Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WADUKUZI WAVAMIA BARUA-PEPE YA WIZKID

Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Wizkid.
HABARI zilizopokelewa na mtandao wa Nigeriafilms.com zinasema barua-pepe ya mwanamuziki  Wizkid imekumbwa na udukuzi. Chanzo cha habari hizo ni kampuni ya List Entertainment ambayo inataka watu wafahamu kwamba barua pepe ya mwanamuziki huyo maarufu nchini Nigeria na muasisi wa Starboy Music, aitwaye Ayo Balogun almaarufu kama Wizkid, imevamiwa na wadukuzi wanaotuma ujumbe wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Google yazuia mamilioni ya barua pepe za wadukuzi

Wadukuzi wa mtandaoni huwa wanatuma barua pepe milioni 18 kila siku zenye ujumbe wa uongo kuhusu ugonjwa wa Covid-19, kwa mujibu wa Google.

 

10 years ago

GPL

WADUKUZI WAVAMIA TOVUTI YA MALAYSIA AIRLINES, WAWEKA PICHA YA MJUSI NA WIMBO

Pichani kulia ni picha ya mjusi iliyowekwa kwenye ukurasa wa mbele wa tovuti ya Shirika la Ndege la Malaysia. WADUKUZI wa mitandao wameweka picha ya mjusi  na wimbo katika tovuti ya Shirika la Ndege la Malaysia ambamo wameweka ujumbe  usemao kwamba ‘Ndege Haipatikani’ ukihusishwa na ndege namba MH370 ya shirika hilo ambayo ilipotea mwaka jana mwezi Machi  na haijapatikana mpaka leo. Picha iliyowekwa kwenye...

 

9 years ago

BBCSwahili

Barua pepe za Clinton kuchunguzwa

Maefu ya kurasa za barua pepe binafsi za aliyekuwa Waziri wa Mambo ya nje wa Marekani Hillary Clinton zinachunguzwa.

 

9 years ago

GPL

BARUA PEPE ZA HILLARY CLINTON KUKAGULIWA

Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Bi. Hillary Clinton. New York, Marekani Maelfu ya kurasa za barua pepe (emails) binafsi za aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Bi. Hillary Clinton zilizotumwa kwa anuani binafsi ya Waziri huyo, zimewekwa wazi hii leo na idara za Usalama nchini humo. Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imesema kuwa, kati ya barua pepe hizo, 150 kati yake ni zile zinazodaiwa kuwa na taarifa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Marekani :Tunataka barua pepe Microsoft

Mahakama nchini Marekani imeamuru kampuni ya Microsoft kukabidhi barua pepe zote zilizotunzwa katika kituo cha Ireland.

 

10 years ago

Habarileo

Taasisi za serikali zatakiwa kubadilisha barua pepe

TAASISI za Serikali nchini zimetakiwa kufanya mabadiliko katika mfumo wa barua pepe za serikali ili kuendana na mabadiliko ya sasa ya sayansi na teknolojia.

 

11 years ago

BBCSwahili

Barua pepe zatumiwa kujumlisha kura Malawi

Maafisa wa uchaguzi nchini Malawi,wamelazimika kutumia vipepesi na barua pepe kujumlisha kura baada ya mfumo wa elektroniki kuharibika.

 

10 years ago

Vijimambo

HILLARY CLINTON ASEMA ALIRUHUSIWA KUTUMIA BARUA PEPE BINAFSI

Hillary Clinton akijibu maswali ya waandishi habari leo ndani ya mjengo wa Umoja wa Mataifa New York kuhusiana na tuhuma za kutumia barua pepe binafsi badala ya serikali huku ikidhaniwa ni kwasababu alikua akificha jambo lakini yeye alipokua akiongea na wanahabari aliwaambia yeye kutumia barua pepe binafsi alomba kufanya hivyo na aliruhusiwa na sababu kubwa ya yeye kufanya hivyo ni kwasababu kwake ilikua vigumu kubeba simu mbili kwa ajili ya kutumia kupokea au kutuma barua pepe.
Alipoulizwa...

 

11 years ago

Michuzi

KUVAMIWA KWA AKAUNTI YANGU BINAFSI YA BARUA PEPE - SULEIMAN SALEH

             


              Leo hii Ijumaa Juni 20, 2014, kuanzia saa 5 mchana kwa saa za Marekani na saa 12 jioni kwa saa za Tanzania nimegundua kwamba akaunti yangu binafsi ya barua pepe kidundo2001@yahoo.comimevamiwa na wahalifu.  Nimechukuwa hatua stahili na za haraka katika kushughulikia tatizo hili. Naomba kuwashukuru wote walionitanabahisha kwa kufahamu kwamba niko Washington DC, Marekani,  na wakashangazwa kupokea barua pepe nyingi ambazo zimedai kwamba niko Nassau, Bahamas, Manila...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani