HABARI zilizopokelewa na mtandao wa Nigeriafilms.com zinasema barua-pepe ya mwanamuziki Wizkid imekumbwa na udukuzi. Chanzo cha habari hizo ni kampuni ya List Entertainment ambayo inataka watu wafahamu kwamba barua pepe ya mwanamuziki huyo maarufu nchini Nigeria na muasisi wa Starboy Music, aitwaye Ayo Balogun almaarufu kama Wizkid, imevamiwa na wadukuzi wanaotuma ujumbe wa...
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Equifax: Marekani yawashtaki wanajeshi wanne ''wadukuzi'' wa Kichina
Marekani imewashitaki maafisa wa kijeshi wa Marekani juu ya mashambulio ya kimtandao dhidi ya kampuni kubwa ya utoaji wa mikopo Equifax.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/FXkXptW89jKCPUqQC7tGqGn7Df5rFNxu6rR4UrUoy5AKVp-Z6v5zghrr7ZzEodAr4p2PgWKw4YIDIIu0CzBCZrlV7x2KKtyO/MAINmalaysiahack.jpg)
WADUKUZI WAVAMIA TOVUTI YA MALAYSIA AIRLINES, WAWEKA PICHA YA MJUSI NA WIMBO
Pichani kulia ni picha ya mjusi iliyowekwa kwenye ukurasa wa mbele wa tovuti ya Shirika la Ndege la Malaysia. WADUKUZI wa mitandao wameweka picha ya mjusi na wimbo katika tovuti ya Shirika la Ndege la Malaysia ambamo wameweka ujumbe usemao kwamba ‘Ndege Haipatikani’ ukihusishwa na ndege namba MH370 ya shirika hilo ambayo ilipotea mwaka jana mwezi Machi na haijapatikana mpaka leo. Picha iliyowekwa kwenye...
5 years ago
BBCSwahili18 Apr
Virusi vya corona: Google yazuia mamilioni ya barua pepe za wadukuzi
Wadukuzi wa mtandaoni huwa wanatuma barua pepe milioni 18 kila siku zenye ujumbe wa uongo kuhusu ugonjwa wa Covid-19, kwa mujibu wa Google.
10 years ago
Habarileo23 Oct
Wanaotumia vibaya simu kukiona
SERIKALI imeahidi kuja na sheria itakayozuia matumizi mabaya ya mitandao ya simu yanayohusisha usambazaji wa picha za ngono, wizi na taarifa zingine zinazochangia kubomoa maadili ya Mtanzania.
10 years ago
BBCSwahili21 Nov
Wanaotumia dawa michezoni wafungiwe
Bingwa wa dunia Olimpik riadha Valerie Adams amependekeza kufungiwa maisha kwa mwanariadha atakayebainika kutumia dawa.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania