Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wateja wanaonunua line za Vodacom Tanzania sasa kusajiliwa kieletronic

Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania kuanzia leo imezindua huduma mpya ya kuwarahisishia wateja wake maisha ambayo ni ya usajili  wa wateja wapya wanaonunua line za simu kwa njia ya  kieletronikia.
Huduma hii ya usajili wa wateja  wapya kwa njia ya kielektronikia inachukua  nafasi ya usajili wa kujaza fomu uliokuwepo hapo awali na imeonekana kuwa ni bora na ya haraka na inapunguza kazi ya kujaza  karatasi na kupunguza uwezekano wa taarifa za mteja kupotea  na wateja wametokea...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Wateja Vodacom kusajiliwa kielektroniki

Mkuu wa Idara ya huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania, Brigita Stephen(katikati)akitangaza kwa waandishi wa habari(hawapo pichani) kuanza kutumika kwa mfumo mpya wa usajili wa nambari za wateja wa kielektroniki jijini Dar es salaam. kushoto ni Ofisa Mkuu wa huduma kwa wateja Harriet Lwakatare na Mkuu wa Idara ya Uhusiano na Mawasiliana Kwa wa kampuni hiyo Rosalynn Mworia. Tofauti na utaratibu wa kawaida wa usajili unaotumia zaidi ya siku kumi na tano, mfumo huo unakamilisha zoezi la...

 

11 years ago

GPL

WATEJA VODACOM KUSAJILIWA KIELEKTRONIKI‏

Mkuu wa Idara ya huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania, Brigita Stephen(katikati)akitangaza kwa waandishi wa habari(hawapo pichani) kuanza kutumika kwa mfumo mpya wa usajili wa nambari za wateja wa kielektroniki jijini Dar es salaam. kushoto ni Ofisa Mkuu wa huduma kwa wateja Harriet Lwakatare na Mkuu wa Idara ya Uhusiano na Mawasiliana Kwa wa kampuni hiyo Rosalynn Mworia. Tofauti na utaratibu wa kawaida wa usajili unaotumia...

 

10 years ago

GPL

WATEJA WA VODACOM M-PESA SASA KUTUMA PESA NCHINI KENYA

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Rene Meza, akiongea na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi rasmi wa kutuma na kupokea pesa nchini Kenya kwa njia ya M-PESA. Uzinduzi huo ulifanyika jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Mifumo ya Malipo wa Benki Kuu ya Tanzania, Bernard Dadi (kushoto) na Mkuu wa Kitengo cha Biashara na Maendeleo ya M-Pesa wa Vodacom Tanzania, Isack Nchunda wakimsikiliza jambo Meneja wa Mifumo ya...

 

10 years ago

Michuzi

Wateja wa M-PESA sasa kutuma pesa nchini Kenya, kutokana na ushirikiano wa Vodacom na Safaricom

Kampuni kubwa za mawasiliano Afrika mashariki Vodacom Tanzania na Safaricom ya Kenya leo zimezindua huduma mpya ambapo kuanzia sasa zaidi ya wateja Milioni 7 wa M-Pesa waVodacom Tanzania wanaweza kutuma na kupokea pesa kwa watumiaji zaidi ya milioni 18 wa Safaricom M-Pesa ya Kenya. Huduma hii mpya ambayo imebuniwa na makampuni haya yanayoongoza kutoka huduma za mawasiliano katika ukanda wa Afrika Mashariki itawawezesha wateja wake kutuma pesa kwa kutozwa viwango sawa na vinavyotumika...

 

10 years ago

Michuzi

Vodacom Tanzania ilivyowarusha wateja wake kila kona ya jiji la Dar

Mfalme wa muziki wa taarabu na kiongozi wa kundi la Jahazi Modern taarabu Mzee Yusuf akitoa burudani kwa mashabiki wa muziki huo katika Tamasha la Wafalme lililofanyika Dar Live na kudhamiwa na Vodacom Tanzania hapo jana katika kusherehekea sikukuu ya Krismasi.Gwiji wa muziki wa kizazi kipya Diamond Platnumz akiwapagawisha mashabiki wa muziki wake katika Tamasha la Wafalme lililofanyika Dar Live na kudhamiwa na Vodacom Tanzania hapo jana katika kusherehekea sikukuu ya Krismasi.Msanii wa...

 

10 years ago

GPL

VODACOM TANZANIA ILIVYOWARUSHA WATEJA WAKE KILA KONA YA JIJI LA DAR‏

Mfalme wa muziki wa taarabu na kiongozi wa kundi la Jahazi Modern taarabu  Mzee Yusuf  akitoa burudani kwa mashabiki wa muziki huo katika Tamasha la Wafalme lililofanyika Dar Live na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania hapo jana katika kusherehekea sikukuu ya Krismasi.…

 

9 years ago

Michuzi

MAWAKALA WA VODACOM TANZANIA WAPIGWA MSASA KUTOA HUDUMA BORA KWA WATEJA

 Mkuu wa Kitengo cha M-Pesa wa Vodacom Tanzania, George Kagaruki akitoa mafunzo kwa Mawakala wa M-Pesa wa kanda ya Mbagala jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wakati wa Semina iliyoandaliwa na Kampuni hiyo kwa ajili ya mawakala hao kujifunza jinsi ya kutoa na kuboresha huduma  za kifedha, kuepukana na  udanganyifu wa kifedha na jinsi ya  kupata faida zaidi kwa kuuza Vodafasta (muda wa hewani) na kuunganisha wateja wa kampuni hiyo kwa kutumia huduma ya M-Pawa.
 Wakufunzi wa Semina ya...

 

5 years ago

Michuzi

Kampuni ya Vodacom Tanzania PLC yakinga wateja wake waendapo kupata huduma Vodashop

Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi akimkabidhi zawadi ya simu mteja wa  Vodacom Abutwalib Mtua alipotembelea duka la kampuni hiyo lililopo makao makuu, kuangalia namna watoa huduma wanavyowalinda Wateja wao kipindi hiki cha janga la Corona kwa kusisitiza uvaaji wa barakoa, kuwapima joto na kuwapa vitakasa mikono mara waingiapo kupata huduma kwenye maduka ya kampuni hiyo. Wengine kushoto ni Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano Vodacom Tanzania PLC,Rosalynn Mworia na Mkuu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani