Waethiopia 100 wahukumiwa kuwa Kenya
Raia mia moja wa Ethiopia hii leo wamehukumiwa kifungo cha miezi kumi na mbili gerezani nchini Kenya au walipe faini ya takriban dola 600
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili24 Feb
11 years ago
Tanzania Daima19 Feb
Waethiopia 100 wakamatwa Pwani
JESHI la Polisi Mkoa wa Pwani linawashikilia raia 100 wa Ethiopia kwa kosa la kuingia nchini bila kibali katika matukio mawili tofauti. Wahamiaji hao haramu walikamatwa saa 10:00 asubuhi Februari...
10 years ago
BBCSwahili13 Apr
Hatimaye waliombaka Liz wahukumiwa Kenya
Hatimaye haki imetendeka baada ya watu watatu waliombaka msichana mdogo Liz kuhukumiwa kifungo cha mika 15 jela nchini Kenya
10 years ago
BBCSwahili23 Nov
Kenya yauwa al-Shabaab 100
Serikali ya Kenya yasema imewaandamana na kuwauwa al-Shabaab waliofanya shambulio Mandera
11 years ago
BBCSwahili24 Mar
100 wakamatwa mjini Mombasa, Kenya
Watu 100 wamekamatwa mjini Mombasa Pwani ya Kenya kufuatia shambulizi lililofanywa ndani ya kanisa moja mjini humo na kuwaua watu 4.
10 years ago
BBCKenya 'kills 100 Shabab militants'
The Kenyan military has killed more than 100 al-Shabab militants linked to a deadly attack on a bus, Kenya's deputy president says.
10 years ago
BBCSwahili11 Jun
Waalimu 100 Kenya wasimamishwa kazi
Tume ya huduma ya walimu nchini Kenya, imewafungia zaidi ya walimu mia moja kwa makosa ya udhalilishaji wa kijinsia
10 years ago
BBCSwahili17 Mar
Mama wa miaka 100 ahukumiwa jela Kenya
Mahakama moja nchini Kenya imemhukumu mama mwenye umri wa miaka 100 kifungo kwa kukaidi amri ya mahakama
10 years ago
BBCKenya jail frees 100-year-old woman
A 100-year-old Kenyan woman - jailed after failing to pay a $1,000 fine - is freed from prison following a national campaign.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania