Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafanyakazi STAMICO wapata mafunzo dhidi ya Corona

 Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limeungana na taasisi nyingine za umma na binafsi nchini katika kuwaasa wafanyakazi wake kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa homa ya mapafu unaosababishwa na virusi vya Corona (COVID -19).
Katika kufanikisha hilo, uongozi wa STAMICO uliandaa mafunzo ya siku moja yaliyofanyika kwenye viunga vya wazi vya ofisi hiyo  kwa ajili ya wafanyakazi wake waliopo Dar es Salaam ambapo, pamoja na mambo mengine, walihimizwa kujilinda na maambukizi ya ugonjwa wa COVID...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA TTB WAPATA MAFUNZO YA KUJIKINGA NA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA CORONA NA UKIMWI

 Dkt. Grarvin Kweka wa Hospitali  ya Taifa ya Muhimbili akionesha namna ya kutumia vitakasa mikono kwa wafanyakazi wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) juu ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona (Covid 19) wakati wa mafunzo yaliyoandaliwa na kufanyika katika ofisi za Bodi hiyo Jijini Dar es Salaam.
Dkt. Grarvin Kweka wa Hospitali  ya Taifa ya Muhimbili akitoa mada ya namna ya kujikinga na virusi vya Corona kwa  wafanyakazi wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) juu ya kujikinga na...

 

5 years ago

Michuzi

WAGANGA WA TIBA ASILI WAPATA MAFUNZO KUJIKINGA NA CORONA

Mratibu wa Tiba asili na tiba mbadala wa wilaya ya Tunduru Dkt Mkasange Kihongole akiongea jana na waganga wa Tiba asili na tiba mbadala wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kutambua dalili na kujikinga na ugonjwa wa Corona wakati wote wa shughuli zao kama moja ya makundi maalum yanayoaminika katika jamii.


Mwenyekiti wa Shirikisho la vyama vya tiba asili na tiba mbadala wa wilaya ya Tunduru Mohamed Nandule akiongea na waganga wa tiba asili na tiba mbadala kutoka kata ya Mbesa wilayani...

 

11 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA BODI YA CHAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR WAPATA MAFUNZO YA SIKU TATU JUU UTOAJI HUDUMA BORA.

 Wafanyakazi wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar wakimskiliza kwa makini Mkufunzi wa Peter Ssali (hayupo pichani) katika mafunzo yasiku tatu juu ya utoaji huduma bora kwa Bodi hiyo ili kuwa sambamba na Bodi za vyakula za Afrika Mashari.    Mkufunzi wa mafunzo ya utoaji uduma bora kwa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar Bwa. Peter Ssali kutoka Uganda akifundisha katika mafunzo hayo.  Waziri wa Afya Zanzibar Juma Duni Haji akitoa tarifa kwa wandishi wa Habari juu ya...

 

5 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE WAPEWA MAFUNZO YA MARA KWA MARA KUHUSU UGONJWA WA CORONA (COVID – 19)




Afisa Muuguzi wa chumba cha upasuaji kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Aimana John akiwaelekeza wauguzi wenzake namna sahihi ya kunawa mikono kwa maji safi yanayotiririka na sabuni wakati wa mafunzo ya jinsi ya kupambana na ugonjwa wa Corona (COVID-19) yanayotolewa kwa wafanyakazi wa Taasisi hiyo.Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Wafanyakazi wanne wa Ikulu ya Rais Kenya wamepatwa na corona

Wafanyakazi wanne wa Ikulu ya rais nchini Kenya wamepatikana na virus vya corona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Dereva bajaji wanaotoa mafunzo ya Corona nchini Tanzania

Janga la Corona limesababisha mashirika mengi kuja na njia za ubunifu kufikisha ujumbe wa kulijinda na Corona kwa wananchi.

 

10 years ago

Michuzi

KILIMANJARO WAPATA MAFUNZO YA MENEJIMENTI YA MAAFA YA UKAME

Katibu Tawala Mkoa wa Kilimanjaro, Severin Kahitwa akisisitiza jambo wakati wa mafunzo ya Menejmenti ya maafa kwa waratibu maafa mkoani humo yanayoendelea wilayani Hai, mafunzo hayo yanaratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu Idara ya Uratibu maafa kwa Ufadhili wa UNICEF kupitia mradi wa kuijengea jamii uwezo wa kukabili maafa yatokanayo na ukame. Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya Menejmenti ya maafa yatokanayo na ukame kutoka katika Halmashauri za wilaya ya Same, Hai na Mwanga mkoani Kilimanjaro...

 

11 years ago

KwanzaJamii

Wanafunzi Golden Gate wapata mafunzo maalum

Na Albano Midelo WANAFUNZI 18 wa shule ya sekondari ya Golden Gate iliyopo Luhira manispaa ya Songea mkoani Ruvuma wamepata mafunzo maalum yatakayowawezesha kukabiliana na changamoto za maisha. Shule hiyo ipo chini ya shirika la kuhudumia watoto yatima linaloitwa St.Teresa Orphan Foundation (STOF) lenye makao yake makuu mjini Songea lililoanzishwa mwaka 2001 ambapo hivi sasa linahudumia watoto yatima wapatao 76. Mafunzo ambayo wanafunzi hao wamefuzu ni pamoja na mafunzo ya huduma ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani