Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAFANYAKAZI IMPALA GROUP WAMUOMBA MH.RAIS KUINGILIA KATI WAPATE MISHAHARA YAO



Wafanyakazi wa hotel ya Naura Springs na Impala hotel pichani wanaodai mishahara yao Wafanyakazi wa Hotel za Impala na Naura Springs wanasotea mishahara yao tokea Mwezi wa Tisa mwaka jana huku uongozi wa kampuni hizo ukidai kuwa hauna fedha kutokana na Ugonjwa wa Covid 19.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti wafanyakazi hao ambao wapo majumbani na wengine kazini  wakisotea mishahara yao bila kulipwa kwa zaidi ya miezi nane huku Mkurugenzi mbele ya waziri akiahidi kuwapa mishahara yao January 31...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

DC ataka kanisa kuendeleza ardhi,wananchi wamuomba Rais kuingilia kati

Na Amiri Kilagalila, Njombe
Wananchi wa kijiji cha Magoda halmashauri ya mji wa Njombe mkoani Njombe wameonyesha kutoridhishwa na uamuzi uliotolewa na mkuu wa wilaya Ruth Msafiri wa kuliachia kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania KKKT dayosisi ya kusini, ardhi yenye ukubwa wa zaidi ya ekari 580 kwa madai ya kwamba hawana sifa kisheria za umiliki wa eneo hilo.

Kufuatia agizo hilo ambalo limetolewa mbele ya mkutano wa hadhara, wananchi wanasema wanafikiri kwenda kuitafuta haki yao katika...

 

9 years ago

StarTV

Wafanyakazi wa TRL waiomba Serikali kuingilia kati madai yao ya malimbikizo

Wafanyakazi wa Kampuni ya Reli Tanzania TRL wameiomba Serikali kuingilia kati mgogoro wa malipo ya malimbikizo ya mshahara wao wa miezi mitano wanaoudai uongozi wa kampuni hiyo.

Wafanyakazi wa kampuni hiyo wametishia kwenda Ikulu kumuona Rais John Magufuli iwapo hawatolipwa malimbikizo ya jumla ya Shilingi Bilioni 2.4 ya kuanzia Julai hadi Novemba 2014.

Wafanyakazi hao wa Kampuni ya Reli nchini waliimba wimbo wa mshikamano baada ya uongozi wa kampuni kuondoka katika mkutano baina yao...

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR YAWAHAKIKISHIA WAFANYAKAZI WA SHAMBA LA MPIRA KICHWELE KULIPWA MISHAHARA YAO

Balozi Seif akiwaahidi Wafanyakazi wa shamba la Mipira Kichwele hatua zitakazochukuliwa na Serikali juu ya matatizo yao likiwemo la kulipwa haki zao.Picha na – OPMR – ZNZ. Mmoja wa Wafanyakazi wa shamba la Mipira Kichwele akiwasilisha malalamiko yao mbele ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi hayupo pichani wakidai kutolipwa mishahara yao kati ya miezi mitatu hadi Minane. Mwakilishi wa Kampuni ya Agro Tec ambae pia ni Makamu Mwenyekiti wa Bidi ya Uongozi wa Kampuni hiyop...

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais wa Yemen aitaka UN kuingilia kati

Rais wa Yemen ameliomba baraza la usalama la umoja wa mataifa kuidhinisha hatua za kijeshi dhidi ya kundi la waasiwa houthi

 

9 years ago

StarTV

TALGWU wamuomba Rais Magufuli kusaidia malipo yao ya bilioni 18.

Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa TALGWU kimemuomba Rais John Magufuli kuingilia kati madai yao ili waweze kulipa malimbikizo yao ya zaidi ya Shilingi Bilioni 18 za wafanyakazi wa serikali za mitaa kabla ya kumalizika kwa Desemba mwaka huu.

Fedha hizo ambazo ni madai ya Agosti 2011 hadi Aprili mwaka 2012 zinadaiwa kuwa ni malimbikizo ya mishahara ya wafanyakazi ya likizo, masomo, uhamisho wa wafanyakazi pamoja na matibabu na kwamba zisipolipwa TALGWU inakusudia kuingia kwenye...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Rais na mawaziri wa Malawi kukatatwa 10% ya mishahara yao

Malawi imeripoti kisa cha kwanza cha mgonjwa mwenye virusi vya corona siku ya Alhamisi, na lilikuwa taifa la mwisho kutangaza kuwa na maambukizi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

DC aombwa kuingilia kati mgomo wa wananchi

MKUU wa Wilaya (DC) ya Hanang’, Christine Mndeme, ameombwa kuingilia kati suala la wananchi wa Kata ya Endasak kugoma kuchangia ujenzi wa maabara katika shule ya sekondari ya kata yao....

 

11 years ago

Tanzania Daima

JK aombwa kuingilia kati fidia Mloganzila

MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika (CHADEMA), amemuomba Rais Jakaya Kikwete kuingilia kati na kutoa kauli kwa umma kuhusu fidia ya ardhi kwa wananchi wa Kata ya Mwembe, eneo la Mloganzila...

 

11 years ago

Habarileo

Dk Slaa amtaka JK kuingilia kati unyanyasaji wananchi

Dk Willibrod SlaaKATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk Willibrod Slaa ameitaka Serikali ikomeshe unyanyasaji na ukatili dhidi ya wananchi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani