Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanaonunua uaskofu washitukiwa

ASKOFU Mkuu Kanisa la Anglikana Tanzania, Dk Jacob Chimeledya ameonya tabia ya makasisi kutoa fedha ili kununua Uaskofu kwani hiyo ni aibu. Alisema hayo jana mjini hapa wakati wa ibada ya maziko ya aliyekuwa Askofu wa Dayosisi ya Central Tanganyika, Godfrey Mhogolo yaliyofanyika kwenye viwanja vya kanisa hilo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

‘Waepukeni wanaonunua uongozi’

KATIBU wa Jimbo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ukonga, jijini Dar es Salaam, Juma Mwipopo, amewataka wananchi kutowachagua wanasiasa wanaotumia fedha kununua uongozi. Mwipopo ametoa tahadhari hiyo hivi...

 

10 years ago

Habarileo

Wanasiasa wanaonunua madaraka waonywa

Mohamed RazaWANANCHI wametakiwa kuwa waangalifu na wanasiasa wanaotumia rushwa kutaka uongozi kwani hawana nia kuongoza nchi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanaonunua mali kwa pesa chafu UK waonywa

Waziri mkuu wa Uingereza David Cameron, anatarajiwa kulaani matumizi ya pesa chafu kutoka maeno mbali mbali ya dunia zinazotumiwa kununua mali nchini Uingereza

 

10 years ago

Michuzi

Wateja wanaonunua line za Vodacom Tanzania sasa kusajiliwa kieletronic

Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania kuanzia leo imezindua huduma mpya ya kuwarahisishia wateja wake maisha ambayo ni ya usajili  wa wateja wapya wanaonunua line za simu kwa njia ya  kieletronikia.
Huduma hii ya usajili wa wateja  wapya kwa njia ya kielektronikia inachukua  nafasi ya usajili wa kujaza fomu uliokuwepo hapo awali na imeonekana kuwa ni bora na ya haraka na inapunguza kazi ya kujaza  karatasi na kupunguza uwezekano wa taarifa za mteja kupotea  na wateja wametokea...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete ahudhuria Sherehe za Uaskofu jimbo Katoliki Shinyanga

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza askofu Mpya wa Jimbo Katoliki Shinyanga Mhashamu Liberatus Sangu wakati wa ibada ya kumweka wakfu iliyofanyika katika kanisa kuu la Parokia ya Mama mwenye Huruma, Ngokolo, mjini Shinyanga leo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumapili, Aprili 12, 2015 ameungana na maelfu ya waumini wa Kanisa Katoliki, Jimbo la Shinyanga, kuhudhuria Ibada rasmi ya kumweka wakfu na kumsimika Askofu mpya wa Jimbo hilo,...

 

10 years ago

Michuzi

Lowassa asalimiana na wananchi baada ya kusimikwa uaskofu mchungaji Solomon Jacob Masangwa jijini arusha

 Waziri mkuu wa mstaafu na  mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akisalimiana na mamia ya waumini wa  kanisa la KKKT Kimandolu jijini Arusha baada ya Ibada ya kusimikwa uaskofu mchungaji Solomon Jacob Masangwa kuwa askofu wa dayosisi ya kaskazini Kati leo Jumamosi  Waumini hao walipigana vikumbo kumpiga picha na simu zao.

 

11 years ago

Michuzi

Mh. Lowassa ashiriki sherehe za Jubilei ya Miaka 25 ya Uaskofu wa Askofu Mkuu wa Jimbo la Iringa,Mhashamu Tarcisius Ngalalekumtwa

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Askofu Mkuu wa Jimbo la Iringa,Mhashamu Tarcisius Ngalalekumtwa wakati wa Jubilei ya Miaka 25 ya Uaskofu wake,iliyofanyika Julai 01,2014 kwenye Kanisa Kuu la Katolini Mjini Iringa.Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania,Mhashamu Severini Niwemugizi  wakati wa Jubilei ya Miaka 25 ya Uaskofu wa Askofu Mkuu wa Jimbo la...

 

11 years ago

GPL

LOWASSA ASHIRIKI SHEREHE ZA JUBILEI YA MIAKA 25 YA UASKOFU WA ASKOFU MKUU WA JIMBO LA IRINGA, MHASHAMU TARCISIUS NGALALEKUMTWA‏

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Askofu Mkuu wa Jimbo la Iringa,Mhashamu Tarcisius Ngalalekumtwa wakati wa Jubilei ya Miaka 25 ya Uaskofu wake,iliyofanyika Julai 01,2014 kwenye Kanisa Kuu la Katolini Mjini Iringa. Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania,Mhashamu Severini… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani