Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Equifax: Marekani yawashtaki wanajeshi wanne ''wadukuzi'' wa Kichina

Marekani imewashitaki maafisa wa kijeshi wa Marekani juu ya mashambulio ya kimtandao dhidi ya kampuni kubwa ya utoaji wa mikopo Equifax.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi wanamaji wanne wauawa Marekani

Mtu mwenye silaha amewaua askari wanne wa jeshi la maji Marekani katika shambulio lililofanywa kwenye majengo mawili ya jeshi hilo katika mji wa Chattanooga, Tennessee.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wadukuzi wailiza Marekani

Mamlaka nchini Marekani imewamefungulia mashtaka ya jinai watu tisa baada ya kuhusika na wizi wa mtandaoni.

 

10 years ago

Habarileo

Wanajeshi wanne wajeruhiwa Tanga

Magari ya polisi yakiwa katika eneo la tukio.ASKARI sita wakiwemo wanne wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ), wamejeruhiwa vibaya kwa risasi wakati wa mapigano baina yao na watu wanaodhaniwa kuwa wahalifu wakati wa msako maalumu wa kutafuta silaha zinazodaiwa kufichwa kwenye moja ya eneo la mapango ya Amboni.

 

10 years ago

Vijimambo

Madaktari wa kichina waenda Mapumziko kusherehekea mwaka mpya wa kichina

Kiongozi wa Madaktari wa Kichina Dr. Liu Yaping akimkabidhi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi zawadi ya pambo la Ofisi wakati alipofika Ofisini kwa Balozi Vuga Mjini Zanzibar na Timu yake ya Madaktari kuaga wakirejea nyumbani kwa mapumziko ya mwezi mmoja kiusherehekea mwaka mpya wa Kichina.Pembeni kushoto ni mtapta wao Bibi Liu HualianDr. Liu Yaping kiongozi wa Madaktari wa Kichina wanaotoa huduma za Afya Hospitali za Zanzibar kati kati akiwa sambamba na Mtapta wao Bibi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi wauawa Marekani

Mtu mwenye silaha amewaua askari 4 wa jeshi la wanamaji wa Marekani katika shambulio lililofanywa kwenye majengo ya jeshi hilo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanajeshi wa Marekani wafutwa kazi

Wajeshi 9 wa kambi ya Kinyuklia watimuliwa kwa kudanganya katika mtihani wao

 

11 years ago

BBCSwahili

Libya yawaachia wanajeshi wa Marekani

Makao Makuu ya Ulinzi nchini Marekani, Pentagon imesema wanajeshi wake wanne waliokuwa wakishikiliwa waameachiwa Libya.

 

10 years ago

BBCSwahili

Marekani yawaua wanajeshi wa Afghanistan

Askari 8 wa Afghanistan wamekufa katika shambulizi la anga la Marekani kwenye kituo cha kijeshi cha ukaguzi katika jimbo la Logar

 

10 years ago

BBCSwahili

Marekani yawaondoa wanajeshi wake Yemen

Wizara ya mashauri ya kigeni Marekani imethibitisha kuwa wanajeshi wote wa Marekani waliokuwa wamebaki nchini Yemen wamondolewa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani