Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


wafanyabiashara wa Tanzania changamkieni fursa za maonesho ya FOOD AND HOSPITALITY SHOW 2014 Oman


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wafanyabiashara changamkieni fursa Afrika Kusini — Kigoda

WAFANYABIASHARA wa Tanzania wameshauriwa kuchangamkia fursa za biashara nchini Afrika Kusini, ili kusaidia kuleta uwiano wa kibiashara kati ya nchi hizo mbili. Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Abdallah Kigoda,...

 

10 years ago

Michuzi

Tanzania yanogesha Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa Ubunifu na Utamaduni nchini oman

Na Faki Mjaka, Muscat, Oman Serikali na Wadau binafsi wameshauriwa kuwasaidia Wajasiriamali wa Kitanzania ili waweze kuziweka bidhaa zao katika Vifungashio (Package) vyenye mvuto na kiwango cha ubora wa kimataifa. Kufanya hivyo kutawawezesha Wajasiriamali hao kupata soko la Bidhaa zao kwa Wateja wadogo na wakubwa katika nchi mbalimbali duniani. Ushauri huo umetolewa na Balozi wa Tanzania nchini Oman Bw. Ali Ahmed Saleh alipowatembelea Wajasiriamali wanaoshiriki katika Maeonesho ya Kimataifa...

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA YASHIRIKI MAONESHO YA KIMATAIFA YA SANAA,UBUNIFU NA UTAMADUNI NCHINI OMAN

Shamra shamra za ufunguzi wa Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa, Ubunifu na Utamaduni yanayofanyika Mascut nchini Oman.Waziri wa Kilimo na Mifugo wa Oman Dkt. Fuad bin Jaafar al Sajwan akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Maonesho ya Mwezi mmoja ya Kimataifa ya Sanaa, Ubunifu na Utamaduni yanayofanyika Mascut nchini Oman. Naibu Balozi wa Tanzania nchini Oman Juma Othman kulia akibadilishana mawazo na mmmoja ya Wajasiriamali kutoka Tanzania anayeshiriki Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa, Ubunifu na...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI WA TANZANIA NCHINI OMAN AKUTANA NA WATANZANIA WANAOSHIRIKI MAONESHO YA SANAA NA UTAMADUNI MJINI MASCUT

Balozi wa Tanzania nchini Oman Bw. Ali Ahmed Saleh akisalimiana na Mwandishi wa Chanel Ten Said Makala Ofisini kwake alipowaita kwa lengo la kuwapa nasaha Washiriki wa Maonesho ya mwezi mmoja ya Kimataifa ya Sanaa, Ubunifu na Utamaduni yanayofanyika Jimbo la Al-Amerat mjini Mascut, nchini Oman.Mkuu wa Utawala Ubalozi wa Tanzania nchini Oman Abdallah Kilima kushoto akimkaribisha Balozi wa Balozi wa Tanzania nchini Oman Bw. Ali Ahmed Saleh kulia kutoa nasaha zake kwa Washiriki wa Maonesho ya...

 

9 years ago

Mwananchi

‘Changamkieni fursa zilizopo’

Vijana wametakiwa kuvunja makundi yaliyoundwa wakati wa kampeni za uchaguzi ili kuchangamkia fursa zilizopo kwenye maeneo yao na kuinua uchumi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wakulima changamkieni fursa hii

MOJA ya habari kubwa kwenye Gazeti hili jana ilihusu kauli ya Serikali kuhusu wakulima ambapo imesema kuwa kuanzia sasa ruksa kwa wakulima nchini kuuza mazao yao nje. Kauli hiyo ilitolewa...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Wakulima Mbeya changamkieni fursa’

Wakulima Mkoa wa Mbeya wametakiwa kuchangamkia kilimo cha kibiashara ili waweze kubadili maisha.

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri: Changamkieni fursa EAC

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Mohamed Aboud Mohamed ametoa wito kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kuchangamkia biashara kwenye masoko ya kimataifa ili kukuza uchumi wa nchi hizo.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wanawake changamkieni fursa — Dendego

WANAWAKE wajasiriamali mkoani Tanga wametakiwa kuchangamkia fursa zitakazotolewa kupitia kampeni ya ‘Mwanamke na Uchumi’ mwanzoni mwa mwezi ujao, ambapo zaidi ya wanawake 300 watanufaika na mafunzo hayo yanayotolewa na kampuni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani