Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafanyakazi ‘Katiba na Sheria’ waaswa kuchapa kazi

Baraza 2

Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya (TUGHE) Mkoa wa Dar-es-salaam Bw. Hassan Kaumo akiongea na wafanyakazi wa Wizara ya Katiba na Sheria katika mkutano wa Baraza la Wafanyakazi la Wizara hiyo jijini Dar es Salaam leo (Jumatano, Aprili 30, 2014). Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bw. Fanuel Mbonde. (Picha na Martha Komba – Wizara ya Katiba na Sheria).

Baraza 1

Baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya Katiba na Sheria katika mkutano wa Baraza la Wafanyakazi la Wizara hiyo...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Watumishi Katiba na Sheria waaswa kufanya kazi kwa malengo

Watumishi wa Wizara ya Katiba na Sheria wameaswa kuendeleza ushirikiano katika utekelezaji wa majukumu yao ili kutimiza malengo ambayo Wizara imejiwekea.
Akizungumza na watumishi wa makao makuu ya Wizara hiyo jijini Dar es Salaam leo (Alhamisi, Novemba 20, 2014), Katibu Mkuu Bi.  Maimuna Tarishi amesema ushirikiano na upendo ni ngunzo muhimu za mafanikio katika taasisi yoyote.
“Watumishi wa umma, hasa tuliopo Dar es Salaam, tunatumia muda mrefu tukiwa kazini hivyo tunatakiwa tupendane na...

 

10 years ago

Michuzi

WAKANDARASI WAASWA KULINDA AFYA ZA WAFANYAKAZI MAHALA PA KAZI-OSHA

 Mkuu wa kitengo cha sheria wa Wakala wa usalama na afya mahali pa kazi(OSHA),Joyce  Mwalubungu, akizungumza na wakandalasi waliohudhuria kwenye warsha iliyoandaliwa na Wakala wa Usalama na Afya mahala pa kazi (OSHA) iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo. Mshauri mkuu wa ufundi wa ujasiliamali na miradi kwa vijana Jelous Chirove akizungumza na wakandarasi waliohudhuria kwenye warsha iliyoandaliwa na wakala wa Usalama na Afya mahala pa kazi (OSHA) iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.

 

9 years ago

Habarileo

Mavunde aahidi kuchapa kazi

MBUNGE wa Jimbo la Dodoma aliyechaguliwa, Antony Mavunde, ameahidi kufanya kazi kwa vitendo na sio maneno. Akizungumza na wafanyabiashara wa soko la Majengo alipoenda kutoa shukrani kwa kumchagua kuwa mbunge, Mavunde alisema atahakikisha anawatumikia kwa kusikiliza kero zao pamoja na kusaidia utatuzi wake.

 

11 years ago

Habarileo

Serikali yataka vijana kuchapa kazi kwa bidii

Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Profesa Elisante ole GabrielSERIKALI imewataka vijana kuchapa kazi kwa bidii ili kuleta mabadiliko chanya katika jamii wanazoishi ikizingatiwa kwamba asilimia 75 ya nguvu kazi ya taifa ni vijana.

 

5 years ago

Michuzi

HATUJATOA MAELEKEZO YA KUFUNGWA MINADA YETU,WATU WAENDELEE KUCHAPA KAZI-ULEGA

WIZARA ya Mifugo na Uvuvi kwa kushirikiana na Ofisa ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali zaMitaani (TAMISEMI) wamewagiza wakurugenzi, watendaji wa mitaa na wakuu wawilaya zote nchini kuacha mara moja kufungia minada ya samaki na ile ya ng’ombekwa kisingizio cha ugonjwa wa Corona.

Akizungumza jana,Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi,Abdallah Ulega alisema msimamo wa serikali upopale pale haujazuiwa biashara ikiwemo minada ya samaki na wanyama na waliaonzakufungia minada hiyo kuacha mara moja...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI:WATANZANIA OONDOENI HOFU KUHUSU CORONA, ENDELEENI KUCHAPA KAZI


*Awahakikishia watumishi wote wa umma kuendelea kulipwa mishahara yao
RAIS Dk.John Magufuli tangu tanga la Coroa limeibuka kila nchi inao utaratibu wake wa kushughulika na tatizo hilo na kwa Watanzania hakuna sababu ya kuwa na hofu yoyote na waendelee kuchapa kazi.
Ametumia nafasi hiyo kuwahakikisha watumishi wote wa umma wakiwemo walimu ambao ndio wengi zaidi kuwa Serikali itaendelea kuwalipa mshahara hadi shule zitakapofunguliwa ingawa kuna nchi nyingine zimeshindwa kulipa mishahara...

 

5 years ago

Michuzi

TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE YAWATAKA WAAJIRIWA WAPYA KUWAJIBIKA, KUCHAPA KAZI

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof.Mohamed Janabi akizungumza na waajiriwa wapya saba walioajiriwa na Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto na kupangiwa kutoa huduma katika Taasisi hiyo iliyopo Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akiwa katika picha ya pamoja na waajiriwa wapya saba walioajiriwa na Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani