Wanafunzi Golden Gate wapata mafunzo maalum
Na Albano Midelo WANAFUNZI 18 wa shule ya sekondari ya Golden Gate iliyopo Luhira manispaa ya Songea mkoani Ruvuma wamepata mafunzo maalum yatakayowawezesha kukabiliana na changamoto za maisha. Shule hiyo ipo chini ya shirika la kuhudumia watoto yatima linaloitwa St.Teresa Orphan Foundation (STOF) lenye makao yake makuu mjini Songea lililoanzishwa mwaka 2001 ambapo hivi sasa linahudumia watoto yatima wapatao 76. Mafunzo ambayo wanafunzi hao wamefuzu ni pamoja na mafunzo ya huduma ya...
KwanzaJamii
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboWANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI YA BAJAVERO DAR WAPATA MAFUNZO JUU YA HEDHI SALAMA
Mkurugenzi mtendaji wa Kasole Secrets Hyasintha Ntuyeko ambao pia ni waandaaji wa siku ya Hedhi Duniani kwa Tanzania akiwauliza wanafunzi wa Darasa la tano hadi la saba changamoto wazipatazo wakati wanapoingia katika siku zao na pia kuwaelimisha juu ya Hedhi salama.
11 years ago
Habarileo08 Mar
Mpasuko Bunge Maalum wapata tiba
MWENYEKITI wa muda wa Bunge Maalumu la Katiba, Pandu Ameir Kificho ameunda kamati ya mashauriano na maridhiano inayohusisha watu wenye busara ambao wamepewa jukumu la kuafikiana wao wenyewe ni kura gani ipigwe katika kupitisha ibara mbalimbali za rasimu ya katiba.
10 years ago
MichuziKILIMANJARO WAPATA MAFUNZO YA MENEJIMENTI YA MAAFA YA UKAME
5 years ago
MichuziWafanyakazi STAMICO wapata mafunzo dhidi ya Corona
Katika kufanikisha hilo, uongozi wa STAMICO uliandaa mafunzo ya siku moja yaliyofanyika kwenye viunga vya wazi vya ofisi hiyo kwa ajili ya wafanyakazi wake waliopo Dar es Salaam ambapo, pamoja na mambo mengine, walihimizwa kujilinda na maambukizi ya ugonjwa wa COVID...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-rZJFCoxsCpU/XrEfJarwXkI/AAAAAAALpME/Y93qgeg-c9ElYHeFLz9ehQyZnonTU1idgCLcBGAsYHQ/s72-c/2AAA-768x345.jpg)
WAGANGA WA TIBA ASILI WAPATA MAFUNZO KUJIKINGA NA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-rZJFCoxsCpU/XrEfJarwXkI/AAAAAAALpME/Y93qgeg-c9ElYHeFLz9ehQyZnonTU1idgCLcBGAsYHQ/s640/2AAA-768x345.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/3AA-1024x461.jpg)
Mwenyekiti wa Shirikisho la vyama vya tiba asili na tiba mbadala wa wilaya ya Tunduru Mohamed Nandule akiongea na waganga wa tiba asili na tiba mbadala kutoka kata ya Mbesa wilayani...
11 years ago
Dewji Blog11 Apr
Waandishi wa habari Singida wapata mafunzo ya haki za binadamu
Mwezeshaji wa mafunzo, Lilian Timbuka, akitoa mada yake kwenye mafunzo yanayohudhuriwa na waandishi wa habari mkoa wa Singida,yanayohusu maadili katika uandishi wa habari na kuripoti masuala yaliyo kwenye mazingira magumu.
Mwezeshaji Lilian Timbuka,akitoa mada yake wakati akifundisha waandishi wa habari mkoa wa Singida, juu ya maadili ya uandishi wa habari na kuripoti masuala yanayojitokeza kwenye mazingira magumu.Mafunzo hayo ya siku nne,yameandaliwa na kufadhiliwa na Baraza la habari...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-rNwHuQsz64g/VdsS1e4jKBI/AAAAAAAHznA/3tPdtPEsPj8/s72-c/001.jpg)
Zaidi ya vijana 1000 wapata mafunzo bora ya Kilimo
![](http://2.bp.blogspot.com/-rNwHuQsz64g/VdsS1e4jKBI/AAAAAAAHznA/3tPdtPEsPj8/s640/001.jpg)
9 years ago
Habarileo10 Nov
Wanafunzi lukuki wapata mikopo HELSB
BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), mpaka sasa imetoa mikopo kwa waombaji wenye sifa wapya 40,836 kati ya waombaji 50,830 wanaostahili kupatiwa mikopo hiyo kwa mwaka wa masomo wa 2015/2016.
11 years ago
Habarileo03 Mar
Wanafunzi wasichana wapata ugonjwa wa kuanguka
WAZAZI na walezi ambao watoto wao wanasoma katika Shule ya Msingi Inyonga wilayani Mlele, mkoani Katavi wameitaka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kutuma timu ya wataalamu wa afya kuchuguza ugonjwa wa ajabu unaowakumba wasichana wanaosoma katika shule hiyo.