‘Waepukeni wanaonunua uongozi’
KATIBU wa Jimbo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ukonga, jijini Dar es Salaam, Juma Mwipopo, amewataka wananchi kutowachagua wanasiasa wanaotumia fedha kununua uongozi. Mwipopo ametoa tahadhari hiyo hivi...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo06 Apr
Wanaonunua uaskofu washitukiwa
ASKOFU Mkuu Kanisa la Anglikana Tanzania, Dk Jacob Chimeledya ameonya tabia ya makasisi kutoa fedha ili kununua Uaskofu kwani hiyo ni aibu. Alisema hayo jana mjini hapa wakati wa ibada ya maziko ya aliyekuwa Askofu wa Dayosisi ya Central Tanganyika, Godfrey Mhogolo yaliyofanyika kwenye viwanja vya kanisa hilo.
10 years ago
Habarileo18 May
Wanasiasa wanaonunua madaraka waonywa
WANANCHI wametakiwa kuwa waangalifu na wanasiasa wanaotumia rushwa kutaka uongozi kwani hawana nia kuongoza nchi.
10 years ago
BBCSwahili28 Jul
Wanaonunua mali kwa pesa chafu UK waonywa
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-DM4sZDWf2Ps/VHx7tjx5DdI/AAAAAAAG0nc/yB4upPsOPfo/s72-c/unnamed%2B(31).jpg)
Wateja wanaonunua line za Vodacom Tanzania sasa kusajiliwa kieletronic
![](http://1.bp.blogspot.com/-DM4sZDWf2Ps/VHx7tjx5DdI/AAAAAAAG0nc/yB4upPsOPfo/s1600/unnamed%2B(31).jpg)
Huduma hii ya usajili wa wateja wapya kwa njia ya kielektronikia inachukua nafasi ya usajili wa kujaza fomu uliokuwepo hapo awali na imeonekana kuwa ni bora na ya haraka na inapunguza kazi ya kujaza karatasi na kupunguza uwezekano wa taarifa za mteja kupotea na wateja wametokea...
9 years ago
CCM Blog09 Nov
MAGUFULI AVUNJA BODI YA UONGOZI MUHIMBILI ATEUA UONGOZI MPYA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: ikulucommpress@googlemail.com
Website : www.ikulu.go.tz
Fax: 255-22-2113425
PRESIDENT’S OFFICE,
STATE HOUSE,
1 BARACK OBAMA ROAD,
11400 DAR ES SALAAM.
Tanzania.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli , leo mchana amefanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-S5H1zKYU8YE/VkDTYds2YsI/AAAAAAAIFF4/gCDOTHs_PU0/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-05-12%2Bat%2B4.36.49%2BPM.png)
BREAKING NYUZZZZZ.....: RAIS MAGUFULI AVUNJA BODI YA UONGOZI WA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI, ATEUA UONGOZI MPYA WA MUDA
![](http://4.bp.blogspot.com/-S5H1zKYU8YE/VkDTYds2YsI/AAAAAAAIFF4/gCDOTHs_PU0/s640/Screen%2BShot%2B2015-05-12%2Bat%2B4.36.49%2BPM.png)
“ Rais amesikitishwa na kuhuzunishwa na hali ya huduma kwa wagonjwa hususan wanaolala chini. Pia amekasirishwa na hali ya kutokujali wala kushughulikia vifaa vya kufanyia kazi ambapo amekuta mashine muhimu za uchunguzi wa magonjwa kama vile MRI na CT-SCAN zikiwa hazifanyi kazi kwa muda wa miezi miwili...